Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

Ili miezi 3 mitatu bila umeme Zanzibar ni mibaya kuliko kipindi chote katika historia , watu walibakwa , waliporwa, makampuni makubwa na mahoteli ya kitalii yalifunga na kuondoka (mfano venta karibu hotel) bei ya mafuta ilifika elfu 5 kwa lita, majenereta yaliwafilisi wafanyabiashara na kuuwa familia nyingi kwa pamoja, bei ya bidhaa ilipanda, moto wa majenereta ulimuunguzia kila mtu makomputer yake pamoja device elektroniki zingine, bora vingetokea vita kuliko hali ile. Kosa lilikuwa usingizi mnono wa Serikali ya Karume na Waziri wake Shemeji Mansour Himid kwa sababu Waya unaoleta umeme Fumba toka Bara ulikuwa ubadilishwe baada ya maximum miaka 25, na ule ulikuwa umezidi 30, ndio maana kwa kuwazuga watu ili viongozi wasifikiriwe kunyongwa walileta burudani la Uamsho ili watu wasikilize show ya ndoto ya Nchi ya Zanzibar, na si haba watu walikubali show na serikali ya Karume pamoja na maovu na ufusadi wa kutisha unakumbukwa vizuri sanaaaa !!!

Nashkuru sana kwa kukubali kuwa Wazanzibar tulikibali show tulochezewa name karume na huo ndio uungwana wetu na daima tutauenzi, suala LA ubakaji na uboraji laweza kutokea kweupee na umeme wenu ukiwepo, lakini hoja Yang kwamba bado Waumgwana wa Kizanzibar twaweza kuishi bila ya umeme was Tanganyika, na wao hilo wanalijua maana Zanzibar tuliwasha umeme mapeema kabla ya hao wanojidai eti wanatuzamin umeme..
 
Wazanzibari muungano ukivunjika... MSIZALIANE. Mtajaa humo wengine muishi baharini kama samaki😀😀😀
 
Naam Zanzibar tunajuwa nani wa kumgaidia sio nyinyi mnaouwana wenyewe kwa wenyewe, na kuna hatari Tanganyika vita vya wenyewe kwa wenyewe vikazuka. Mna vikundi vingi vilivyotayari kwa kugaidiana wenyewe kwa wenyewe, kuna wakulima na wafugaji, wachimbaji na wawekezaji, CCM na CHADEMA, Wapinzani na vyombo vya dola, na msururu mrefu wa vikundi vinavyopigana.

Zanzibar unahesabu vitendo unavyoviita vya ugaidi laikini ndugu zetu nyie mmekazania kuuwana tu kila kukicha, sasa hilo la kuihukumu Zanzibar linakuja wapi.
Tuna adui mmoja tuu CCM..bahati mbaya nyie mliyempa heshima ya mapinduzi...Chama Cha Mapinduzi....CCM ikifa makundi hayo yote hayatapigana tena..kwani watapewa majibu yasiyo ya kisiasa.

haha..naona unasogea ktk ukweli ukidhani kuwa una ugaidi wa tofauti..hiyo ndio tofauti ya watu tuliofundishwa black ana white na nyie mliofundihwa grey na rangi nyingine za kuchanganya.Kweli mbakaji ni kambaka nani, muuaji ni kamuua nani na kwa maslahi na nani, kwenu nyie cha kuokota si haramu..as if kilijileta na kujinunua chenyewe..kwenu nyie alyebaka anaweza asiwe an hatia ila mbakaji..eti alivaa vibaya.
 
