Wanaochukua mafunzo ya siri Israel wanaweza kuwa ndio watu wasiojulikana.Jee ubalozi wa Tanzania Israel haukujua alipo Joshua ?

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,194
10,929
Kwa miaka mingi imetangazwa kuwa Israel ni nchi yenye teknolojia za hali ya juu katika masula mbali mbali. Kwa upande mwengine nchi hiyo ina uhasama sana na baadhi ya walimwengu na huwa haioni shida kufanya njama katika vita vyake vya muda mrefu.

Hata nchi mbali mbali pia duniani zinazotaka kufanya mambo yake kwa siri basi hupata shauku ya kupeleka watu wao nchini huko kupata mafunzo ya aina hizo.

Tukirudi Israel ni kuwa ina ratiba ya kujiingiza kila sehemu yenye waislamu wengi duniani ili kuwafanyia visa ikiona kama ni vita vyao vya kujilinda dhidi yao kwa upana wake. Ukisikiliza baadhi ya matamko aliyowahi kuyatoa Benjamin Netanyahu kwenye vikao na wenzake utapata picha hiyo ya vita vipana vya Israel.

Hata pakitokea machafuko ya kisiasa yanayohusisha makabila na vyama vya siasa nayo pia ni faida ya malengo mapana ya vita vya Israel dhidi ya wale inaowaona ni wapinzani wao wa baadae.

Katika miaka kadhaa iliyopita nchini Tanzania kumekuwepo na matukio ya watu kupotea na kutoonekana tena ikitajwa wamechukuliwa na watu wasiojulikana. Vile vile kumekuwa na matukio ya kuchomwa moto mabweni na shule za kiislamu katika hali za kushangaza sana na inakuwa vigumu sana kukamatwa kwa wahusika kutokana na kwamba wanafanya uhalifu wao huo kwa utaalamu mkubwa na kutumia vifaa vya kisasa.

Lilipokuja suala la Joshua Molles kufa akiwa katika mazingira ya kijeshi nchini Israel ndio kumetoa hali za kutafakari sana na kutilia shaka kwamba huenda alikuwa kwenye mafunzo ya kijeshi na ndiko alikokutwa na wapiganaji wa Hamas.

Joshua yawezekana hata hakuwa amemaliza mafunzo ya kijeshi lakini alikuwa anaendelea na mafunzo hayo kwa kasi yeye na wenzake na huenda kuna wenzao waliokwisha kumaliza mafunzo yao kwenye kambi hizo huko nyuma.

Siku chache baada ya tukio la oktoba 7 ubalozi wa Tanzania ulitoa takwimu kuwa ulikuwa umepata mawasiliano na karibu vijana wate wa kitanzania waliokuweko nchini humo. Wale waliokuwa bado walitakiwa wafanye mawasilaino haraka na ubalozi huo.

Kama ubalozi ulikuwa unajuwa mahali kila mmoja alipo kabla ya mtafaruku wa oktoba 7 ambao haukutarajiwa. Jee ulikuwa haujui kuwa Joshua na wenzake walikuwa kwenye kambi ya jeshi.Na kwamba Joshua aliondoka nyumbani kwenda kujifunza kilimo na si ujeshi.

Mwenyezi Mungu daima huwa yupo pamoja na wenye kudhulumiwa kuwasaidia na huwa hafichi unafiki na YEYE ni mbora wa kuwazunguka maadui wanaodhulumu wenzao kwa kuwafichua.

Serikali ya Israel ilipoona dunia iko upande wa kuwahurumia wapalestina zaidi hata miongoni mwa viongozi wakuu walioitembelea nchi hiyo na kuwaonesha video zake uchwara.Iliona iitoe ile video ya mauwaji ya Joshua kubadili mtazamo wa watanzania.

Kumbe kufanya hivyo ndio watu wakajua kilichojificha.

Serikali ya Tanzania nayo katika hali isiyokawaida ikampeleka baba yake Joshua Israel kumbe kufanya hivyo ndio karudi na ushahidi uliokuwa umejificha kuwa Joshua alikufa kambini.
 
UKianza kutetea kila kinachohusu waislamu hata kama ni kiovu ni upuuzi mtupu,andiko refuuu lisilo na maana unadharirisha waislamu wenye akili,heri kukaa kimya tu
 
