William Malecela: Dissaster waiting to happen

William Malecela: Dissaster waiting to happen

My brother, don't be surprised, this is how myopic ccm-brainwashed people are, especially those with an agenda to maintain their chukua chako mapema status.

Well said mkuu hayo mengine longo longo tu.
 
ajabu mtu kama Dr PhD Econ. Shayo wamemtosa wanapeleka watu mabaharia ambao hata hawajui jinsi fiscal policies na tariffs zinavyokuwa set na pia what is a common market! hebu nikuulize unaelewa nini kuhusu Protectionism Bw Malecela? Na non tariff barriers? maana ninachoona unapeleka u-nationalist kule bungeni na si kuweka level ground for every member to benefit

Huko ni Politik sio utaalamu na ndio maana wanasiasa wazuri duniani watu kama Ibrahim Lincoln na Winston Chuchhill hawana elimu ya chuo wala Junior High School.
 
9. William anasema kuwa achievements zake kubwa ilikuwa ni kuandaa sherehe ya kumpokea Asha Migiro alipoteuliwa kuwa Dpeuty SG wa Ban Ki Moon, mimi binafsi sioni kama hiyo ni issue na sioni kama ni achievement ya maana.


10 Anasema kuwa alikuwa instrumental kuanzisha jumuiya ya Watanzania New York na kwa hili nampa pongezi.

Kuna watu wana akili timamu kabisa humu,
ni great thinkers,ni watu ambao wakisema kitu
unajua hapa kweli.

LAKINI WANAPO MUUNGA MKONO HUYU MTU,UNAJUA KWELI,SOMETIMES
BINADAMU HUWEKA AKILI ZAO REHANI AU HUZIPELEKA LIKIZO.

This is a disaster.
Wlliam Malecela is a poor excuse for an MP.
 
hizi comments zinaonesha ni jinsi gan huyu jamaa ni mwana siasa wa kuunga unga!! Unaweza tegemea mtu kama huyu anapata challenge ndogo tu keshaanza ku panic ana tupiana maneno utadhani tupo kwenye taarabu!! Huku kurithishana madaraka ndo kunako tuponza si wa Tz. Mtu kama huyu hafai kabisa.
M4C iko karibu hatuwezi ku ongozwa na vilaza kwenye Jumuiya kubwa kama hii!!
 
Hoja zimeletwa 10

so far William kajibu 2 hizo nane vipi?

Nakumba William wind up hili dude tunataka kuhamia kwa "Dr" Shayo ambaye tayari tushapata SOFT COPY ya thesis aliyoandika kuchukua Phd na inapitiwa na wataalam
 
- Well, lets say hii nayo ni hoja wewe huoni mimi ni lijitu la miraba minne, I mean kama ningekua mfupi na mtumbo mkubwa hapo kweli, lakini kama unanifahamu vizuri unajua kwamba ni miraba minne na kazi tupu! ha! ha! ha! ha! ha!

William.

Sasa kwanini usikimbilie kwenye mieleka bwana mdogo? Au mieleka haina ulaji kiurahisi kama kuwa mwanasiasa? Nakufahamu tokea enzi za mzee wako akikupitisha ofisini kwa gari za serikali . Sichangai kama utakuwa umebadirika sana kwani ni kawaida ya burger king na fast food za USA. Anyway Karibu mjini.
 
hawa watu wa dizaini hizi hawawezi kutusaidia chochote zaidi ya kutafuta recognation kutoka kwa watu tuliojichokea.

Chukulia mfano mzuri wa Bwana Sioi na ubunge wa Arumeru, anakwenda kuomba ubunge sehemu asiyoishi na wala hajajiandikisha kupiga kura pale, kisa eti ndio natokea hapo. Unadhani angeliupata watu wa Arumeru Mashariki wangemuona hapo!?

Sio mambo ya ushabiki bali Joshua Nassari katoa wazo zuri kuwa 'masikini wanachagua masikini mwenzao". Nakuwa na mashaka nikiangalia list ya wanaowania huu uwakilishi/ubunge wa EAC kama kuna yeyote mwenye upeo na nia ya kinachotakiwa kule.
Ndio maana Wakenya wanatudharau!

Hii picha mbona inamwonyesha huyu jamaa kakaa kizembe sana? Kwa umri wake body hilo sidhani km linaweza likamfanya akawaza kwa dhati kabisa matatizo ya watanzania na ni opportunity zipi wanaweza kuzitumia na kufaidi kutokana na uwepo wa jumuiya hii.
 
Hoja zimeletwa 10

so far William kajibu 2 hizo nane vipi?

Nakumba William wind up hili dude tunataka kuhamia kwa "Dr" Shayo ambaye tayari tushapata SOFT COPY ya thesis aliyoandika kuchukua Phd na inapitiwa na wataalam

Hahahahaaaaa "Dr." Shayo
 
Nadhani JF inaupendeleo

William amechambuliwa wee mpaka

"Dr" Shayo threads zinafichwa

kwa nini?
 
