To me, naona umehit around the bush halafu umekuja kuconclude kilekile nilichokisema. Ninachosema Wikileaks hakuna any "credible evidence" ya kuweza kumshitaki mtu zaidi ya "hearsay" za diplomatic circles. Mambo ya "he said this,... he said that".
Ni bora tu rely kwa akina Msemakweli wetu hapa, wanaokuja na evidence zenye mashiko!
Hamna beating around the bush hapo, labda reading comprehension yako haiwezi kufuata my train of thought which is not necessarily a simpleton's cup of tea.
Hizo unazoziita "hearsay" zinaweza kukupeleka kwenye credible evidence.
Mathalan, kuna habari kwamba JK ananunuliwa nguo na Waarabu Savile Row, hili linaweza kuchukuliwa kama chanzo cha uchunguzi ambao hata kama hautaweza kumshitaki JK ( all kinds of immunity complications for now) unaweza kufanya watu watake accountability zaidi, rais atakiwe kuwa na daftari la zawadi zote anazopokea na gharama zake na zimetoka kwa nani, ili watu tujue, kesho akimpa muarabu deal out of nowhere, na jamaa tumeona kamnunulia suti na kutoa dola milioni moja kwa CCM, tuweze kuuliza maswali hapa kimetokea kitu gani.
Ni kweli kwamba ni bora ku rely kwenye evidence zenye mshiko, lakini ni bora zaidi kama tutapata evidence zaidi kutoka sehemu mbalimbali zinazotuonyesha kitu hicho hicho.
Point moja haichori msitari, wala mbili hazichori duara.
Ian Fleming alisema once could be happenstance, twice could be coincidence, thrice is definitely design.
Tunahitaji habari zoote tunazoweza kuzipata, na si pungufu.
Moreover, si kweli kwamba US Embassy cables (WikiLeak is not the source by the way, just the leaking media) sio credible evidence. Huwezi kujua kama ni credible au incredible mpaka ufanye uchunguzi. Which is exactly the point of this discussion. Tunajadili watu wanaongezea hili na lile, wana connect the dot etc.
Mtu aliansisha thread kumsifu JK anavyopiga pamba kali, sasa tumeona habari kwamba hizo pamba nyingine ni suti za bei mbaya alizohongwa JK. while this in itself is not what you would consider evidence to bestow guilt beyond a shadow of doubt, it is certainly ground for further investigation as there is a connection between the poshness of the president and the accusations that he is being bribed with Savile Row suits