Wizi mpya: Kaeni chonjo!

Wizi mpya: Kaeni chonjo!

Watu wanaotumia bank kama CRDB,huwa hawaibiwi pesa kwa mtindo huu wa kuswap hata siku moja kutokana na kitu umeeleza hapo. NMB hawaja implement hii kitu kwao ndo maana watu wengi(99.99%) wanaoibiwa pesa kwa mobile banking ni wa NMB. Na mara nying ni just social engineering wanafanya kupata password yako.

NMB bado hawajaboresha security zao eeeh? then ni risk sana kutumia mobile bank yao

Sisi (umojaswitch) tunatoa mobile banking kwa TWB, Kilimanjaro, Mwanga, Mbinga community bank, mufindi community bank na benki kama hizo na tume-implement IMSI, hawa NMB na ukuwa wote ule bado?
 
Uwezo wa kupata password upo,hata mie naweza ni kwa ku2mia social engineering knowledge.
 
Jana nilipata kisa kimoja
kutoka kwa my wife,alipotoka kanisani alikutana na vijana wawili
waliokuwa wamevalia sare za kampuni ya simu ya Vodacom wakidai
wanasaidia wateja wao kuunganishiwa huduma za internet.

Baada ya my wife kuwakabidhi simu yake waliifungua na kuirudishia na
kumuahidi ataanza kutumia internet baada ya saa moja.Punde si punde
akagundua simu yake haiko hewani na baadaye kidogo akagundua alikuwa
amebadilishiwa sim card mpya isiyosajiliwa.

Tulipata hisia huenda walikuwa ni wezi ndipo tukaamua kubadili password
nmb mobile kupitia ATM na baadaye tulipiga simu Vodacom ambapo
walitujulisha walikuwa wameshatoa sh.laki 350 kutoka nmb.

Tahadhari: Tuwe macho tusiwaamini hata wanaojifanya ni wafanyakaZi wa
kampuni za simu.

Wanawake bwana!
Inawezekana hao wezi wangeenda tena an 'extra mile', wangepata another stuff!
Anyway, poleni sana.
 
***350,000,000***
... Nimekugongea 'like' kwa kuwa angalau ume.note something, lakini na wewe pia umekosea. Hiyo uliyoandika ni milioni 350, laki 350 aliyomaanisha jamaa ni 35,000,000 (i.e laki ina sifuri tano)
 
Inamana password zako unarikodi kwenye simu??walipataje hizo nmb mobile password??hata wakichukuwa sim card bado hawatoweza kuchukua pesa zako kama hukuweka wazi password zako,haijaniingia bado sorry.
Huenda hao wafanyakazi halisi wa Vodacom ndio waliovuta hiyo hela (laki 350 kama ulivyosema), waki-take advantage ya upoteaji wa SIM Card alioripoti jamaa ambapo kwao (Vodacom) ni rahisi tu kujitetea kwamba wezi ni wale waliobadilisha SIM Card
 
Huenda hao wafanyakazi halisi wa Vodacom ndio waliovuta hiyo hela (laki 350 kama ulivyosema), waki-take advantage ya upoteaji wa SIM Card alioripoti jamaa ambapo kwao (Vodacom) ni rahisi tu kujitetea kwamba wezi ni wale waliobadilisha SIM Card

hii kuifatilia ni rahisi sana, je waliitoaje bank..
 
Wanawake bwana!
Inawezekana hao wezi wangeenda tena an 'extra mile', wangepata another stuff!
Anyway, poleni sana.

Mkuu tuombe radhi.....wengine hatuingiliki kirahisi hivyo......unakutanaje na watu huwajui unawapa simu....?.....ofisi za kampuni hazijui.....?...aseme vizuri bana kapeleka wapi pesa.....alishindwa nini kumpa mumewe simu aweke internet..?....au na mumewe ndio wale wale.....angekuwa shoga'ngu ningemzabua.......
 
Mwenzako keshasema 350,000,000!!! Mbona unamshusha hadhi? Lol!

Jamani na wewe ni mwongo unamsingizia mtoto wa watu, kasema laki 350 yaani sawa na milion 35 (35,000,000) na si million 350 kama unavyodai wewe!
 
Pole sana ndugu.
Majibu mengine, mhhhhh!!!!!
Hope ni LIKIZOTIME.
Na hii BIG RESULT NOW...
 
Yaani jamaa umechelewa kumuingiza mkeo kwenye Internet kama wakenya walivyochelewa kuhamia digital
 
Mkuu tuombe radhi.....wengine hatuingiliki kirahisi hivyo......unakutanaje na watu huwajui unawapa simu....?.....ofisi za kampuni hazijui.....?...aseme vizuri bana kapeleka wapi pesa.....alishindwa nini kumpa mumewe simu aweke internet..?....au na mumewe ndio wale wale.....angekuwa shoga'ngu ningemzabua.......

Kuna uwezekano mkubwa huyo mama pesa amehonga....ila jamaa kapigwa chenga ya mwili kaingia king...
 
Pole sana,mwezi juzi nilikutana na kisanga kama hicho, baada ya kucheza na simu yangu waliweza kudeactivate jina langu la M-pesa a/c,hivyo details zangu zote za m-pesa wakaziua,nilipotumiwa pesa ikaenda kwa mwingine namba ile ile i.e one number two people!
Inasikitisha sana

Sijafaham zaidi inakuwaje mtu unampa sim yako while haina tatizo lolote, mbaya zaidi mtu unakutana nae mtaani tu. Kipindi tunakamata maafisa usalama feki, matrafic feki na asikal feki ilitangazwa kabisa on public now iweje kusiwe na wafanya kazi wa vodacom feki na ile ni private sector. Mnatia hasira sana watu kama nyie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom