William Malecela: Dissaster waiting to happen

William Malecela: Dissaster waiting to happen

Nakubaliana na wewe kwa 100% kwa EAC, lakini la jkt sikubaliani maana mafisadi karibu wote wa leo wamepita jkt, na viongozi karibu wote wamepita jkt, labda nielimisha uzalendo unaongelea hapa wa kujivunia jkt nini?

Yawezekana kweli kwa 100% uzalendo wako umetokana na jkt, lakini wewe ni mmoja kati ya viongozi karibu wote, kwa hiyo wengine tunaona uzalendo unaotokana na jkt ni uzalendo-reciprocal

Ningefurahi kama kila kitu unachokiongelea ungekuwa unatoa vivid examples za pros na cons zake kama ulivyofanya kwenye eac ya 1977, tulivyoathirika.

Sipo kuki-criticize ila kueleweshana tu namna gani twende kama nakosea unanirekebisha twende namna hii.

- Sasa mkuu kwa nini usianzishe mjadala wa Prons and Corns za EAC, I mean naona unahangaika na ishu iyo iyo tu ya prons and corns, fungua mada bro!

William.
 
Hivi William na Kiranga mna ki-beef labda ambacho wengine hatukijui?

aisee natafuta namba ya binti fulani anabeba maboksi, ni mtoto wa mjeshi fulani mstaafu, utakuwa unamjua tu ewe rais wa wabeba maboksi - nipm
 
Mpaka sasa,

1-Hujajitofautisha na mtu kama Lusinde, na kwa kurudua rudia kwamba huheshimu diplomasia, umehakikisha madai ya mtoa mada kwamba wewe ni "disaster waiting to happen".
2- Hujatupa pros and cons za EAF
3- Hujatupa strategy yako towards the EAF question, hata kama kwa muhtasari tu
4-Hujaonyesha uelewa kwamba si kila mtu anataka uongozi na kwamba kudai uongozi bora ni haki ya Mtanzania yeyote, hata yule asiyetaka uongozi.
5-Hujaonyesha uelewa kwamba kumjadili "Lusinde" ni swala kubwa kuliko Lusinde, ni swala linalohusika na mfumo wetu mzima wa kuchuja wanaotaka uongozi katika mchakato mzima wa kupata merit based leadership. Unaona swala la Lusinde halihusiani na EAC wakati mie naona linahusiana kwa sababu tunahitaji viongozi wanaothamini diplomasia, sio kama wewe na Lusinde ambao wote hamthamini diplomasia.

- Nimesema hivi nipo hapa kujadili the Interview kama mleta mada alivyotaka sio kujadili Lusinde, hilo siwezi kufanya na sina sababu ya kukuomba msamaha. Hizo ishus zako zingine zifungulie mada otherwise ni muhimu sana kuheshimu protocol! ha! ha! ha! ha! Saa ni saaa Sita usiku huku bongo kwa hiyo naomba kwenda kulala sasa, kesho kwenye kampeni!

William.
 
Oh my bad!

Natumaini wamekusikia na wata-stick kwenye hoja za EAC na siyo Lusinde.

Lusinde kahusishwa kwa sababu William kasema hataheshimu diplomasia, hii ndiyo common ground ya William na Lusinde.

Mie nimehamanishwa sana na kauli za Lusinde kiasi nikisikia mtu anagombea ubunge inabidi nimpime ili kujua kama anaweza ku "pull a Lusinde".

Sasa kauli za William kwamba hataheshimu diplomasia zinaelekea kule kule kwenye ku "pull a Lusinde". Nilikuwa nataka anihakikishie tu kwamba ana the requisite decorum for an EAMP.

Lakini amekuwa resolute kukataa hata kusema hilo tu, which means anawithhold nafasi yake ya ku pull a Lusinde.

Kwa hiyo Watanzania mkimchagua akaenda ku pull a Lusinde na kusababisha a diplomatic fracas huko, msiseme Kiranga hakuwaonya.

Halafu huyu bwana asitumie Lusinde kama smokescreen.

Nimempa maswali ambayo ni undisputably pertinent, hajayajibu.

Sijui nayo atamlaumu Lusinde?
 
- Well, kama nilivyosema mwanzoni ni kwamba sina mpango wowote wa kumjadili Lusinde kwenye mada ya EAC. Na kuwa mbunge sihitaji anything from you kwa sababu you have nothing zaidi ya chuki na wivu ha! ha! ha! ha! well, naomba kwenda kupumzika sasa maana huku Bongo ni usiku sana sasa, au? ha! ha! ha! ha! ha!

William.
 
