Wizara ya habari kuchunguza tukio la DED wa Temeke kuwaweka chini ya ulinzi waandishi kwa kufika kwenye kikao chake bila mwaliko

Huyu Mwakibibi ana psychological problems, anapenda sana attention! Hafai hata kidgo!
 
Waandishi wa habari tunakazi sana
 
Huyu Mkurugenzi ana mzizi gani? hana tofauti na DC wa Hai
 
Huyo DED bado yupo kwenye ndoto za utawala wa mwendazake kisa nayeye ni msukuma.

Ilibidi atoke usingizini na kuelewa kuwa sasa hivi kuna utawala wa mzanzibari asiyehitaji kulindana.
Mkuu umekosea kumhukumu mtu kwa kabila ,by the way huyu jamaa ni mjita ,mkerewe ,mbaya au mkara ndo wana majina ya hivo
 
Mkuu umekosea kumhukumu mtu kwa kabila ,by the way huyu jamaa ni mjita ,mkerewe ,mbaya au mkara ndo wana majina ya hivo
Ndugu yangu wala sija mhukumu vbaya bali yeye mwenyewe ndiyo kayasababisha haya yote.

Mtu mwenye kuheshimu utawala wa sheria tena kiongozi mkubwa tu unakuwa na mawazo ya kifalme haifai kabisa.

Alizoea kuwafanyia watu madharau anavyotaka wakati wa kipindi cha mwendazake maana alikuwa anawalea hivyo.
 
Hawa jamaa bado wana style ile ile ya uongozi ya Mwendazake!!

Rais Samia una kazi ngumu - roho za kikatili na kutofuata sheria na kanuni zimewajaa hawa watu
Mwendazake alikuwa anatengeneza genge lake la kigaidi kabisa
 
Uchunguzi wa nini??
Halafu mkichunguza?!
Mlalamikaji aende Mahakamani ili sheria ifuate Mkondo wake, na mkosaji Aadhibiwe
Ili iwe fundisho.
 
Hatua zikichukuliwa tutaepuka mambo mengi yanayofanywa arbitrarily (ultra vires) na baadhi ya viongozi wa umma.
 
Huyo DED bado yupo kwenye ndoto za utawala wa mwendazake kisa nayeye ni msukuma.

Ilibidi atoke usingizini na kuelewa kuwa sasa hivi kuna utawala wa mzanzibari asiyehitaji kulindana.

Hapana ninatoka Mwakaleli Tukuyu Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…