- Well, kama nilivyosema mwanzoni ni kwamba sina mpango wowote wa kumjadili Lusinde kwenye mada ya EAC. Na kuwa mbunge sihitaji anything from you kwa sababu you have nothing zaidi ya chuki na wivu ha! ha! ha! ha! well, naomba kwenda kupumzika sasa maana huku Bongo ni usiku sana sasa, au? ha! ha! ha! ha! ha!

William.
What a nonsense......you are being positively challenged/criticized here and you say you need nothing from people?..this reminds me of your president JK..when addressing the about to strike workers in 2010.....telling them that he wasn't in need of their votes...even if they didn't vote for him.....remember what happened to him later??when he was campaigning for the presidency and his election results!!!!!...Your posts speak volume about your lack of capacity for the EAC post.....nothing personal here...this is just the reality...and people who challenge your capacity here may have a real sympathy for their country than you (mind you!!)....very sad that this is not known to people who vote for you...i mean the CCM MPs.....very very sad indeed.....again..don't take me personal too...this is what i have seen from your posts....
 
Kama kweli ameongea hivi, kweli mkuu hufai kuwa kwenye siasa ya sasa. mpaka mkuu anakubali kuna vitu havijaenda vizuri wewe unasifia..angalia inflation rate iko wapi, angalia ATC, angalia TRC etc
sijui kwa nini watu wakitaka uongozi hasa kupitia CCM wanaogopa kuonyesha mapungufu kwa kuhofia kukosa hiyo nafasi and your one of them..ndio maana chuki inaendelea kuongezeka kwa wananchi..
 
Kama sera ndio hii hata Mtera usiende, tutatafuta mwingine..
 
- Na kuwa mbunge sihitaji anything from you kwa sababu you have nothing zaidi ya chuki na wivu ha! ha! ha! ha!

William.

Huyu ndiye mbunge mtarajiwa anayeenda kutuwakilisha Watanzania EAC. Hataki kusikia chochote kutoka kwa watu anaoenda kuwawakilisha sababu anadai hao watu wana chuki binafsi na wivu. Ama kweli ukipanda kokoto usitarajie kuvuna mahindi.
 
I'm changing my position ..until this guy Le Mutuz answered maswali ya msingi hapa ni hatali sana.

Mwanzoni nilisema kuwa as long as swali la kwanza yuko collect kuhusu kuangalia utayari wetu EA basi anafaa na ana maono.

May be I was wrong kadiri navyosoma response za baharia Le Mutuz ktk maswali ya msingi.
 
I'm changing my position ..until this guy Le Mutuz answered maswali ya msingi hapa ni hatali sana.

Mwanzoni nilisema kuwa as long as swali la kwanza yuko collect kuhusu kuangalia utayari wetu EA basi anafaa na ana maono.

May be I was wrong kadiri navyosoma response za baharia Le Mutuz ktk maswali ya msingi.

Huwa hajibu maswali ya msingi hata siku moja. Kama unamsubiri ajibu utasubiri mpaka kiama. Hii ni thread ya tatu ameanzisha yeye mwenyewe kuhusu kuutaka ubunge wa EAC (moja ilifutwa baada ya yeye kuanza kutukana ovyo). katika threads zote tatu tumemwuliza maswali ya msingi lakini hakuyajibu na sikitegemei kama atayajibu kwa sababu ameshasema hataki kusikia chochote kutoka kwa watu anaoenda kuwawakilisha sababu anadai hao watu wana chuki binafsi na wivu.

Yeye anachofanya ni kuwa kila kunapokuwa na positive developemnts kwenye kampeni zake za kuutaka ubunge wa EAC anakuja hapa haraka kuanzisha personal thread. Lakini hajawahi kuanzisha au kuchangia hata thread moja inayohusu EAC ambapo ndipo mambo ya msingi yanapojadiliwa. Alikuwa tayari kuwa interviewed kwa saa moja kuhusu kuutaka ubunge wa EAC lakini anashindwa hata kuchangia post moja hapa JF kwenye thread zinazohusu EAC ikizingatiwa yeye ni regular member wa JF?

Kwenye nchi za watu lazima media wangemwuliza, you are active member on the most popular forum in Tanzania where EAC issues are frequently debated even with members from other EAC states such as Kenya. However, despite being a regular members you have never contributed on EAC debates on that forum. Sasa imekuaje, mbona ghafla unautaka ubunge wa EAC? Kwa sababu kwa muda huo wote hujawahi kuonyesha interests zozote na EAC, ni nini hasa kimekusukuma ghafla kuutaka ubunge wa EAC?
 
yaani hana hata hekima ya std 4
achia upeo wa kuchambua mada
mie nilimkataa from day one.

Huyu ndiye mbunge mtarajiwa anayeenda kutuwakilisha Watanzania EAC. Hataki kusikia chochote kutoka kwa watu anaoenda kuwawakilisha sababu anadai hao watu wana chuki binafsi na wivu. Ama kweli ukipanda kokoto usitarajie kuvuna mahindi.
 
William

mimi sina ugomvi na wewe binafsi ila naona tunapishana kimitazamo. Mimi nilitaka uje na radical ideas kama msomi na mtu aliyetoka.

Umejibu hoja 2 lakini umeacha 8

naomba ujibu hizo 8 zilizobaki halafu tuendelee na mijadala
 
Back
Top Bottom