Wito kwa Wana-JF wote

Mlalahoi

JF-Expert Member
Aug 31, 2006
2,182
883
WIto huu usitafsiriwe kuwa sign ya ku-give up mapambano ya kutafuta haki instead it is calling for an action.
Takriban kila wiki,kama si kila siku,mwana-JF mmoja au mwingine anamwaga habari zinazothibitisha kuwa kelele zetu dhidi ya wanaofilisi taifa zetu zinapuuzwa.Nasema zinapuuzwa kwa vile nina hakika kuwa wahusika wanazisoma,aidha wao wenyewe au wapambe wao,lakini nadhani wanaishia kutudharau kwa kusema "watapiga kelele wee mwishowe watanyamaza" au "waache waendelee kupiga kelele sie tunazidi kula kuku kwa mrija".They might be wrong katika hilo la JF kunyamaza but could be right katika hilo la sie kuendelea na makelele tu wakati wao wanaendeleza unyama wao.

Hivi karibuni,JF ilipata blessing in disguise,baada ya mafisadi kujaribu kuidhibiti whiche eventually led to this forum receiving international recognition.Sasa kwanini tusiitumie hiyo reputation yetu ya kimataifa kufanya kitu cha maana zaidi sambamba na kupiga makelele?JF sasa hivi ni zaidi ya pressure group au civil organization.Je tukiamua kuandika barua kwa taasisi kadha wa kadha eg donors wa nchi yetu,US Congress,House of Commons,international media na taasisi nyingine zinazoweza kuwabana wale wenye uwezo wa kuwakaba koo mafisadi wetu,hatuwezi kuleta mabadiliko makubwa zaidi?

Sijui niite ni petition or what lakini ninachoamini ni kwamba jitihada za namna hiyo,zikiambatana na lundo la mikataba mibovu na skendo lukuki tulizokwishazikusanya,zinaweza kuzaa matunda in the long run.

Mwenye mawazo yanayoweza ku-refine proposal yangu anakaribishwa.Actions speak louder than workds,and together we can bring the desired changes.
 
MlalaHoi:
JF ni sehemu ya mambo mengi si kupiga kelele tu. Kwanza hayo makelele usiyadharau. Fisadi anapofika hapa na kukuta mambo yake nje nje, usidhani ataendelea kuziba masikio na kudharau.
Uzuri wa JF - we chip away, piece by piece; hatuna haraka. Wengine hulenga shabaha na kukosa, lakini mwingine anakuja na kipoint kinachojazia pale palipokosewa; taratibu, hatua kwa hatua.

Pendekezo lako lilishawekwa hapa, na ni zuri; but let us not jump the gun. It is still too early, na mambo mazito ndio yanazidi kujitokeza. Kwa hiyo tuvute subira, huku tukisubiri the opportune moment and the optimum issue that requires International attention.

kumbuka, ukishalialia kwa wakubwa kwa vijambo vidogo unavyoweza kuvimudu, jambo kubwa litakapotokea ukiwaendea tena watakupuuza tu.
 
CLUE: Subirini siku si nyingi mtasikia kitu toka DC... wasidhani hizi ni kelele tu.. hivi hayo ya Finland wanadhani yanatokea bure... subirini na wahisani wengine watakapoanza kuunga mkono siku chache zijazo...
 
Nahisi neno KELELE umelipa negative connotation.You're deadly wrong.Kelele zinaweza kuwa positive au negative,like kelele kanisani kumwomba Mungu,kelele za furaha au ushindi,kelele za pongezi AS OPPOSED to kelele za kilevi msibani,kelele darasani,etc.NINAMAANISHA KELELE ZA JF NI POSITIVE,na ni uzembe kufiriki ninadharau KELELE hizo kama ilivyo uzembe ku-equate a call for an action to jumping a gun na ilivyo uzembe kutafsiri kuwa "nadharau kelele za JF" (you dont need a diploma to realize kwamba kama ningekuwa nzaidharau wouldnt be here calling for action.Subira my a**,mbona lugha ya "TUVUTE SUBIRA" ndio iliyotumiwa na Mwanyika jana na watu wakamlaumu.Hivi kwako,mafisadi wa EPA kuendelea kuwa huru huku tunazugwa kwamba wanarejesha fedha while in fact wanachofanya ni kwenda tu na mawakili wao kuandikishana mkataba...NI JAMBO DOGO?Mwanyika,Hosea,Mgonja,etc kuendelea kuwa ofisini ni VIJAMBO VIDOGO...You cant be serious,man.Kubwa lipi tusubiri kabla ya kuchukua hatua?
CLUE: Subirini siku si nyingi mtasikia kitu toka DC... wasidhani hizi ni kelele tu.. hivi hayo ya Finland wanadhani yanatokea bure... subirini na wahisani wengine watakapoanza kuunga mkono siku chache zijazo...

