William Malecela na Ajali za Kisiasa

- Mkuu mleta mada heshima yako sana, kwenye uchaguzi wa juzi niligombea Ujumbe wa CCM Wilaya na kushinda kura 21 against 16, sasa nashangaa haya majungu umeyatoa wapi? Ha! ha! ha! ha! ha! well, nilikuwa Shoppers kwenye Show la Super Designer Khadija Mwanamboka, it was great yaani mitindo ya mavazi ya kiazawa ilikuwa supa sana, sasa hivi naenda Kawe nimealikwa kwenye White Party, nikitoka huko nitakuwa Mafian Lounge Club!! HA! HA! HA! HA! I MEAN THIS IS GREAT YOU KNOW!!

REPECT MUCH!

William John Samwel Malecela: MJUMBE WA WAZAZI MKOA & MJUMBE WA CCM WILAYA ILALA @ KATA KIVUKONI;DSM CITY!!
Wewe acha upumbavu hatuwezi kuwa na viongozi vilaza kama wewe kila siku unauza sura na hao maka***** sasa wewe na Diamond mna tofauti gani? Mi nadhani mwalimu aliwaona mlivyo wapuuzi akatibua mpango wa mzee wako wa kutaka uraisi. Watu wanakushauri unaleta uhuni tena wa kizamani unazidiwa na mwenzio Ridhiwani.
 
- Mkuu wangu utumie huo ushauri na wewe kupata uongozi, kama huwezi achia tunaoweza kilaza ni kulia lia na mtu ambaye hawezi kukusaidia anything ndio ukilaza, thread ya majungu wewe unasema ina ushauri mzuri ndio UKILAZA WAKO UNAPOANZIA NA KUISHIA!1 HA! HA! HA! HA!

- YAANI ONE CELEB KUPIGA PICHA NA CELEBS WENGINE UNASEMA NI UHUNI NA UPUMBAVU? HA! HA! HA! WEWE UNAFIKIRI UNAWEZA KUWASOGOELEA HAWA BILA KWUA CELEB? PLEASE SEMA NITAYARISHE FUNDRAISING WOTE HWA MA-CELEB WAJE KUSAIDIA WANANCHI NA JF KAMA KESHO KULE KENYATTA ROAD HAWA WOTE WATAKUWEPO!! TUINASAIDIA WATOTO WA YATIMA DODOMA!!

LE BIIG SHOOW!!
 
Its time watu sasa wamuache William awe William...
at least he does not fake to be what he is not...
 
One strong point about willy is uwazi, hana unafiki , mambo hadharani. To the best of my knowledge he has not used dads influence to seek political office or secure lucrative business deals, a real departure from tabia ya watoto wa wakubwa. Uwakilishi, whatever kata ya ilala truly speaking is humble job for a son of former diplomat/prime minister (by TZ standard). Le Mutuz for president.
 
One strong point about willy is uwazi, hana unafiki , mambo hadharani. To the best of my knowledge he has not used dads influence to seek political office , a real departure from tabia ya watoto wa wakubwa. Uwakilishi, whatever kata ya ilala truly speaking is humble job for a son of former diplomat/prime minister (by TZ standard). Le Mutuz for president.
 
Yaani wewe si mshamba tu bali ni limbukeni uliyekubuhu, nilitegemea utakaa kimya ningekuona wa maana sana, mbaya zaidi kudhihirisha ujinga ulionao eti unaweka na picha za malaya hao hapo, sijui iwe nini, kuna wenzio wamepita hapo tena kimya kimya pasipo kufanya upuuzi kama wa kwako na inaonesha watu kama ninyi huwa mnakuwa hata kupewa hamjapewa sana sana ni sho za kipumbavu. Na sidhani kama huyo mzee ajasingiziwa mimba yako kwani siamini kama anaweza kuwa na uzao wa kipuuzi namna hiyo.

