nipe source ya hapo! La sivyo usitumie JF ku-character assasinate mwingine!
Eleza umepata wapi hili na kama unajua fiscal policies za nchi yeyote nathani huwezi kusema kuingia Euro zone kwa Greece hakujaleta impact kwenye uchumi wake ikizingatiwa haikuwa na competitive manufacturing edge (technologywise) compared to countries like Germany! hata UK yenyewe imepata tabu! sasa sijui unaongelea hili toka wap!
Inshort japokuwa Bw. Malecela hana uelewa wa Economic blocks esp. on how they works, Hayuko conversant enough on how they work ila huyu aliyeandika hapa nae si muelewa wa mambo pia! naona amedhamiria kumchafua Bw. Malecela tu!
William ulikuwa una maana gani uliposema hutaki diplomasia na kazi unayotaka inahusisha diplomasia?
Diplomacy has nothing to do with kukubaliana ama kukataliana, either way can still be done through diplomacy.
kwenye thread kuna hoja kama kumi naomba na hizo nyingine zijadiliwe!!
Facebook, Mapokezi ya Migiro, National Service N.k
1.5/10 ndo anazo stahili kutokana na hoja za mleta thread
ANGALIZO: tujiandae na mtoto wa LUSINDE nae yuko njiani
Yani nimeipenda jeuri hii yani Willy nimeikubali sana japo u mwanaccm umeonyesha a true colour I hope you will be a true son of the land.Wakubwa wengi ndani ya CCM wameuza Nchi kwa kuponzwa na tabia ya kujipendekeza na vigezo vichafu vya Diplomasia.Nimeshukuru umekaa New York Centre of the all stupidy and dirty games of the world in economics, politics and culture and true umeonyesha kweli umekuwa exposed na hasa siasa za dunia ambazo umejifunza kupitia jiji hilo la kwanza duniani.- Hakuna Diplomasia kwenye Historia ndio maana tumekalia Diplomasia wenzetu wanatuzidi akili, sina mpango wa kuwa Mbunge wa namna hiyo hata siku moja, hatuwezi kujenga Jumuiya ambayo ni unbalanced kwa sababu tu tunataka tuonekane tunajua Diplomasia kwa hili mkuu sina cha kukuomba msamaha, ninasema hivi Kenya ndio waliovunja Jumuiya in the first place na sasa ndio machampion wa kuundwa kwa haraka haraka Jumuiya mpya na hasa One Currency na Federation, ninasema kwa haya mtu yoyote mwenye akili timamu ni lazima ashituke, sasa na wao kwa sababu wanajua tunao wananchi kama wewe ambao wako tayari kuuuza nchi kwa maneno ya kuheshimu Diplomasia, ndio maana wanakuja kwa kasi ya ajabu sana, ninasema hapana!
- Otherwise, nitajibu maswali ambayo yana valid arguments muhimu kwa wananchi na Taifa, ukiona sikujibu ujue halina mshiko!
William.
- Mkuu wala hunisumbui na wala hujwahi kunisumbua, tatizo ni wewe na kivuli chako ambacho huwa unapigana nacho kila unapoona jina langu likitajwa kwa mazuri, ndio maana ninakuonea huruma sana maana mimi ndio ninaondoka hivyo, wewe kazi ni kulia lia huku kwenye mitandao, pole sana mimi mwendo ni kwa mbele ndio maana sijawahi kukuogopa wala kukimbia, maana huwa hatukimbii mtu anayedai hoja za Lusinde kwenye mada ya EAC, tunaita ni upunguani!
William.
William ulikuwa una maana gani uliposema hutaki diplomasia na kazi unayotaka inahusisha diplomasia?
Diplomacy has nothing to do with kukubaliana ama kukataliana, either way can still be done through diplomacy.
- Nimesema Historia ya EAC tuiangalie bila kuchanganya Diplomasia.
William.
Mkuu samahani, nadhani tulikuwa hatuajaelewana.- Nimesema Historia ya EAC tuiangalie bila kuchanganya Diplomasia.
William.
mimi sio mchumi isipokuwa by professional ni Politician na ni Marine Engineer
Sijaisikiliza bado hiyo interview.Ndio maana kwenye posts zake hapa na pia kwenye ile interview yake anaanza kwa kusema: "Mimi nasema hivi.......", mara "nasema hivi......" That speaks a lot about the person.
Mkuu tuna hadi Dr Barubaru humu,hayo yaache kwasasa, "leadership is action, not education".ajabu mtu kama Dr PHD Econ. Shayo wamemtosa wanapeleka watu mabaharia ambao hata hawajui jinsi fiscal policies na tariffs zinavyokuwa set na pia what is a common market! hebu nikuulize unaelewa nini kuhusu Protectionism Bw Malecela
Na Tumbo kubwa pia ulivaa au ulivalishwa na maproducers. Tafuta shughuli zingine za kufanya mkuu..Wacheni siasa za kuwanyonya watanzania?
ajabu mtu kama Dr PHD Econ. Shayo wamemtosa wanapeleka watu mabaharia ambao hata hawajui jinsi fiscal policies na tariffs zinavyokuwa set na pia what is a common market! hebu nikuulize unaelewa nini kuhusu Protectionism Bw Malecela
Mkuu tuna hadi Dr Barubaru humu,hayo yaache kwasasa, "leadership is action, not education".
mimi sio mchumi isipokuwa by professional ni Politician na ni Marine Engineer
Nakubali, Geza Ulole alivyoiweka ilisound kama vile watu wanaotakiwa wachaguliwe ni wenye doctorate peke yake.But you may need the right education - not necessarily formal education- to know which action to take.
So far William hajajionyesha kwamba ana education yoyote, formal or informal.