Hayakuhusudada binamu wataenda pigana hao
Haya nimeahirisha usijali.usinunie wenzio sio tabia nzuri ujue
We unanitaka kama The secretary eeeh
Thanks Vin DieselNdugu yangu Erickb52....nikutakie heri ya kuzaliwa japo kwa kuchelewa....
umezaliwa mwisho wa july na mie mwisho wa august nikatia timu....
Upunguze sasa nanihiii...
Ebu toa ushauri wa buree nini kifanyike mana nikikata kifanyio ntakuwa nimemwonea sana
Thanks Vin Diesel
za siku.
Lione...!kimwagie kifanyio chake tindikali
Hahahahaaaa yan hadi mkeo kafanikiwa kunitoa torabolakwema kabisa kaka....naona umezaliwa na makeke kibao.
u don't need to worry about me honey, mie ni wako daima..!!!!!!!!!
''My love for u is stronger than anything that tries to break us''
Cc: Ruttashobolwa, Bishanga, The secretary, Erickb52
We siuliniletea mapozi nikakutema....hahahahaaaa badae mwaya lolKaribu, nakudai ujue
Lione...!
Mtajijuuuuuukilala unamuota kwenye bakuri la futari