Namba moja ktk list yako muanzisha thread ndilo la msingi na yeye yuko sahihi ktkhilo basi hayo mengine yanamezwa na msimamo wake huo uwe wa kutoka kichwani kwake au kuambiwa haijalishi
 
- Nimesema hivi nipo hapa kujadili the Interview kama mleta mada alivyotaka sio kujadili Lusinde, hilo siwezi kufanya na sina sababu ya kukuomba msamaha. Hizo ishus zako zingine zifungulie mada otherwise ni muhimu sana kuheshimu protocol! ha! ha! ha! ha! Saa ni saaa Sita usiku huku bongo kwa hiyo naomba kwenda kulala sasa, kesho kwenye kampeni!

William.

Wewe William usiyeheshimu diplomacy ndiye wewe unayetaka kuheshimu protocol , the ironic temerity, what expediency!

Sema tu maji marefu unajitutumua kina hukiwezi.
 
Mkuu WJ Malecela heshima mbele,

Sasa mimi ndio naona hii thread na nina maswali mawili.

Soko la ajira kwenye EAC liko vipi na kama umeliangalia, utalishughulikia vipi kuhakikisha Tanzania inajitosheleza kwanza na soko lake la ndani (nikimaanisha ajira kwa watanzania kwanza kabla ya wageni) kabla ya kutoa vibali cya kufanya kazi nchini humo maana sasa hii globalisation imetujazia na wachina na wapo pia wanapiga deki.

Pili Viwanda vingi ambavyo vilikuwepo kabla ya miaka ya tisini viliuawa wa viongozi walokuwa wamepewa dhamana ya kuviangalia na serikali ya CCM wakti huo. Je bidhaa zinazozalishwa nje ya nchi utazipunguzaje na kuhakikisha wakulima na wazalishaji wa ndani hawaendelei kubinywa na utandawazi ambao umetanda kila kona la bara letu la Africa?
 
Ok Kiranga, go ahead, edit uondoe "lusinde" and then uirepost, pande zote mmekubalia hakuna bifu, so sidhani kama uki edit atakataa kujibu, just try it.
 
- Kulinganisha na mbunge yupi wa EAC unayemjua au uliyewahi kumsikia? I mean the whole interview was about msimamo wangu kuhusu EAC nimeurudia tena pale juu, incompetent kulinganisha na mbunge yupi mkuu? ha1 ha! ha! karibu sana mkuu, ingawa siamini mleta mada anaweza kupoteza muda wote huu kujadili interview ambayo ni incompetent, sasa hiyo inasema nini kuhusu uwezo wa mleta mada kufikiri? ha! ha!

- I mean I did the interview na I am proud of it, again wewe ni mtu mmoja against wengi sana hasa kutoka kwenye Diplomacy World waliofurahishwa sana na majibu yangu, so Demokrasia ni kukubali kutokubaliana au? ha! ha! ha! ha! ha!

William.

Mkuu labda maswali ya msingi unayoweza kunisaidia. Nilezeee what

Functional cooperation will you be ready to support?
And what will be your Key Performance Indicators in Measuring the benefits of economic integration to Tanzania ?

Incompetent ninayoiongelea mimi is against your own explanation and I think wewe kama mtu ni Benchmark of yourself. So the way you present yourself and you give your answers tells us alot about you than anyone else
 
Halafu huyu bwana asitumie Lusinde kama smokescreen.

Nimempa maswali ambayo ni undisputably pertinent, hajayajibu.

Sijui nayo atamlaumu Lusinde?

Okay, fine. Just forget about Lusinde for a minute and pose only EAC related questions. I'm sure you can do that, can't you?
 
Wewe William usiyeheshimu diplomacy ndiye wewe unayetaka kuheshimu protocol , the ironic temerity, what expediency!

Sema tu maji marefu unajitutumua kina hukiwezi.

Naona yule yule mod wangu anayemfurahia sana huyu bwana ameanza ule mchezo wake, so people naomba kwenda kulala sasa ni late sana huku bongo! tuonane kesho nikitoka kwenye kampeni,

Much REspect!

William.
 
- Well, kama nilivyosema mwanzoni ni kwamba sina mpango wowote wa kumjadili Lusinde kwenye mada ya EAC. Na kuwa mbunge sihitaji anything from you kwa sababu you have nothing zaidi ya chuki na wivu ha! ha! ha! ha! well, naomba kwenda kupumzika sasa maana huku Bongo ni usiku sana sasa, au? ha! ha! ha! ha! ha!

William.

Bongo hatuna culture of criticism wala merit based ascent, kwa hiyo sishangai ukiwa criticized kulia "chuki na wivu".

Mi mpiga nduki, sina muda mchafu wa chuki, nakula zangu mbivu, nitaonaje wivu?
 
Okay, fine. Just forget about Lusinde for a minute and pose only EAC related questions. I'm sure you can do that, can't you?

My point ni kwamba, the Lusinde question is central to any leadership position. Hivi sasa tuna trivialize hii issue kwa kuiita jina la Lusinde kwa sababu that is the story of the moment, lakini usiangalie hili kama "Lusinde".

Angalia kama "leadership ethics". Huyu William anayesema haheshimu diplomasia, anataka uongozi katika a regional body that is steeped in diplomacy, anaelewa leadership ethics? Anaelewa leadership obligation?

Au kashazoea maisha ya kibaharia anaelea elea tu - hata mabaharia nao wana diplomasia zao za kumjua Captain nani etc- sasa huyu mtu asiyetaka diplomasia atatuwakilisha vipi katika chombo kinachoenda kwa diplomasia?

Anaelewa vizuri anajiingiza katika kitu gani huyu? Au kakosa shughuli tu anataka cha kumu occupy bila kujua anajiingiza katika nini?

Ana ethics gani kama haheshimu diplomasia? Ana decorum gani ya kutuhakikishaia hataenda kusababisha vita at the slightest opportunity huko bungeni?
 
Bongo hatuna culture of criticism wala merit based ascent, kwa hiyo sishangai ukiwa criticized kulia "chuki na wivu".

Mi mpiga nduki, sina muda mchafu wa chuki, nakula zangu mbivu, nitaonaje wivu?

- Mkuu wala hunisumbui na wala hujwahi kunisumbua, tatizo ni wewe na kivuli chako ambacho huwa unapigana nacho kila unapoona jina langu likitajwa kwa mazuri, ndio maana ninakuonea huruma sana maana mimi ndio ninaondoka hivyo, wewe kazi ni kulia lia huku kwenye mitandao, pole sana mimi mwendo ni kwa mbele ndio maana sijawahi kukuogopa wala kukimbia, maana huwa hatukimbii mtu anayedai hoja za Lusinde kwenye mada ya EAC, tunaita ni upunguani!

William.
 
316444_2385989848381_1209820481_32959751_2885080_n.jpg

Nimesikiliza interview yake aliyoifanya ambayo imepostiwa michuzi blog. Inaonekana huyu yuko out of touch na maendeleo ya dunia

Hoja zake kubwa ni hizi:

1. Anasema hakuna haraka ya kujiunga na Federation kwa sababu wananchi hawajaelemishwa...ni kweli kabisa lakini amesahau kuwa hili suala halikuanza kuangalia leo wala jana na si kazi ya nchi zingine kuwapa wa Tanzania elimy juu ya hii federation.

2. Amesema kuwa Tanzania itapata matatizo ya uchumi kama Greece ambayo imepata matatizo ya uchumi kwa sababu imeingia kwenye Euro. Lakini ukweli ni kuwa si kweli matatizo ya Greece ya uchumi ya Greece hayakutokana na kujiunga na Euro bali matatizo ya Greece yametokana na Greece (serikali) kutokuwa makini kwenye spending yao,cheap lending and failure to implement financial reforms ambayo essentially iliacha Greece kuwa badly exposed wakati global economic downturn ilipostruck. Hii haiuhusiani na Greece kujiunga na EU .

3. Amesema kuwa watanzania wengi walipo nje (diaspora) ni wepesi kukosoa serikali na utawala nyumbani kwa sababu ni CHADEMA...sijui kazitoa wapi hizi data lakini naaamini kuwa William amekuwa too simplistic na accusations zake. In short anataka kuwafanya waTanzania wajinga kiasi cha kuwa no one can think critically and independently na hatuna option zaidi ya CHADEMA.

4. William anasema kuwa angefurahi sana kama National Service ikarudishwa ili kurejesha uzaelndo kwa vijana lakini ukweli kasahau:

a) Kwa nini iliondolewa in the first place

b) Uzalendo hauwezi kupatikana kwa kulazimishana

c) Atapata wapi budget ya kuirudisha hiyo National service

d) Uzalendo haupatikani kama serikali haitazami wananchi wake

5. William amesema kuwa anaunga mkono kila kitu ambacho serikali ya sasa inakifanya. Hii inatisha sana kwa mwana JF na mtu aliyesoma na kuishi nje ya nchi. Inamaana William ana unga mkono mpaka mabaya ambayo serikali imeyafanya. This is dangerous thinking, hata huyo Nyerere hakuunga mkono kila kitu ambacho serikali ilikuwa inafanya iweje huyu amekuja na kutoa endorsement ya 100% bila ya kuwa critical kwenye mabaya, akiingia inamaana William atakuwa na rubbestamp kila kitu huko serikalini? Is this the hope we can believe in? kweli?

6. Amesema kuwa Tanzania middle class wamekuwa wengi....well ukweli ni kuwa tanzania ina population ya almost 44 million na the so called middle class ni less than 8% sasa na ni wale wale ambao ni watoto wa kishua na extension zao. Namshauri williama atoke aende rufiji, Mkuranga Kisarawe na tendahimba kama atakuta middle class hata mmoja.

