Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Status
Not open for further replies.
Nachoweza kusema Huyu mwandishi alitembelea Ukerewe mwaka 1950....
 
why free clothes? Why taken for shoping in london? Whats behind all these offers? ....

Osodo, haya ndio maswali alitakiwa ajiulize JK kabla yakukubali offer zozote. Infact kiongozi yeyote aliyekabidhiwa majukumu (hasa majukumu nyeti) kama raisi, mwanasheria wa serikali, majaji, mahakimu, wakuu wa polisi etc wanatakiwa wawe wanajiuliza maswali pale wanapoona mtu au kikundi cha watu kinakuwa so good kwao au kwa familia zao. Sasa kwa JK alitakiwa atambue hilo mapema, kwasababu huyu mtu ni foreigner so hawezi kuchagua TZ kati ya nchi zote kama hana kitu kikubwa kilichomvutia. In some situations it might not be legally wrong but it is unethical and to some of us morally wrong. Nawashangaa kwa wanaomtetea JK. I mean; ata-ingekuwa JK ni baba yangu eti amepelekwa "shopping spree" ningeona ni insult kubwa sana; sasa yeye ameenda mbali zaidi (ame-exchange his fantasies with country resources).

Kuna mtu ame-comment "JK hahitaji mtu wakumnunulia nguo watanzania ndio tunamnunulia nguo." Well, that is what we all thought; kama angekubali kuishi within his means. Tax payers money are enough to make him look smart. However, I am not sure if his salary is big enough to pay several "guest events" in five star hotels, and cover overseas shopping sprees etc. This is real pathetic! If education was real one of his priorities; why then put so much money on your fantasies and not in schools? How much is real needed for schools to have desks/chairs, books etc? It was easy for him to say "Education" was one of his priorities; but look what he is doing!!.Is this not sending a message to those students that the look is all what matters and not education?
 

kwa sababu wanajua huna cha kuwafanya! na instead wao wamarekani wanaweza kuzitumia kuziadhibu serikali/watu waliotajwa katika hizo cables kwa kuwagonganisha na watu wao!, Robert Gates alishaulizwa ni nini implication ya kuvuja kwa hizi cables kwa maslahi ya marekani , akasema, duniani kuna nchi zinaitegemea Marekani, Nyingine zinaiogopa kwa hiyo effect yake kwa america ni ndogo sana, sasa hapo nafikiri unaweza kuelewa nasimamia wapi
 

ujumbe umefika kwa wakati na tunaufanyia kazi
 
Nijuavyo, Mengi alikuwa amejitolea kuinunua hoteli ya Kilimanjaro. Lakini nasikia Mwarabu alishaihonga Ikulu dola millioni tatu. Hakukuwa na ushindani.
 

Duuh,

Sasa hapo mtaalamu akipata ngoma almost guarantee wajane wote "watakaosafishwa" nao watapewa ngoma.

Na kwa nature ya shughuli ya "mtaalamu" huyu, ukichanganya na high rates za HIV nchini, basi it is only a matter of time kabla hajakamata gridi la taifa.

Tutashinda vita dhidi ya ukimwi kwa style hii kweli?
 

Hujajibu swali.

Serikali ya Marekani imevujisha cables zoote hizi kwa makusudi kwa kushirikiana na WikiLeaks? Kwa sababu wanajua hatuna la kuwafanya?

Mtu asiye kichaa kaamua kuvua nguo zake zote na kucheza rhumba uchi katikati ya Kariakoo kwa sababu anajua huwezi kumfanya lolote?

Ndicho unachosema hicho?

Inayumkinika kweli?
 
FJM
Correction. Hoteli ya Kempinski haijanunuliwa na Hyatt. Walichofanya ni kwamba Hyatt watai"manage" lakini inaendelea kumilikiwa na Albawdry.
Sasa sijui kama difference is the same lakini nahisi mchezo huo umefanywa na Mwarabu ili asilipe kodi kwa miaka mingine 5.
 
na watoto wa wakulima weng wamekosa mkopo napata hasira. Heri yake alisema atakula mihogo ikulu ili watoto wa wakulima wapate kusoma.
 
Acha uwongo. Assange anajulikana alipo. Na kama wikileaks zingekuwa uwongo Hillary Clinton asingewapigia simu viongozi wa nchi kadha wa kadha waliotajwa kwenye nukuu hizo kuomba msamaha wakati zilipoanza kuvuja. Lakini unaweza kuchagua kuamini unachotaka kuamini.
 
Nafikiri mwandishi kasema p[osibilities ambazo hutakiwi kuziacha nje

Possibility ya Marekani kuvujisha diplomatic cables zenye siri za Marekani na zinazohatarisha usalama wa taifa la Marekani na wamarekani ni near zero.

ingawa kweli ni conspiracy theory.. Marekani ni kuwa nao makini sana,

Kuwa makini hakuna maana ya going out of your way to concoct falsehoods of a Ptolemaic scale.


Sioni uhusiano hapa. Kama tungekuwa tunaongelea cable moja iliyovuja ningesema kweli, inawezekana CIA ina fanya kazi na Assange katika espionage style ya "rope a dope", feed misleading information to your enemies. Lakini hapa tunaongelea the entire treasure trove ya cables, tena unredacted. Mmarekani atapata nini kwa kuvujisha cables hizi kitakachokuwa na thamani zaidi ya thamani isiyosemekana ya cables hizi kwa Marekani?


I don't see any relation of this that would support the conspiracy theory forwarded here. Please elaborate.

Wewe unaamini serikali ya Marekani imevujisha cables zote hizi 250, 000 plus makusudi ?
 
Na kuhusu suti za Kikwete as late as last year Albawardy alikuwa anamletea suti karibu kila mwezi pale Kempinski na zikifika Ikulu inaarifiwa anatumwa mtu kwenda kuzichukua. Hii niliambiwa na afisa wa ngazi za juu anayefanya kazi pale. Kwa sasa sijui kama rais wetu ameshatosheka na suti lakini as of last year alikuwa akiletewa on a monthly basis.
 

it is so sad ndugu ynagu...hili janga la 'kusombolwa' whatever it is...ni kubwa kuliko hiyo mikosi wanayodhaniwa kuwa nayo hao wajane..

Kibaya zaidi huko visiwani pia kuna tatizo la UKIMWI miongoni mwa wavuvi maana unakuta wavuvi wanashughulika na mwanamke mmoja wote bila kujali madhara. Sijui janga hili kama litakwisha kwa mitindo hii ya maisha.
 
Sikiliza, kule sumbawanga ilidaiwa kuwa wazee walitundika koti hewani wakati nyerere akihutubia, ok! Na ukerewe ilisikika kuwa kuna mtu aliwahi kukojoa dagaa akitoka in reverse order. Unasikia masimulizi hayo? I used to be in sumbawanga na ndo asil yangu, tazama hata jina langu hapo juu. Hata hivyo nimeona uzi humu jamvini, kule kwetu "wachawi" wanapigwa kiberiti na vijana wa kipindi hiki ambao naamini imani za kishirikina siyo instrument ya mafanikio yao.

Yes, wanaona, leo sumbawanga ina umeme wa generator megawati 5 na demand yao ni 3Megaw, wana barabara za lami pale manispaa zaidi ya km9- total coverage! Barabara kuu swg-tunduma, swg-mpanda, sws-kasanga zinajengwa kwa kiwango cha lami. Mpanda mjini wana karibu km13 za lami na mengine mengi ambayo yanafungua maeneo yaliyosahaulika kama haya. Maana yake ni kwamba imani potofu zina repel automatically! Wikileaks hawawezi kuniaminisha kwa urahisi hivyo.

Maeneo yetu tunayajua banaaa. Ukerewe nimetoka wakati umeme ukiwaka na wana barabara za lami toka namagubo mpaka bondeni ~2km, nansio port mpaka bulamba ~5Km! Na barabara ya kutoka lugezi mpaka masonga kupitia murutunguru >40k iko kwenye mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami! Ni mjinga anaeamini kuwa :- Makete, namtumbo, ukerewe, sumbawanga, ludewa, lituhi, mbambabay and the like bado wako katika kipindi cha mwaka 1947. I can bet!!!!!!!!!!!
 

Shukurani kwa kuonyesha details zinazoonyesha maendeleo yanakuja gradually.

Vipi kuhusu "kusafishwa", wanaacha au bado?
 