With all due respect,neno KELELE hapa sio tusi,kashfa au dharau kwa my beloved JF.Na haitakuwa kosa mtu kudhani HIZI NI KILELE but would be wrong to think HIZI NI KELELE TU (note: the WORD "TU").Kelele za kutaka mabadiliko ni kitu chama maana sana.COme on guys,let's move beyond semantics and refine the proposal.
 
CLUE: Subirini siku si nyingi mtasikia kitu toka DC... wasidhani hizi ni kelele tu.. hivi hayo ya Finland wanadhani yanatokea bure... subirini na wahisani wengine watakapoanza kuunga mkono siku chache zijazo...

STUPID IDEA ! unadhani tz kama taifa kunyimwa misaada itawaathiri akina nani kama sio innocent poor people !.... are we using our own circle of darkeness to light up the room ?
 
STUPID IDEA ! unadhani tz kama taifa kunyimwa misaada itawaathiri akina nani kama sio innocent poor people !.... are we using our own circle of darkeness to light up the room ?

Kada,tunahitaji TOUGH LOVE ku-redress matatizo yanayolikabili taifa letu.Be civil,pleeeez....the word STUPID wasnt neccesary to show your opposition to the idea.Hivi kipi kilicho bora kwako...kusitishwa misaada kwa muda mfupi hadi pale mafisadi watakapoacha unyama wao (najua hiyo itawaumiza innocent people kwa muda mfupi) AU kuacha mambo yaendelee kama yalivyo huku innocent people wakiendelea kuteseka MILELE?
 
Kada,tunahitaji TOUGH LOVE ku-redress matatizo yanayolikabili taifa letu.Be civil,pleeeez....the word STUPID wasnt neccesary to show your opposition to the idea.

asante mlalahoi ! lakini neno stupid did not apply kwa mtoa hoja bali hoja yenyewe ! anyway, nimekusikia na nitajitahidi siku nyingine ! kwa sababu watu wanafurahi pale tanzania inaponyimwa misaada then hapo hapo tunataka maendeleo wakati bajeti yetu ni more than 50% tegemezi, sasa niambie misaada kusitishwa then tunaclaim kwamba tunataka maendeleo kwenye taifa letu, huoni kama kurudi hatua tano nyuma mbili mbele na kujipongeza ? wakati ndio kwanza tunarudi nyuma. i really hated and still hate that idea ya kusitishwa misaada na watu kufurahia.

i dont believe in such a thing as kwamba watu waumie kwa muda mfupi (baada ya kusitishwa misaada). unajua kwamba hiyo misaada sio permanent na inatokana na serikali gani ipo madarakani (upande wa donors) hivyo anytime wanaweza wakachange idea ya kutoa misaada na kusema hatuwezi kutoa misaada unless certain conditions are met (WHICH OF COURSE NDICHO WANACHOFANYA KABLA YA KUTOA MISAADA-lakini in this case washajua tz kuna mambo mazuri vile vile na kutake advantage hapo hapo-anyway hii ni topic nyingine though)!---- to make the point, i strongly oppose that argument.
 
Nionavyo hii kupiga kelele kwa wahisani hakuna mpango....kimsingi sisi kama raia kuna njia za kufanya za kuhamasisha wananchi juu yanayoendelea ya UFISADI ktk kila secta za nchi yetu.

Tatizo humu ndani watu wengi hatupo serious, ni pale tu anapojadiliwa mtu wengine utawasikia anafaa or hafai.

Kama tupo serious nashauri yafuatayo:
International media iachwe, yenyewe itafuatilia au itakuja jua.(BBC, CNN, Aljazeera Int, Deutchvele....wana wawakilishi wao DSM)

1. Vyama vya Upinzani vilivyo serious viandae maandamano ya kutosha juu ya Kupinga Ufisad ktk Nchi yetu, kwani hadi sasa Bunge halijatoa adhabu maalum kwa wanaolifilisi TAIFA.
Tuwape muda upinzani uandae hio.

