No Way, Aisee.

Daaaah

Huyu Jamaa Nlikua Namuelewa Sanaa [ Hasa Madini Yake Ya Kimaisha Na Street Intelligence ] Japo Wengine Wachache Walikua Hawamuelewi + Deep Down Alikua Ana Utu Sanaaa.

Rest in Paradise The King Of All Bongo Social Media Network With Over 30 Years Experience At Downtown New York Mbelezzz.

What An Entertainer, Nimeumia Sana Daaah.

Hakika Maisha Ya Duniani Ni Safari Fupi Sana.

Bwana Mungu Akawe Muongozo Sahihi Kwa Watoto Wake Na Familia Kwa Ujumla. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…