sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 2,568
- 7,430
EeehBinti hongera zake sana, kipesa ni Sawa na almost dollar 700,000/= amagain
.
Kama wewe unavyomsaidia Zuchu kugawa matako akipigwa pipe akachoka, Diamond anakufuata wewe chawa wa wasaf anakufumuaSijawai kuona mwanaume anaemuonea wivu mtoto wa kike akabaki na malinda.....unapelekewa fire dogo
Umeamua kuelezea tabia zako 😅😅Kama wewe unavyomsaidia Zuchu kugawa matako akipigwa pipe akachoka, Diamond anakufuata wewe chawa wa wasaf anakufumua
We endelea tu kuliwa .Umeamua kuelezea tabia zako 😅😅
Pole kwa roho mbaya, sio kosa lako ni hali yako ya kimaisha inakufanya uwe na roho mbaya. Zuchu ashafikisha views million 100 wengine tumeamua kupongeza kwa sababu ni step ambayo sio rahisi, wewe ulieamua kuumia pia upo sahihi sababu unaugua roho mbaya.Hizi rekodi mnazilazimisha kishenzi,you may as well as spit on it first.Ohh sijui solo artist kaimba Kwa mapana,yaani viewers ni upuuzi unaoweza nunua.Tunataka ma Grammiess.
Kwamba analipwa na makampuni kwa matangazo?Binti hongera zake sana, kipesa ni Sawa na almost dollar 700,000/= amagain
.
Ndo nani huko thed weld?View attachment 2943283
Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa.
Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube.
Na pia anaingia kwenye orodha ya wasanii wakubwa Africa wenye video zenye watazamaji wengi.
Mlolongo amelikePole kwa roho mbaya, sio kosa lako ni hali yako ya kimaisha inakufanya uwe na roho mbaya. Zuchu ashafikisha views million 100 wengine tumeamua kupongeza kwa sababu ni step ambayo sio rahisi, wewe ulieamua kuumia pia upo sahihi sababu unaugua roho mbaya.
Wewe endelea kulima bamia mambo mengine yakupiteNdo nani huko thed weld?
Hapo kuna mtonyo mkuu the way unapopata viewers nyingi ndipo mtonyo unaongezekaHizi rekodi mnazilazimisha kishenzi,you may as well as spit on it first.Ohh sijui solo artist kaimba Kwa mapana,yaani viewers ni upuuzi unaoweza nunua.Tunataka ma Grammiess.
Dollar za nchi gani?dollar 700,000/=
Aisee! Unachekesha kweli we jamaa.Binti hongera zake sana, kipesa ni Sawa na almost dollar 700,000/= amagain
.
😂😂Ndo nani huko thed weld?