Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
Nakubali, Geza Ulole alivyoiweka ilisound kama vile watu wanaotakiwa wachaguliwe ni wenye doctorate peke yake.
Ninaamini Doctorate can be a plus, lakini siyo kwamba ndo a basic requirement.
Geza Ulole amesema "Wamemwacha Dr", ninaamini hilo peke yake siyo sababu ya kuqualify kwa Shayo over the others.
Otherwise i aggree you always need "the right education" and formal.
tuna kawambwa... naye ni Dr....
we need quality plus good track record, academic na utumishi uliotukuka