Kwa miaka mingi imetangazwa kuwa Israel ni nchi yenye teknolojia za hali ya juu katika masula mbali mbali.Kwa upande mwengine nchi hiyo ina uhasama sana na baadhi ya walimwengu na huwa haioni shida kufanya njama katika vita vyake vya muda mrefu.
Hata nchi mbali mbali pia duniani zinazotaka kufanya mambo yake kwa siri basi hupata shauku ya kupeleka watu wao nchini huko kupata mafunzo ya aina hizo.
Tukirudi Israel ni kuwa ina ratiba ya kujiingiza kila sehemu yenye waislamu wengi duniani ili kuwafanyia visa ikiona kama ni vita vyao vya kujilinda dhidi yao kwa upana wake.Ukisikiliza baadhi ya matamko aliyowahi kuyatoa Benjamin Netanyahu kwenye vikao na wenzake utapata picha hiyo ya vita vipana vya Israel.
Hata pakitokea machafuko ya kisiasa yanayohusisha makabila na vyama vya siasa nayo pia ni faida ya malengo mapana ya vita vya Israel dhidi ya wale inaowaona ni wapinzani wao wa baadae.
Katika miaka kadhaa iliyopita nchini Tanzania kumekuwepo na matukio ya watu kupotea na kutoonekana tena ikitajwa wamechukuliwa na watu wasiojulikana.Vile vile kumekuwa na matukio ya kuchomwa moto mabweni na shule za kiislamu katika hali za kushangaza sana na inakuwa vigumu sana kukamatwa kwa wahusika kutokana na kwamba wanafanya uhalifu wao huo kwa utaalamu mkubwa na kutumia vifaa vya kisasa.
Lilipokuja suala la Joshua Molles kufa akiwa katika mazingira ya kijeshi nchini Israel ndio kumetoa hali za kutafakari sana na kutilia shaka kwamba huenda alikuwa kwenye mafunzo ya kijeshi na ndiko alikokutwa na wapiganaji wa Hamas.
Joshua yawezekana hata hakuwa amemaliza mafunzo ya kijeshi lakini alikuwa anaendelea na mafunzo hayo kwa kasi yeye na wenzake na huenda kuna wenzao waliowisha kumaliza mafunzo yao kwenye kambi hizo huko nyuma.
Siku chache baada ya tukio la oktoba 7 ubalozi wa Tanzania ulitoa takwimu kuwa ulikuwa umepata mawasiliano na karibu vijana wate wa kitanzania waliokuweko nchini humo.Wale waliokuwa bado walitakiwa wafanye mawasilaino haraka na ubalozi huo.
Kama ubalozi ulikuwa unajuwa mahali kila mmoja alipo kabla ya mtafaruku wa oktoba 7 ambao haukutarajiwa.Jee ulikuwa haujui kuwa Joshua na wenzake walikuwa kwenye kambi ya jeshi.Na kwamba Joshua aliondoka nyumbani kwenda kujifunza kilimo na ujeshi.
Mwenyezi Mungu daima huwa yupo pamoja na wenye kudhulumiwa kuwasaidia na huwa hafichi unafiki na mbora wa kuwazunuka maadui wanaodhulumu wenzao kwa kuwafichua.
Serikali ya Israel ilipoona dunia iko upande wa kuwahurumia wapalestina zaidi hata miongoni mwa viongozi wakuu walioitembelea nchi hiyo na kuwaonesha video zake uchwara.Iliona iitoe ile video ya mauwaji ya Joshua kubadili mtazamo wa watanzania.Kumbe kufanya hivyo ndio watu wakajua kilichojificha.
Serikali ya Tanzania nayo katika hali isiyokawaida ikampeleka baba yake Joshua Israel kumbe kufanya hivyo ndio karudi na ushahidi uliokuwa umejificha kuwa Joshua alikufa kambini.
Jambo lisipate Familia yako au mwenyewe!
Wewe Unapigia ramli BILA Aibu! 😭😭
 
UKianza kutetea kila kinachohusu waislamu hata kama ni kiovu ni upuuzi mtupu,andiko refuuu lisilo na maana unadharirisha waislamu wenye akili,heri kukaa kimya tu
Kipi kiovu kinachowahusu waislamu nilichokitetea.
Usiandike kwa urefu.Taja kwa ufupi tu
 
