Wito kwa Miss Neddy

hahahahahahHahahhahahah watanuachia radhi kuna dada zangu na ntuzu kati yao

mamiiiiii!!! mbona hivyo lakini?

unajua kuna vimtu humu vina macho kama indiketa ya trekta!!!

wasione jema tu...!
 
Km Hawa maparoko hawataki Si bora ukamtorosha tu!

kijana tulia... niko mjini !!! hii ndoa itafungwaaaa, tena na paroko!!! ngoja nicheze hart trick sasa..
 
mamiiiiii!!! mbona hivyo lakini?

unajua kuna vimtu humu vina macho kama indiketa ya trekta!!!

wasione jema tu...!

hahahahaha jaribu kuongea na Eiyer paroko mkuuu utoe sadaka ya bulungutu la noti akupe chansi ya kula kiapo
 
Last edited by a moderator:
mwaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaàaaaàaaaaaaaaaa hapo je


Mmmmmh! Kalipata Huyo Mfalme Excel ? Mbona reeeefuu km Sonyo?!

Kweli washilaga obebe!
 
Last edited by a moderator:
miss neddy, please badili avatar yako mama......please

ni maoni yangu binafsi, sijatumwa na mtu

hata hivyo, kama kuna wana CC wananiunga mkono basi na wa reply hapa:coffee::bored::coffee::coffee:
Tyta hebu saidia avatar nzuri kwa huyu Miss

hodiiii!!! paroko unamuombea nani saa hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…