Mkuu sikubaliani na "Freemanson" agenda wala "kupika/kutunga" habari; lakini kuvujisha habari purposely inawezekana. It is true Wamarekani wanaangalia wapi pana interest/opportunities then they simply make their case. Kumbuka behind the scene there is a cold econ. war between Chinese and Americans. Na vilevile kuna ideology war between West and Arabs. Sasa Wamarekani wanataka wawe dominant hivyo wanajaribu ku-stop others hivyo ni lazima wawe na hard evidence yaku-justify their agenda. Example ile ishu ya kujenga barabara mbugani niliona wachangiaji walikuwa wana-discuss CNN ikawa kama "China versus US". Ukiangalia kwa undani China wao their not so much on envt. Wao wanataka barabara ili iwe rahisi kusafirisha bidhaa zao Africa. Wamarekani wakaja na ajenda ya envt. Sasa hapa pamoja kwamba wote wana-interest lakini kilichokuwa kichwani mwa wengi ni umuhimu wakutunza mazingira ili wanyama wetu wasipotee. This is a score to US. So ninachotaka kusema ni kwamba: US ni wazuri waku-make their case pale wanapoona opportunity/interest. Siamini kabisa W. leaks ni kitu chakutunga however inaweza kukawa na exaggeration of some sort (afterall ni mahojiano yaliyowekwa kwenye writtings; so it depends on ones perception/alivyoelewa majibu ya aliye-hojiwa).

Tukubali tu kwa TZ ulegelege wa viongozi wetu umetufanya tumesahau mlango wazi, wameingia, wametusoma tunavyoishi, wengine wameweka makazi kabisa under the umbrella of "investors", na sasa wanaelewa shida zetu, wameshaelewa undani/uzuri wa resources zetu so kutusambaratisha ni kazi rahisi sana. Lakini Wamarekani hawakuhitaji W. Leaks kutusambaratisha since most of American companies are already inn. Kwahiyo hizi taarifa wangezitaka wangepata through hao hao so called wawekezaji. Tukumbuke pia foreign policy ya Marekani ni tofauti sana na ya China or Arabs.

Wamarekani wakiona kuna interest somewhere wanataka wao ndio wawe wana-operate that country government behind the scene. E.g. kuhusishwa kwenye big decisions regarding resources etc. Sasa kwa TZ hatujui hili; mara tuna-form alliance na waarabu (enemies of the west), mara wachina (West competitors), and then tunataka tupeleke kikapu cha maombi in US as well. US/Westerners mara zote wanataka wao wawe ndio on top of others. Utakumbuka Liberia baada ya uchaguzi wakidemokrasia Wamarekani na wachina walikuwa na kamvutano fulani hivi. Wamarekani waliona wao ndio walikuwa kama koloni la Liberia hivyo wana deserve more power on resources over China. China kutokana na foreign policy yao, hawakujishughulisha na mapambano yaliyokuwapo Liberia lakini baada ya mambo kutulia(uchaguzi) wakajitokeza ku-lobby.
 
Duh!Wenzao sijui kama walishaacha.Walikuwa wakitumia ufadhili wa michezo ili kufanya deal kama hizo.Kipindi cha nyuma enzi za kina Mohammed Mwameja wa Simba,kila mchezaji anayesafiri alikuwa anapewa mpira wake.Nasikia walikuwa wakismuggle through those soccer balls.Enzi hizo mfadhili wa Simba kama sikose alikuwa Dewji.
 
Nilikuwa mpenzi wa novel za kijasusi.Na kwa jinsi JK anavyofanya,kama wakitaka kumkill they will do bila shida yeyote.Huwa wanawekewa sumu kwenye vitu wanavyovipenda.Kama umeshasoma ile novel ya "Windmills of the gods" utaelewa what i am talking about.
 
5. (U) Outside of the urban center of Mwanza, the region remains undeveloped. Emboff visited Ukerewe district, comprised of 26 islands in Lake Victoria, to see two USG- funded projects. Accessible only by ferry, the district is among the most remote in Tanzania. The islands are not connected to the country's electrical grid, and only a few small streets are paved. Residents feel far removed from the government in Dar es Salaam, and expressed dismay that their elected leaders have taken too long to provide needed infrastructure and services. Traditional beliefs, including the practice of witchcraft, maintain a stronger hold in these rural areas. Some of these practices have contributed to the spread of HIV/AIDS in the area. (For example, it is believed that when a married person's spouse dies, he or she must engage in sex to be cleansed of the marriage. The person to perform this "cleansing" is often appointed to do so for an entire village or group of villages.) Education and modernization have been slow to influence such rural areas. Cable Viewer


Kwenye RED, akachungeze upya !!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…