Kwa miaka mingi imetangazwa kuwa Israel ni nchi yenye teknolojia za hali ya juu katika masula mbali mbali.Kwa upande mwengine nchi hiyo ina uhasama sana na baadhi ya walimwengu na huwa haioni shida kufanya njama katika vita vyake vya muda mrefu.
Hata nchi mbali mbali pia duniani zinazotaka kufanya mambo yake kwa siri basi hupata shauku ya kupeleka watu wao nchini huko kupata mafunzo ya aina hizo.
Tukirudi Israel ni kuwa ina ratiba ya kujiingiza kila sehemu yenye waislamu wengi duniani ili kuwafanyia visa ikiona kama ni vita vyao vya kujilinda dhidi yao kwa upana wake.Ukisikiliza baadhi ya matamko aliyowahi kuyatoa Benjamin Netanyahu kwenye vikao na wenzake utapata picha hiyo ya vita vipana vya Israel.
Hata pakitokea machafuko ya kisiasa yanayohusisha makabila na vyama vya siasa nayo pia ni faida ya malengo mapana ya vita vya Israel dhidi ya wale inaowaona ni wapinzani wao wa baadae.
Katika miaka kadhaa iliyopita nchini Tanzania kumekuwepo na matukio ya watu kupotea na kutoonekana tena ikitajwa wamechukuliwa na watu wasiojulikana.Vile vile kumekuwa na matukio ya kuchomwa moto mabweni na shule za kiislamu katika hali za kushangaza sana na inakuwa vigumu sana kukamatwa kwa wahusika kutokana na kwamba wanafanya uhalifu wao huo kwa utaalamu mkubwa na kutumia vifaa vya kisasa.
Lilipokuja suala la Joshua Molles kufa akiwa katika mazingira ya kijeshi nchini Israel ndio kumetoa hali za kutafakari sana na kutilia shaka kwamba huenda alikuwa kwenye mafunzo ya kijeshi na ndiko alikokutwa na wapiganaji wa Hamas.
Joshua yawezekana hata hakuwa amemaliza mafunzo ya kijeshi lakini alikuwa anaendelea na mafunzo hayo kwa kasi yeye na wenzake na huenda kuna wenzao waliokwisha kumaliza mafunzo yao kwenye kambi hizo huko nyuma.
Siku chache baada ya tukio la oktoba 7 ubalozi wa Tanzania ulitoa takwimu kuwa ulikuwa umepata mawasiliano na karibu vijana wate wa kitanzania waliokuweko nchini humo.Wale waliokuwa bado walitakiwa wafanye mawasilaino haraka na ubalozi huo.
Kama ubalozi ulikuwa unajuwa mahali kila mmoja alipo kabla ya mtafaruku wa oktoba 7 ambao haukutarajiwa.Jee ulikuwa haujui kuwa Joshua na wenzake walikuwa kwenye kambi ya jeshi.Na kwamba Joshua aliondoka nyumbani kwenda kujifunza kilimo na si ujeshi.
Mwenyezi Mungu daima huwa yupo pamoja na wenye kudhulumiwa kuwasaidia na huwa hafichi unafiki na YEYE ni mbora wa kuwazunguka maadui wanaodhulumu wenzao kwa kuwafichua.
Serikali ya Israel ilipoona dunia iko upande wa kuwahurumia wapalestina zaidi hata miongoni mwa viongozi wakuu walioitembelea nchi hiyo na kuwaonesha video zake uchwara.Iliona iitoe ile video ya mauwaji ya Joshua kubadili mtazamo wa watanzania.Kumbe kufanya hivyo ndio watu wakajua kilichojificha.
Serikali ya Tanzania nayo katika hali isiyokawaida ikampeleka baba yake Joshua Israel kumbe kufanya hivyo ndio karudi na ushahidi uliokuwa umejificha kuwa Joshua alikufa kambini.
Kwa hiyo serikali ambayo imetoa taarifa kuwa alitoka SUA na kwenda kusoma kilimo ni waongo? Ukiona shule ya kiislamu au msikiti umechomwa 99% ni waislam wenyewe wanagombania mali au msikiti, kuna watiifu wa Bakwata na kuna watiifu wa Islamic foundation ya Issa Ponda, tumeona kilichotokea msikiti wa Kwanza, hakuna mkiristo wa kuchoma Bweni la shule kama siyo gaidi, shule za kiislamu wanasoma na wakristo, kuna shule za kiislam kama Taqwa, Thekafa ziko Mwanza, kuna Hijira, Jamuhuri za Dodoma, kuna Jihad, Albahlity seminari ziko Kigoma, hizo shule zote ni za kiislamu na hazina ubaguzi wowote, wakristo wanasoma kwenye shule hizo, wapagani wanasoma kwenye shule hizo, sasa ni mtu gani wa kuchoma mabweni ya shule kama hizo?
 
Kwa mujibu wa baba yake ni kwamba,,, mwanawe alitekwa na maharamia huku wanajeshi watano wakiuwawa lkn kwa wakati huo yeye akiwa kavaa bulletproof, na hapo alipotekwa sio chuoni ingawa hajasema kama ni kambini,, na hata alivyoitwa huko Israel kwa maneno yake mwenye aliitwa na serikali/jeshi wakakaa meza moja wakayaongea,, hakuitwa na mkuu wa chuo hicho cha kilimo, sasa kwa sie Ambao tuliopitia Cuba kitambo tu kabla hata huyo mzee wake hajaenda huko tushajua nini kimejiri, na alipokwenda ndio kabisaaa,,,,
 
Tume zinazoundwa kama hazitoi majibu ni kuwa waliochoma ni wataalamu sana na hawawezi kuwa wanaogombania shule kama wapo na kama unavyodai.Wangekuwa ni mmoja katika hao tume na jeshi liingepata tabu kuwajua na kuwakamata.
 
Kwa mujibu wa baba yake ni kwamba,,, mwanawe alitekwa na maharamia huku wanajeshi watano wakiuwawa lkn kwa wakati huo yeye akiwa kavaa bulletproof, na hapo alipotekwa sio chuoni ingawa hajasema kama ni kambini,, na hata alivyoitwa huko Israel kwa maneno yake mwenye aliitwa na serikali/jeshi wakakaa meza moja wakayaongea,, hakuitwa na mkuu wa chuo hicho cha kilimo, sasa kwa sie Ambao tuliopitia Cuba kitambo tu kabla hata huyo mzee wake hajaenda huko tushajua nini kimejiri, na alipokwenda ndio kabisaaa,,,,
Wazee wa Cuba hatubabaishwi na kimya kuhusu Joshua.
 
Back
Top Bottom