Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

I swear kama ningeambiwa mapema ningemtumia rafiki yangu ericb52 nepi au pampers za kutosha then ningemwambia sweetlady amvishe akumbukie siku yake genuinely. Happy birthday rafiki, i wish you 10 times of ur age. Celebrate qualitily.
 
sijaelewa hapa...shem sweetlady kuja huku sirini tutete...
hivi Amyner ana habari na haya majambo kweli...?...

HAPPY BIRTHDAY BRO...U DESERVE YEARS AND YEARS IN THIS PLANNET...MAY ALMIGHTY GOD GRANT YOU ALL WHAT U NEED AND LONG LIFE EVER...
 
Last edited by a moderator:
I swear kama ningeambiwa mapema ningemtumia rafiki yangu ericb52 nepi au pampers za kutosha then ningemwambia sweetlady amvishe akumbukie siku yake genuinely. Happy birthday rafiki, i wish you 10 times of ur age. Celebrate qualitily.
Hahahaaaaa Arushaone umenifurahisha aissee lol
Ningezipokea kwa kuwa zawadi ni zawadi na wakunivalisha Remmy yuko standby kwa kazi yake.....
Thanks sana kamanda kwa wish yako hadi hapo nimepabold
 
Last edited by a moderator:
big

Come this way papito...............................:A S 465:
 
big

Come this way papito...............................:A S 465:
Waooooooooh
Asante madame Erotica the sexiest lady ever seen in the world!
Kwanza nilikumiss sana pili love you sana
Mwisho nakungoja kwenye party!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa Arushaone umenifurahisha aissee lol
Ningezipokea kwa kuwa zawadi ni zawadi na wakunivalisha Remmy yuko standby kwa kazi yake.....
Thanks sana kamanda kwa wish yako hadi hapo nimepabold

Nipo darling... Hakuna mwingine wa kukuvalisha, eti angempa sweetlady, weeeeeeee...
 
Last edited by a moderator:
Salamu alizotoa mama watoto zatosha kabisa
Narudia kusema hakuna kama sweetlady dunia nzima....im so proud of u bby gal kwa kuandaa shughuli kama hii
Mkuu Erickb52,Mungu akubariki sana uone bday bilioni kadhaa mbeleni....
 
Last edited by a moderator:
Aisee sweetlady,
Si umeona mwenyewe eeh?
Nakuuliza si umeona eeh?
Naongea na wewe, si unijibu?!
Mimi nikisema naonekana mkorofi!
Sasa hao wakimaliza hizo zote si wanaweza wakamng'oa mtu ulimi kwa kutumia koleo a.k.a playaz?
ONgEZA MTU mbadala kwenye ile kamati yangu bana.. platozoom peke yake hatoshi, wanaweza kututeka hawa bana!
Mi nawaogopa hao mimi!
PakaJimmy lisemwalo lipo...
Ila mi sijasema neno!
BTW Asante sana kwa ushirikiano na upendo wako.....naomba unipatie dada yako mmoja wapo ( Remmy ) nikusaidie kumtunza eeeeh
 
Last edited by a moderator:
Salamu alizotoa mama watoto zatosha kabisa
Narudia kusema hakuna kama sweetlady dunia nzima....im so proud of u bby gal kwa kuandaa shughuli kama hii
Mkuu Erickb52,Mungu akubariki sana uone bday bilioni kadhaa mbeleni....
Dah Vin Diesel naomba Mungu ayabariki maombi yako kwangu na pia ayarudishe kwako ili wote tufurahi kwa pamoja kama hivi!
Otherwise namshukuru sana mkeo sweetlady kwa kampany yake!
Nampenda sana shemeji yangu na umtunze kwa upendo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom