Walikuwa wanatumia huu wa Muungano: "Nkosi sikeleli Africa" Mungu ibariki Afrika!Kabla ya Muungano Tanganyika walikuwa wanatumia wimbo gani?...
Walikuwa wanatumia huu wa Muungano: "Nkosi sikeleli Africa" Mungu ibariki Afrika!Kabla ya Muungano Tanganyika walikuwa wanatumia wimbo gani?...
Ni wewe ulio na ufinyu wa fikira. Kwani ulishawahi kuniona nikaenda unakuabudu kuomba msaada. Usiwe mjin ga kwani nilikwishakwambia kuwa mimi sina chembe ya wasiwasi na ninachokiamini kwani si abudu kile ninachokitengeneza. Usiwe mjinga wa kututowa katika mambo ya maana ukatupeleka kwenye ukungu. Hiyo dini yako ni yako na sikukatazi kujidanganya . Kama unataka mambo ya kidini basi nenda kwenye jukwwaa lake . Na ikiwa mambo ya Zanzibar basi kufa kihoro utatuona tunayeya tu.
Watanganyika kwa nn hawawezi muungano na nchi nyengine?
haha..kwa akili yako zenj ina ya kuonea gere..hata wanywa gongo huw anao wakisalewa huona wengine wanawaonea sana wivu.
Kwani nai anaabudi alichokitengeneza...nyie ni wajinga kwelikweli..Mwenzio kaniambia eti naabudu msalama..nikamuuliza ule mwezi mchaga (kwetu mwezi mchanga ni kipindi cha vichaa,hata mbwa na paka huwa kwa veterinary sana), na nyota ni km msalaba tuu .Ndio maana siku hizi kuna red crescent , wakasema sanamu na picture....siku hizi kuna sanamu na picture za buraq kibao ktk nyumba waislam, na bado waislam wanaiga vitu vingi sana wanavyovipinga..ni km vile wanatamani kila kingeekwa vyema kw ajina la dini yao.
Haha ha ah ! Kwani ndivyo nilivyokwambia hivyo? Pole nilikusudia kua unaamini kitu ulichokitengenza mwenyewe yaani imani yako na muono wako juu ya Zanzibar ni vitu visvyo na ukweli. Lakini binaadamu mara zote hutafsiri jambo kwa mapenzi yake nawe umerogewa na udini. Sasa kama hivyo ulivyosema kuwa unaabudu unachokitengeneza mwenyewe inaapply na imani yako ya dini basi nakurudia tena kuwa hilo ni lako mwenyewe. Nijuavyo mimim kuna jukwaa la dini na nikitaka kuzungumzia masuala ya dini nitakwendaga huko!
Dont tell me naongea na mwehu hapa...nilichoandika na ulichtafsiri ni tofauti sana.Hata ulichoandika kipo very shallow na kinapingana cheyewe,kila mstari unakwenda njia yake.
mungu ametubarikia uunguja na pemba yote
sote tunashangiria jamhuri kutuletea mungu ametubarikiaaaaa unguja na pemba yoteeee
Hakuna wimbo wa Tanganyika kwanza ni kitu gani hicho Tanganyika... zanziba ni nchi tangu zamani
Wimbo wa taifa la Zanzibar huu hapa]
Asante mkuu nimeusikia ukiwa katika ala tupu sasa sijui maneno yake ni yepi? Na bendera yao nimeiona wamechomekea ka kipande ka bendera ya Tanzania kimtindo kwenye kona ili wakati wowote iwe rahisi kukaondoa!



Hapana ni ule waaa tumeipenda wenyewe.. Kwakwa! Mtaisoma nambaeee.. Fisiem nyumakwanyumaUpi huo? Ndiyo Ule wa Ahmada umelewa? au Muhogo wa Jang'ombe?