Ili miezi 3 mitatu bila umeme Zanzibar ni mibaya kuliko kipindi chote katika historia , watu walibakwa , waliporwa, makampuni makubwa na mahoteli ya kitalii yalifunga na kuondoka (mfano venta karibu hotel) bei ya mafuta ilifika elfu 5 kwa lita, majenereta yaliwafilisi wafanyabiashara na kuuwa familia nyingi kwa pamoja, bei ya bidhaa ilipanda, moto wa majenereta ulimuunguzia kila mtu makomputer yake pamoja device elektroniki zingine, bora vingetokea vita kuliko hali ile. Kosa lilikuwa usingizi mnono wa Serikali ya Karume na Waziri wake Shemeji Mansour Himid kwa sababu Waya unaoleta umeme Fumba toka Bara ulikuwa ubadilishwe baada ya maximum miaka 25, na ule ulikuwa umezidi 30, ndio maana kwa kuwazuga watu ili viongozi wasifikiriwe kunyongwa walileta burudani la Uamsho ili watu wasikilize show ya ndoto ya Nchi ya Zanzibar, na si haba watu walikubali show na serikali ya Karume pamoja na maovu na ufusadi wa kutisha unakumbukwa vizuri sanaaaa !!!

HIyo ndio Zenj....halafu habari za ngono na maovu yake, pamoja na mdhara mengine ya ngono zembe hayazungumzi kwa uwazi Zenj..eti si maadili kuyaongea ila kuyafanya ni OK....ngono uti wa mgongo wa Zenj.
 
Hiyo tune ya wimbo wa zenj, yaonekana ulitungwa kanisani kabisa!

Haha..kwa vile mabwana za Zenj huwa taaabu ndio chaguo,kingine ushairi..sasa wimbo wataifa ukiwa shairi si kazi....Ni lazima ufanane na Za kanisani kwa vile utamaduni wenye allaha nyingi za majeshi na ni uleule uliozaa nyimbo za makanisani.
 
Kwani huwa uusikii na kuuiamba kila mara?

kuusikia haiwezekani lazma ntauckia ama kuuimba daima ctafanya upuuzi huo maana asili take ni Tanganyika lkn mbaya zaidi ni wimbo wa kikafiri umetolewa kanisani kweny vitabu vya nyimbo za kumtukuza bwaaana...
 
binafsi nimefurahi kuona rais wa jamhuri ya muungano wa tz akiwa chini ya gavana wa jimbo la zanzibar kiprotokali na hii inatufungua akili kuwa muungano wetu ni wa hovyo kabisa.
 
wenzetu wana wimbo wataifa lao, bendera,katiba na raisi wao. sisi tanganyika yetu iko wapi? wimbo wetu wa taifa ni upi?
na katiba ndo kwnza inataka iandikwe. sisi blaa blaa tu. wazanzibar kudai nchi yao kua nje ya muungano hawajaanza leo wala jana sisi tumebaki kusema ooo zanzibar ni mzigo katika muungano, kama ni mzigo kwanini tusiutue? sitaki kuamini kua kuanzia nyerere hadi kikwete na viongozi wetu wengine kua hawaoni kua zanzibar ni mzigo kwetu na unahitaji kutuliwa. siku muungano ukikatika ndio itajuulikana nani hasa ndie aliekua akifaidika zaidi.nakumbuka hata raisi wa znz mzee jumbe alidai maamlaka kamili znz na kuhoji uhalaliwa muungano, nyerere na wenzie wakamuondoa.
 
Yan kama mtu alifuatilia hizi sherehe na ni muelewa lazima ataona upumbavu uliopo ktk hicho kiini macho kinachoitwa Muungano!
Yan Rais wetu anakuwa chin ya Gavana wa zanzibar?, Shein anakagua gwaride mbele ya Rais wa muungano kama nani? SHein anapigiwa mizinga 21 mbele ya rais wa JMT? Ebu tuache huu upuuzi turudishe heshima ya TANGANYIKA YETU TUKUFU.
kiukwel kikwete kadhalilishwa sana leo kiitifak ,kiprotokali na kiheshima!
Huu ni ujinga JK kuwa chin ya Shein
 
wimbo was kikatolikii

Haha..Kwanini hawakumiwta J Nature aje watungia kwani ndie huwa anaimba sana kwa staili ya kuweka kidole ktk sikio..na kukunja sura km kichwa imezidiwa na dose ya bangi.Na sauti iwe ile ambayo inakwenda halafu inafikia mahali km gari limeanza ishiwa mafuta ktk mlima.

