William Malecela na Ajali za Kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

William Malecela na Ajali za Kisiasa

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Muke Ya Muzungu, Jul 13, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Le Baharia Lemutuz, the Big show, Sauti za Umeme @NY amepata ajali nyingine ya kisiasa pale kigamboni baada ya kuangukia pua katika uchaguzi wa viongozi. Waliopita kidedea ni Ndg. Adriano Richard Haonga na Zulfikar ali Mzige.

  Tafadhali ndugu yangu William Usikate tamaa. Kama vipi JK akupe hata ukuu wa wilaya ukisubiria Mtera 2015. umekuwa mtetezi mkubwa sana wa Chama, hata NEPI akupe kazi ya ushauri wake kwenye maswala ya mtandaoni na siasa kwa ujumla. Kumbuka hata shyrose Bhanji naye alipitia haya haya. USHAURI. Punguza kuhudhuria kumbi za starehe na kuzunguka na wadada zetu, pengine watakuona wa maana
   
 2. a

  alex50 JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Ha ha ha. Mi napita tu
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  well said
   
 4. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ....arudi akapige boksi tuu na kusubiri minuso ya wageni wanaotia timu pale mujini , anapoteza muda bure huyo bitozi wa kizamani ubaharia wa mashua na ngalawa sio sawa na wa meli kubwa za maana. Wamemwongopea, akimaliza vijisente vyake vichache watamkimbia hata salam hatazipata !!
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Its not easy to be Le Mutuz........
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,469
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa wangekua walishampa cheo mda mrefu tatizo kupiga picha na akina wema,sinta na kwenda twanga kila show halafu kesho yake anajitangazia mitandaoni hii inawakera sana wenye chama.!!
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  William Malecela,
  Ndugu yangu, sikia ushauri unaopewa. Wewe ni mtu mzima. miaka 50 siyo kidogo. Tafakari hatima yako, haya mambo ya kuzunguka na wakina Wema, sintah, miss tanzania hayana tija katika harakati zako. Kila mtu anakuona kama vile haujakomaa siyo tu kisiasa bali hata kisaikolojia kiasi cha kupewa uongozi.

  Nina imani, Rais Kikwete angeshakupa hata ukuu wa wilaya, lakini ww kila siku hupo kwenye klabu na mademu lukuki. Nakushauri ufunge blog lako, punguzi kujianika kwenye mitandao na pia utafakari mbele. Tabia unazoonyesha kwa sasa hazina toauti na za Mange (mtoto wa dadako). Kwa mtu msomi mweye upeo, nadhani haya yote ungeshayaona. Kumbuka una familia, watoto na mke. Hata kama mmeachana lakini bado ni mama watoto wako. Usijishushie heshima katika jamii

  Come on William. Unawezaje kuzunguka na Mange, Sintah na Wema? seriously!

  Kiongozi ni kioo cha jamii. Pale vijana wadogo ambao wengi wao ndio wapiga kura watakapokuona wa maana kwa kufanya vitu vya maana badala ya kujiita majin aya ajabu kama mvuta bangi wa kijiweni, mara LeBaharia, LeMutuz, bigshow, etc.. watakupigia kura, zaidi ya hayo, nadhani utaendea kuwa msindikizaji.

  Mwone vicky Kamata, Catherine magige ambao hata kusoma sijui kama wanajua wako bungeni, wewe ni zaidi yao mara kumi, il akwa mwendendo huu ndugu yangu, safari itakuwa ndefu sana. Ushauri tu. Ila ukweli ni dawa, naomba uimeze utapona. Kumbuka wewe ni mtoto wa kiongozi mambo yenu ni mswano. Ni kiasi cha simu au note, lakini wewe kwao hata hao viongozi utaonekana mtu asiye bebeka.

  Watoto wa Mwinyi, Makamba, Nchimbi, Nnauye, Kawawa,Sokoine, ec..wote wanabebwa kwa nini wewe usibebwe? Pengine kwa sababu wewe ni mzito sana na hii inatokana na zigo la wakina Wema na Mange ulilojitwika mwenyewe. Mtoto wa mkulima anasota miaka karibia 15 kufikia hapo ulipo, wewe tu kushuka majuzi toka NY, umeshakutuna na viongozi karibia wote. Kwa nini wasikulazimishie hata ka cheo?

  Jibu mwenyewe kwani wanao wanakuwa na wanakusubiria kule Mt. Vernon. Kadhalika wapo katika umri wa kusoma mitandao na kuona picha zako na Vimwana
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kama anajielewa atautumia ushauri huu,tatizo anafanya kama anakomoa watu kumbe anajichafua mwenyewe,mambo anayoyafanya hayaendani na vyeo anavyogombania,ashajiharibia sana asipofanya ishu zingine kwenye siasa atasota sana hakuna anayeweza kumchagua jitu lisilojielewa
   
 9. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Siasa sio kwa kila mtu

  na sio lazima kama baba ni mwanasiasa na mtoto ni lazima awe mwanasiasa
  Angejua angeenda jilimia zake zabibu DODOMA nadhani itamlipa mara mbili kuliko siasa
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  mmmmh acha nipite....
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,818
  Likes Received: 36,917
  Trophy Points: 280
  kenge huwa hasikii hadi umtandike mpaka damu zimtoke maskioni.
   
 12. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Very nice antbaotic.
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Kaka maneno ya mwisho yatamletea shida unless you really mean it mkewe kule NY ni mwana JF sasa akisoma si atashindwa kazi ubalozini
   
 14. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaaaa,Idawa bwana!

  1: So hao wakuu wa chama wanaona wivu?
  2:Hicho ndiyo kigezo pekee cha kumnyima mtu uongozi?

  Weekend stuff: Idawa ,
  So u mean we shud ignore cuttie pies and mak dem feel unimportant, kinda difficult wud giv it a try....lol

  Mwacheni Willy aishi Maisha yake halisi bwana.....
   
 15. M

  Mkandara Verified User

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Very powerful!
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Mi sielewi kwanini watu mnawashwa washwa na Le Mutus, kwani maisha yake yanawahusu nini? Huo ushauri kwanini usiufuate wewe kama unadhani ndio njia pekee ya maisha. Kutwa moja threads zaidi ya nne mwacheni aishi anavyoweza na nyinyi muishi mnavyoweza.
   
 17. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa mara ya kwanza nimeicheki blog ya Le mutuz...pamoja na kwamba chama chenyewe kimeoza , ndani ya CCM huyu Le baharia anafaa kuwa kwenye nafasi ya kutumbuiza kwenye ile bendi ya Komba lakini siyo kupata nafasi ya kiasiasa kama ukuu wa wilaya,ubunge nk...
   
 18. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]


  - Mkuu mleta mada heshima yako sana, kwenye uchaguzi wa juzi niligombea Ujumbe wa CCM Wilaya na kushinda kura 21 against 16, sasa nashangaa haya majungu umeyatoa wapi? Ha! ha! ha! ha! ha! well, nilikuwa Shoppers kwenye Show la Super Designer Khadija Mwanamboka, it was great yaani mitindo ya mavazi ya kiazawa ilikuwa supa sana, sasa hivi naenda Kawe nimealikwa kwenye White Party, nikitoka huko nitakuwa Mafian Lounge Club!! HA! HA! HA! HA! I MEAN THIS IS GREAT YOU KNOW!!

  REPECT MUCH!

  William John Samwel Malecela: MJUMBE WA WAZAZI MKOA & MJUMBE WA CCM WILAYA ILALA @ KATA KIVUKONI;DSM CITY!!
   
 19. M

  Malolella JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa(le mutuz) huwa simuelewi. Kaziyake ni kutujulisha amekula wapi leo na alikuwa na nani na anaenda wapi kujirusha anapiga picha na vidada vikiwa nusu uchi.
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  William kwisha habari yake!
  Maneno mengi!
   
Loading...