2. Wanafunzi wa Vyuo VIKUU vyote Tanganyika na Zanzibar wapelekewe waraka wa Kuonesha UFISADI ktk kila Secta, then baada ya hapo MOTO wa mijadala utawaka huko. HIVI mara ngapi vikundi vya wanafunzi vimeweza kuleta mabadiliko kuliko Vyama vya SIASA. Suharto aliondokaje...etc

3. Waalim wa WOTE na WANAFUNZI WA SEKONDARI na hata Msingi. najua wapo Std 1-5 hawatoelewa sana..lkn 6-7 na walimu wao watakuwa na uelewa mkubwa. Hawa wanaweza pewa hizo nyaraka za UFISADi ili wao wakaambie wazazi wao. Hii njia ni effective sana.
najua System wanaweza BLOCK lkn out 100% mkipata 50% watakaojua inatosha kabisa.

Kwa Study iliyofanyika na BBC, wao wanasema ZNZ watu wengi wanauelewa Mkubwa wa KISIASA kuliko Bara. Hili liko wazi sana.

hapa nimeligusa kundi la wanafunzi ambao wengi wana uelewa mkubwa tofuati na wananchi wa kawaida.

Makundi ya DINI yaachwe ili yasiweze kushiriki kwa namna moja au ingine, kwani mafisadi huenda wakajificha ktk MLANGO wa DINI, natumai wengi tunajua effects zake. Viongozi wa DINI wanachoweza kufanya kuupinga UFISADI ktk UJUMLA wake kama wanavyopinga vile ZINAA, ULEVI nk...
 
heeeey people, nini tena?? can you disagree without using foul language? if you don't like this brother's proposal, then do us a favor, kuna kichwa and come up with yours!!! sio mnaleta mawazo ya kibangi bangi hapa. kuna tangazo kuuuuuubwa somewhere, linasomeka, SOLUTIONS WANTED! hiki ni kijiwe ambapo watu wanahabarishana na ku-brain storm 24/7 na sio kutoleana kashfa.!! ebo, ebu kuweni na adabu walau kidogo.
 
Hivi kwa nini tunahitaji misaada ya maendeleo? Nikisema ndivyo tulivyo mnanikasirikia. Kama sivyo tulivyo misaada ya nini sasa maana ikisitishwe au isipositishwa watu walio wengi bado wataumia tu na hapa tulipo sasa tumeshapata misaada zaidi ya kutosha pasipo na maendeleo yoyote yale ya maana.

Nyinyi mnaopenda misaada Ndivyo Mlivyo na wewe rafiki yangu unayechekelea kusitishwa kwa misaada kutoka Finland na kwingineko hata hujijui uko kwenye kundi gani. Saa ingine unadai Sivyo Ulivyo lakini saa zingine unazungumza kama Ndivyo Ulivyo...I dunno about you!!!!
 
Your correct 100%
Na ukweli ni kuwa hao wanaotupa misaada wanalao jambo, hakuna nchi hata moja itatoa misaada bure bure

Kuna relationship kubwa sana hapa, Mnapewa msaada, pesa hazifiki kwa wanyonge, wanakula viongozi, hao waliotoa msaada wanakuja kuwekeza Tanzania, wanaingia mikataba ya kishenzi wa viongozi wetu, raslimali zetu zinatoweka, na wananchi wanaumia vibaya sana, wamekosa huduma na raslimali imetoweka
Hakuna haja ya misaada kwa sababu haiwafikii walengwa
Na pili sidhani kama kweli sisi tunaitaji msaada kiasi hicho, ni uvivu wa kufikiria tu, serukali inaweza kuinua kilimo na tukapa mapesa kibao, serikali ina madili kibao, Misaada ya nini

Ujinga wa Viongozi wetu, na ndo maana tunajiona maskini, ila sie sio maskini hata kidogo, tu maskini kwa ajili ya akili za kipuuzi za wachache wenye maslai binafsi kama mkapa

nikikwambia utangulie shambani na kuanza kulima, and i will follow 2 months later, I SWEAR HAUTOFANYA HIVYO !

kila mtu sasa hivi anataka formal jobs, ukimwambia kalime wanakataa, ndio maana hata kuna kipindi nilimshauri MNYIKA atumie muda wake akalime, hiyo ilikuwa baada ya mbunge mmoja hivi kusema anatafuta vijana wakalime kwenye mashamba ya morogoro, sikumsikia huyo MNYIKA hadi leo ! kila mtu anataka apigwe na ac ofisini, mwangalie mnyika alivyonenepa halafu umwambia akalime, atakuelewa ?
 