John mpiga ramli naye alikuwa akiweza san akabla hajaweza uhai wake rehani kwa kujiapiza kuwa atakayempinga JK atakufa ama yeye afe.
 
kuusikia haiwezekani lazma ntauckia ama kuuimba daima ctafanya upuuzi huo maana asili take ni Tanganyika lkn mbaya zaidi ni wimbo wa kikafiri umetolewa kanisani kweny vitabu vya nyimbo za kumtukuza bwaaana...

haha....hata vyoo vya kutoweza "saidia watumia mawe na michanga" navyo naviona siku hizi zenj...na wee hutumiii pia?hata ktk ndege zaidi ya maji na toilet paper sijui km wanaweka mchanga na mawe kwasaidia wasio makafiri..

Huwezi kimbia ukafiri wewe mwehu..leo hadi Zantel inachezesha mahati nasibu kwa wateja wake, mabenk yanayofanya halal banking,ukishaweka hel unabaki na thamani tuu hela yako inawekwa ktk kapu la mikopo ya riba....ila wewe tuu ndio hupewi hiyo riba...wanaojidai kuw apia hatoi riba..wanachukua kingi kwa vile mnagawana faida..hata km faidi ni asilimia 200 watatoa hela na gharama zao halafu wangawana wewe 100% kwa 100% kitu ambacho kwa makafiri ni bora.

Kuanzia internet na kia kitu kinachoweka vitu hadharani ni ukafiri, mwanake kuazlishw ana kufnayiw aoperation na dakatair w akiume na kike ni ukafiri pia...sijui utaukimbiaje ukafiri.
 
Swali la kipuuzi,kwani kuna benki kuu,sarafu,bendera,polisi na jeshi la Tanganyika si mlijifanya kuhodhi vitu vyote kwa jina la muungano.Pengo sasa hivi hana raha kwa sababu serikali mbili ndio matakwa ya Vatikani ili waendelee kuritadisha Wazenji na kupora ardhi.

Bobo lee hiyo ardhi ipi mnayoporwa zaidi ya ninyi kuchukua ardhi bara.Huko mnaporana wenyewe.
 
Haha..kwa vile mabwana za Zenj huwa taaabu ndio chaguo,kingine ushairi..sasa wimbo wataifa ukiwa shairi si kazi....Ni lazima ufanane na Za kanisani kwa vile utamaduni wenye allaha nyingi za majeshi na ni uleule uliozaa nyimbo za makanisani.

Haha..Kwanini hawakumiwta J Nature aje watungia kwani ndie huwa naimba sana kwa satili ya kuweka kidolo ktk sikio
naam kweli ila wee hutoweza maana ugozi wako bado haujatolewa.....ivi hadi lini vileee?
 
naam kweli ila wee hutoweza maana ugozi wako bado haujatolewa.....ivi hadi lini vileee?

hembu malizia hiyo nyimbo ya kuweka kidolo ktk sikio moja kwa vile huwa ni km dozi kubwa ya bangi....ndipo utaweza chnagia hapa.

wenzio wakiimba ile huwa inabidi hadi vichwa viyumbishwe km Nyubu aliyetahiwa mayai na nchi ktk pua wadudu wakaenda anguliwa ktk ubongo km mafunza.Huwa wanazunguka hadi wanakuafa kwa muwasho ktk ubongo.

Zile nyimbo km za Nature nazo zina effect hiyo kichwa cha mwimbaji..ndio maana nature alikuwa kaimwimbia sinta hadi mafuta yanakata.Huku jasho likimtoka.
 
Yan kama mtu alifuatilia hizi sherehe na ni muelewa lazima ataona upumbavu uliopo ktk hicho kiini macho kinachoitwa Muungano!
Yan Rais wetu anakuwa chin ya Gavana wa zanzibar?, Shein anakagua gwaride mbele ya Rais wa muungano kama nani? SHein anapigiwa mizinga 21 mbele ya rais wa JMT? Ebu tuache huu upuuzi turudishe heshima ya TANGANYIKA YETU TUKUFU.
kiukwel kikwete kadhalilishwa sana leo kiitifak ,kiprotokali na kiheshima!
Huu ni ujinga JK kuwa chin ya Shein

Povu linakutoka kumtetea kikwete unadhani utapewa ukuu wa wilaya?
 
Back
Top Bottom