7. Anasema kuwa watu walipo nje wasikae nje na kulalamika. ukweli ni kuwa the entire system imekamwata na wale wale. Na nathubutu kumwambia atuletee list ya wana diaspora waliorudi na wakapewa nafasi ya kufanya mabadiliko kama alivyofanya kagame wa Rwanda's government ambaye serikali yake ilikuwa aggresive kwenye ku recruit highly educated members of the Diaspora....na waliporudi wakapewa nafasi ya kufanya mabadiliko na yanaoneka. Sasa william nitajie idara hata moja iliyopewa watu waliokuwa Diaspora na ambayo imepewa nafasi ya kufanya mabadiliko?

Je william anajua:

a) It takes 4months to register a business in Tanzania na it costs about 800 usd? wakati Rwanda it only takes 15 minutes and costs nothing!

b) Je anajua kuwa 70% ya Watanzania ni under 30 ambao wako detached na political elites ambao wako out of touch na maendeleo

c) Je William anajua kuwa hao vijana ambao wamezaliwa early 1990's ambao amewapatronise kwenye interview ndio hao hao leo wanapiga kura?

d) Je william anajua kuwa BRELA walinunua software ya bilioni 2 ambaoilitakiwa ifanye kufanya biashara Tanzania iwe ni rahisi lakini mpaka leo ile kitu imefeli, pesa zimetumika na so far imefanyiwa sabotage ili watu waendelea kula rushwa pale BRELA...cha ajabu waziri Nyalandu analijua hili, Waziri Mary Nagu analijua hili and no one cares.

8. William anasema kuwa viongozi wafungue FACEBOOK pages lakini haoni kama hiyo ni ndoto ya alinacha kwani commander in chief ofisi yake (Ikulu) haina website sasa why should someone like Mary Nagu au Nchimbi have a facebook page?

9. William anasema kuwa achievements zake kubwa ilikuwa ni kuandaa sherehe ya kumpokea Asha Migiro alipoteuliwa kuwa Dpeuty SG wa Ban Ki Moon, mimi binafsi sioni kama hiyo ni issue na sioni kama ni achievement ya maana.

10 Anasema kuwa alikuwa instrumental kuanzisha jumuiya ya Watanzania New York na kwa hili nampa pongezi.

In short sijapenda generalisations zake na kwa inter interview ya 1 hour nilitegemea kupata mawazo yaliyobobea na mapya toka kwa mwana JF na mwana diaspora ambaye anaenda kutuwasilisha.

William kama mawazo yako ni hayo then I give up!

nipe source ya hapo! La sivyo usitumie JF ku-character assasinate mwingine!

Eleza umepata wapi hili na kama unajua fiscal policies za nchi yeyote nathani huwezi kusema kuingia Euro zone kwa Greece hakujaleta impact kwenye uchumi wake ikizingatiwa haikuwa na competitive manufacturing edge (technologywise) compared to countries like Germany! hata UK yenyewe imepata tabu! sasa sijui unaongelea hili toka wap!

Inshort japokuwa Bw. Malecela hana uelewa wa Economic blocks esp. on how they works, Hayuko conversant enough on how they work ila huyu aliyeandika hapa nae si muelewa wa mambo pia! naona amedhamiria kumchafua Bw. Malecela tu!
 
My point ni kwamba, the Lusinde question is central to any leadership position. Hivi sasa tuna trivialize hii issue kwa kuiita jina la Lusinde kwa sababu that is the story of the moment, lakini usiangalie hili kama "lusinde".

Angalia kama "leadership ethics". Huyu William anayesema haheshimu diplomasia, anataka uongozi katika a regional body that is steeped in diplomacy, anaelewa leadership ethics? Anaelewa leadership obligation?

Au kashazoea maisha ya kibaharia anaelea elea tu - hata mabaharia nao wana diplomasia zao za kumjua Captain nani etc- sasa huyu mtu asiyetaka diplomasia atatuwakilisha vipi katika chombo kinachoenda kwa diplomasia?

Anaelewa vizuri anajiingiza katika kitu gani huyu? Au kakosa shughuli tu anataka cha kumu occupy bila kujua anajiingiza katika nini?

Ana ethics gani kama haheshimu diplomasia? Ana decorum gani ya kutuhakikishaia hataenda kusababisha vita at the slightest opportunity huko bungeni?

- Baaada ya kusafiri 90% ya Dunia na wala sijawahi kufungwa jela hata siku moja nikiwa nje, wala kuvunja sheria yoyote nikiwa nje ni dalili tosha kwamba ninajua maana ya Diplomasia kuliko maelezo, isipokuwa for sure sina uelewa wa Diplomasia za kujadili Lusinde kwenye mada ya EAC, kwa hizo kweli wewe ni mtu kichwa sana! ha! ha! ha! ha!

William.
 
Back
Top Bottom