- Mkuu mleta mada heshima yako sana, kwenye uchaguzi wa juzi niligombea Ujumbe wa CCM Wilaya na kushinda kura 21 against 16, sasa nashangaa haya majungu umeyatoa wapi? Ha! ha! ha! ha! ha! well, nilikuwa Shoppers kwenye Show la Super Designer Khadija Mwanamboka, it was great yaani mitindo ya mavazi ya kiazawa ilikuwa supa sana, sasa hivi naenda Kawe nimealikwa kwenye White Party, nikitoka huko nitakuwa Mafian Lounge Club!! HA! HA! HA! HA! I MEAN THIS IS GREAT YOU KNOW!!

REPECT MUCH!

William John Samwel Malecela: MJUMBE WA WAZAZI MKOA & MJUMBE WA CCM WILAYA ILALA @ KATA KIVUKONI;DSM CITY!!
 
hahahahahaha hili nalo neno.

- Karen pole sana unataka niseme hapa mambo yako? Duh!! yaani mbona itakuwa aibu sana JF bana siku hizi kweli imeingiliwa, yaani hata wewe? mbona navunjika mbavu maana aibu tupu!! ha! ha! ha! ha! ngoja nimpigie jama nimwambie upo huku!! ha! ha! ha! ha! yaani kweli Karen unaamini wewe ni mzima kuliko mimi? ha1 ha!

Biig Shoow!!
 
One strong point about willy is uwazi, hana unafiki , mambo hadharani. To the best of my knowledge he has not used dads influence to seek political office , a real departure from tabia ya watoto wa wakubwa. Uwakilishi, whatever kata ya ilala truly speaking is humble job for a son of former diplomat/prime minister (by TZ standard). Le Mutuz for president.
LE mutuz at the end you are man of people for god sake no matter what the dodoma orphan thing on saturday you rock my world. Sons and daughter of Tanzania let's help the orphan and vulnerable children of dodoma with Le Mutuz this saturday. Wewe unayetokwa na povu umesaidiaje watoto wa yule babaako mdogo aliyefariki?
 
yaani wewe si mshamba tu bali ni limbukeni uliyekubuhu, nilitegemea utakaa kimya ningekuona wa maana sana, mbaya zaidi kudhihirisha ujinga ulionao eti unaweka na picha za malaya hao hapo, sijui iwe nini, kuna wenzio wamepita hapo tena kimya kimya pasipo kufanya upuuzi kama wa kwako na inaonesha watu kama ninyi huwa mnakuwa hata kupewa hamjapewa sana sana ni sho za kipumbavu. Na sidhani kama huyo mzee ajasingiziwa mimba yako kwani siamini kama anaweza kuwa na uzao wa kipuuzi namna hiyo.

- hasira za mkizi na kukosa bwahahahahaha!! , by the way kesho tumetayarisha fundraising ya kusaidia watoto wa yatima, mkuu sana matusi yako ndio baraka kwangu, ndio maana ninafanikiwa ni kwa sababu ya matusi kama yako, simjui bab yako wala sihitaji kumjua mama yako, ila ungekuwa na akili kama unazodai unazo basi ungejua kwamba hii thread ni based on majungu, so huwezi weka maadili humu au ushauri wa anything!!

- kuhusu hizi picha nilitaka wewe na wenzio wote mnionyeshe sheria ya jamhuri niliyovunja kwa kpiga na kuwepo kila mahali, ninatka kuamini kwamba una akili sana na ni mstaarabu sana na sio mshamba! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Sasa kama kweli sio mshamba na sio mpumbavu kwa nini kupoteza muda na mwenye matatizo hayo kama mimi? Si unaona uikweli ni kwamba na wewe ni mpumbavu na mshamba na infact mjinga wa akili coz hufukuzi kichaa uchi kama unavyofanya hapa mimi sina nguo na wewe unavua nguo kunifukuza unakuwa ni mjinga kuliko mimi!! Ha! Ha!

Respect bro!!

Biig shoow!!
 
Its time watu sasa wamuache William awe William...
at least he does not fake to be what he is not...

That's exactly what I hav proposed, I know him through my brother who was his late brother's friend, Willy ni mtu real yupo kama alivyo yeye. Sasa watu wanataka kumforce awe fake eti kisa apate uongozi. Simply foolish.
 
le mutuz at the end you are man of people for god sake no matter what the dodoma orphan thing on saturday you rock my world. Sons and daughter of tanzania let's help the orphan and vulnerable children of dodoma with le mutuz this saturday. Wewe unayetokwa na povu umesaidiaje watoto wa yule babaako mdogo aliyefariki?

- mkuu will have a special complimentary card for you kesho if you are coming, let me know; salute!!

Le mutuz!!
 
Mr. William Malechela,
Kwanza kabisa ninapend akukuomba msamaha ikiwa kwa njia moja au nyingine nimekukwaza. Sikua na kusudi la kukuchefua. Ila kama binadamu mwingine unaweza kumshauri ndugu yako, rafiki au mtu tu unayemfahamu pale unapoona mambo siyo mazuri.

Watu wengi sana wamekuwa wakikuandama kutokana na tabia fulani fulani. siyo kwamba wanakuchukia, bali wanakerwa na hizo tabia. Swala ambalo ungejiuliza kwa nini ni wewe tu kila siku? Basi mimi nilidhania ungeisikia sauti yangu kwa unyenyekevu kisha ukaifanyia kazi. Kwa bahati mbaya nimeone kama vile umeudhika. La Asha, hilo halikuwa lengo langu. Samahani sana. Nakutakia kil ala kheri katika safari yako ya kisiasa
 
Hili dubwana jitu kubwa lakini jinga kweli kweli. Lina mambo ya kitoto, na umri wote huo wa kuitwa babu!! Ulikulia wapi wewe william? Kijijini? Limbukeni weye!!

- mkuu mleta mada heshima yako sana, kwenye uchaguzi wa juzi niligombea ujumbe wa ccm wilaya na kushinda kura 21 against 16, sasa nashangaa haya majungu umeyatoa wapi? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Well, nilikuwa shoppers kwenye show la super designer khadija mwanamboka, it was great yaani mitindo ya mavazi ya kiazawa ilikuwa supa sana, sasa hivi naenda kawe nimealikwa kwenye white party, nikitoka huko nitakuwa mafian lounge club!! Ha! Ha! Ha! Ha! I mean this is great you know!!

Repect much!

William john samwel malecela: Mjumbe wa wazazi mkoa & mjumbe wa ccm wilaya ilala @ kata kivukoni;dsm city!!
 
Wewe acha upumbavu hatuwezi kuwa na viongozi vilaza kama wewe kila siku unauza sura na hao maka***** sasa wewe na Diamond mna tofauti gani? Mi nadhani mwalimu aliwaona mlivyo wapuuzi akatibua mpango wa mzee wako wa kutaka uraisi. Watu wanakushauri unaleta uhuni tena wa kizamani unazidiwa na mwenzio Ridhiwani.

Wewe acha mawazo ya kimaskini kulala kwako njaa leo usimuhusishe mzee malecela wa watu. Le mutuz he is making his own history ma fu** get it
 
- Mkuu mleta mada heshima yako sana, kwenye uchaguzi wa juzi niligombea Ujumbe wa CCM Wilaya na kushinda kura 21 against 16, sasa nashangaa haya majungu umeyatoa wapi? Ha! ha! ha! ha! ha! well, nilikuwa Shoppers kwenye Show la Super Designer Khadija Mwanamboka, it was great yaani mitindo ya mavazi ya kiazawa ilikuwa supa sana, sasa hivi naenda Kawe nimealikwa kwenye White Party, nikitoka huko nitakuwa Mafian Lounge Club!! HA! HA! HA! HA! I MEAN THIS IS GREAT YOU KNOW!!

REPECT MUCH!

William John Samwel Malecela: MJUMBE WA WAZAZI MKOA & MJUMBE WA CCM WILAYA ILALA @ KATA KIVUKONI;DSM CITY!!

Teh..teh..teh.. Karibu Tanzania. U can't have both ways especially kwa Tanzania ya leo. But huenda hata huo mkao ukawa ni moja ya responsibilities za Mjumbe wa Wazazi (CCM) Mkoa......to reach out kwa vichomi wa Bongo na kuwarudisha kwenye ethical society. Jitahidi mkuu maana huenda Sophia Simba akakukumbuka siku moja.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom