Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

jion hakosi mtu, ntafunga kijiweee!!!!!

Eti charminglady umeniita? Nimeambiwa unataka nikuvushe kama siku ile nikufikishe kileleni.....

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Oh basi niwie radhi bibie, sitakuitika tena ukiniita.... Ntakuja nshautwika wa kutosha nikifika ni kulala tu (Hapa hommie Kaizer anaweza kunisaidia maelezo zaidi)

Ucpime.jpg

Ndo mshakunywa na Kaizer chupa zote hizo ?.....sio bure amebadili mwandiko tehe ! Wapi PakaJimmy jamani ?
Aisee sweetlady,
Si umeona mwenyewe eeh?
Nakuuliza si umeona eeh?
Naongea na wewe, si unijibu?!
Mimi nikisema naonekana mkorofi!
Sasa hao wakimaliza hizo zote si wanaweza wakamng'oa mtu ulimi kwa kutumia koleo a.k.a playaz?
ONgEZA MTU mbadala kwenye ile kamati yangu bana.. platozoom peke yake hatoshi, wanaweza kututeka hawa bana!
Mi nawaogopa hao mimi!
 
Last edited by a moderator:
ha! jamani mbona sijaona nafasi yangu nitakayoshiriki? muda ninao kwani tuko kwenye mgomo hata kukesha ninaweza,mpanga ratiba tafadhariiiii!

We mwl frank wewe .....usijesababishwa wenzio tupelekwe mabwepande bana....huu mgomo mahakama si imesema ni batili jamani ?...............basi wewe kusanya glasi zote hakikisha Asprin haondoki na glasi manake ndio zake!
 
Last edited by a moderator:
Aisee sweetlady,
Si umeona mwenyewe eeh?
Nakuuliza si umeona eeh?
Naongea na wewe, si unijibu?!
Mimi nikisema naonekana mkorofi!
Sasa hao wakimaliza hizo zote si wanaweza wakamng'oa mtu ulimi kwa kutumia koleo a.k.a playaz?
ONgEZA MTU mbadala kwenye ile kamati yangu bana.. platozoom peke yake hatoshi, wanaweza kututeka hawa bana!
Mi nawaogopa hao mimi!

Nimeona PakaJimmy afu najuuuuta kweli kuwaweka hiyo sehemu.... platozoom yenyewe keshalewa.....vipi Preta na Blaki Womani wanakupa shida yoyote?
 
Last edited by a moderator:
Aisee sweetlady,
Si umeona mwenyewe eeh?
Nakuuliza si umeona eeh?
Naongea na wewe, si unijibu?!
Mimi nikisema naonekana mkorofi!
Sasa hao wakimaliza hizo zote si wanaweza wakamng'oa mtu ulimi kwa kutumia koleo a.k.a playaz?
ONgEZA MTU mbadala kwenye ile kamati yangu bana.. platozoom peke yake hatoshi, wanaweza kututeka hawa bana!
Mi nawaogopa hao mimi!

Mbona unakuwa mwoga sana.........mbona mimi naona hizo ni soda tu
 
Maaaaaaaaaaaaaanina...............Tumepiga maji kuanzia Sakina, Unga limited mpaka sanawari........Happy Basideiiiiiiiiiii Erickb52..........tunaomba siku kama ya leo itokeee baada ya mwezi mmoja

dmcGkgRa0.jpg
 
Last edited by a moderator:
@ wifi sweetlady opena yangu umeiona wapi
Erickb52 heri ya siku ya kuzaliwa Mungu akujalie miaka mingi yenye furaha na baraka tele

Heheehe hatimaye wifi langu umejitokeza dakika za majeruhi......mefurahi sana asee! Opena kuna mda nilimwona PakaJimmy kabeba kama tatu hivi nadhani moja itakuwa hiyo yako......umeona hao wageni walioingia sasa hivi wamekaa hapo kulia kwako eeh ....hebu wapelekee kinywaji afu useme na hao wa chakula wawapatie pia!
 
Last edited by a moderator:
Maaaaaaaaaaaaaanina...............Tumepiga maji kuanzia Sakina, Unga limited mpaka sanawari........Happy Basideiiiiiiiiiii Erickb52..........tunaomba siku kama ya leo itokeee baada ya mwezi mmoja

dmcGkgRa0.jpg

Hivi nani alipewa kazi ya kukusanya chupa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom