Umeona eeeeeh thankshapo red papito, mwaaaaaah. mwaaaaaaah. mwaaaaaaaah.
Dah Vin Diesel naomba Mungu ayabariki maombi yako kwangu na pia ayarudishe kwako ili wote tufurahi kwa pamoja kama hivi!
Otherwise namshukuru sana mkeo sweetlady kwa kampany yake!
Nampenda sana shemeji yangu na umtunze kwa upendo!
napenda kuwabusu watoto wachanga, natamani natamani natamaniiii...............
charminglady fanya faster watu washalewa wanataka kulalasweetlady nipo kwny kibajaji nakujaaa keki yangu niikute plz!
Heheheeee mi simo Vin Diesel
Mi nataka dhawadi tamuuuu kuliko maelezonajisikia vibaya jamani kuchelewa kukulea. Hebu niambie unachotaka baby boy.