Wimbo wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar upo kabla ya Muungano.
Tukiuimba wakati wa parade kila asubuhi tangu enzi hizo na wala haujawahi kuachwa kuimbwa hata leo katika skuli zote za Zanzibar.
MUNGU AMETUBARIKIA UNGUJA NA PEMBA YOTE.
SOTE TUNASHANGILIA JAMHURI KUTULETEA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.