unajua ukiongea sana busra huonekana ni tusi, mi nadhani kabla ya kutengana ni bora kila mtu arudi kwao yaani wazanzibari waende kwao na watanganyika warudi kwao, halafu ndo zoezi la vitambulisho vya uraia vingetolewa ili wakija bara kununua mahindi waje kwa passport na visa, kifupi hii ndoa imekuwa taiti sana kiasi kwamba mpaka wivu wa upendo umetoweka kabisa zanzibar haina mapendo na tanganyika na tanganyika haina mapendo na zanzibar, kama vipi tumwite mshenga ili taraka itoke tumwagikane kila mtu kivyake. wazanzibar wanajifanya majeuri sana, hawataki kuelewa kabisa. wimbo wa taifa wamepata mwaka 2000 pamoja na bendera, jeshi wanalo linaitwa KU ama jeshi la kujenga uchumi bara linaitwa JKT. Tuwaachie kipande chao nasi tubaki na mafya, na kijisiwa kingine cha mwanza kulee. kama mpango mzima serikali moja tu...