Hahahahaaa haya subiri kidogo utaona muujizaHahahahahah eti wa kusi teh teh.... Ila na wewe unaniweka roho juuuuu khaaaa! Ntanuna mimi we haya
Thanx KebbyLive long my love B52
Afadhali haya kaa tayari.....macho mbeleeee.....PiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiHahahahahaha.... Weeee kiburi sio maungwana lol.... Mtoto mdogo weye umezaliwa jana nani kakufundisha kununa???
Nimefuta kauli haya cheka basi
Hahahaahaha.... Dada binamu Lady doctor asikutishe huyo hana lolote.... Nenda na shemeji Arushaone ukaichukue hiyo zawadi....huo ni ujanja wa Erickb52 kukutisha ili usiifuate
Hata huyo ndugu usimuamini shem...labda mimi tu!:tongue:
Nunua mashine...