Kilimo ninachokizungumzia mimi sio unachokifikia wewe, Unataka kuniambia pakiwa na soko la mazao la kutosha watanzania hawatalima?
Na si kweli kuwa kila mtu anataka kasi ya ofisi, ila watu wanaangalia ni wapi pa kupatia walau pesa ya kula
na ndo maana perception zako zinakwambia kuwa kila mtu anataka kazi za maofisi,
Lakini kumbuka ni watanzania wangapi wameajiri mpaka leo hii, na ni wangapi wanalima kwa kutegemea kilimo hicho hicho kibovu??

-kilimo gani ulichokuwa unazungumzia wewe ? binafsi najua kilimo kimoja tu.
-tuanze na wewe mzee, KUWA MKWELI, hutaki kazi ya ofisini ?
- ni kweli watu wanaangalia kwenye pesa, sasa unaonaje kwamba "mentality ya wengi wanaodhani na kutaka kufanya kazi ofisini ndio zinalipa" zaidi ya ukulima, NDIO MAANA HAWATAKI KWENDA KWENYE HAYO MASHAMABA ili mradi wapate kipato zaidi.

SASA UPO TAYARI KUTANGULIA SHAMBANI MZEE ??
 
CLUE: Subirini siku si nyingi mtasikia kitu toka DC... wasidhani hizi ni kelele tu.. hivi hayo ya Finland wanadhani yanatokea bure... subirini na wahisani wengine watakapoanza kuunga mkono siku chache zijazo...

mes.gif
 
Mnyika kanenepa siku hizi? dizaini naye keshakuwa fisadi...

majungu hayo! kanenepa kwasababu anakulakula hovyo junk foods....bongo si unajua tena, kuwa na kitambi ni mtama kwa watoto(ujiko, huchukui mtoto bila 'tambi yiiiya....ukiwa kimbaumbau kama mie unaonekana apeche aroroo)!!! mwacheni Mnyika wa watu na matatizo yake ya unene....mazee mnyika chukua membaship kwenye jim flani hapo tauni upunguze mafuta hayo, NOMA!!! haya tuendelee kujadili proposal hii toka kwa mkulu mlalahoi.
 
majungu hayo! kanenepa kwasababu anakulakula hovyo junk foods....bongo si unajua tena, kuwa na kitambi ni mtama kwa watoto(ujiko, huchukui mtoto bila 'tambi yiiiya....ukiwa kimbaumbau kama mie unaonekana apeche aroroo)!!! mwacheni Mnyika wa watu, tujadili proposal hii toka kwa mkulu mlalahoi.

Bongo junk foods zitoke wapi bana...wewe umewahi kuona Wendy's au Quiznos bongo..?
 
Kwani nchi zilizoendelea amabzo zinategemea kilimo unadhani wanalima kama Tanzania? Kwani umeambiwa ukilima ndo huingii ofisini, kila mtu ataingia ofisini kwa staili yake na uwezo wake,

Kwa taarifa tu, mimi niko shamba mzee, nakomaa nakilimo tu kaka, kwahiyo wala sitegemei ofisi mimi, ofisi yangu ni kilimo na napiga tu kimtindo

let me borrow a quote from barack obama, (change), in my case DEVELOPMENT does not start from top down, it starts from bottom up ! najua ni 40 something years since independence, lakini we have to start from down going up ili tuendelee, leo na leo mnataka kulima kama hao wazungu ulioawasema !

also, thank you kwa kulima na kutuongezea chakula, mshike mkono mtu mwingine huku nikijitayarisha nami kuja kulima !
 
Bongo junk foods zitoke wapi bana...wewe umewahi kuona Wendy's au Quiznos bongo..?

we peasant nini?? kuna subway dizim wewe!!! na vi-shop flani flani vinauza burgers na pizza, wao wanadhani ndio ujiko........matozi tauni pale wakiwa na dates wanaenda kutia nazo msosi subway!!! kwikwikwikwikwikwikwi, kaaaaaaazi kweli kweli.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom