Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Status
Not open for further replies.
Unajua sisi wenye kingereza cha kuunga unga kama jiko la mafiga matatu mpaka turudie kama ma ra sita ndio tunapata ujumbe uliomo between the lines. Tee teh teh

Ina maana hiyo guest rooom matumizi yake ndio kama guest zetu huku uswazi kama kamwala. Wiliokulia uswazi hasa mitaa ya kinondoni studio watakuwa wanaijua hiyo kamwala teh teh teh

Nadhani pia kupanga deals na kukutana na watu ambao ktk hali ya kawaida kwenye hotel lounge inakuwa shida! Miongoni mwao wakiwa hao wa short time pleasures!

Nadhani pia kupanga deals na kukutana na watu ambao ktk hali ya kawaida kwenye hotel lounge inakuwa shida! Miongoni mwao wakiwa hao wa short time pleasures!

Ebu nisaidie kunielewesha hapa

...... I learned later in the evening from hotel publicity director Lisa Pile (protect) that............

Hiyo protect hapo ina maana gani au wewe unaielewaje?

Cha ajabu ni nini:
sabodo.jpg

Tofauti na hawa ni kwamba zawadi ya fedha hizi ilifanywa hadharani na kila mtu alishuhudia lakini zawadi anazopewa mkweree za suti za saville row hufanywa gizani!! RAIS WETU FISADI ; chief Mangungo wa karne ya leo kwani yeye anadanganywa na suti na wale walidangaywa kwa ushanga!!

Isome vizuri habari, na huyo Mwaarabu aliwapa CCM, cha ajabu nini? na vyama vyote vinapokea misaada? au nongwa kwa CCM tu?

Bibie kama uko hedhi tafadhali usili
najisi janvi letu tulia mpaka hiyo damu ikauke!! Sisi hapa hatuzungumzii vyama kupewa msaada, tunazungumzia maadili ya Rais wa nchi kujishusha hadhi kwa kukubali kununuliwa suti halafu anauza nchi!! Sio suala la vyama kupatiwa msaada na Sabodo. Rais anapewa vijizawadi halafu anamtuma Msekwa kwenda kugawa mbuga zetu kwa waarabu ili wajenge hoteli!! Mwarabu huyu huyu wamempa pia ile hoteli ya SEVENTY SEVEN pale Arusha baada ya kumdhulumu Mrema wa Hotel Impala!! Ngojeni, hukumu yenu mtaipata hapa hapa duniani.

Lazima tuwe wakweli kwa nafsi zetu at some point. Hivi mtu anayefanya kampeni za urais au hata ubunge akipata hotel fulani ikajitolea kumfanyia ukarimu wa kuhost mikutano yake for free atakataa. je, sheria ya nchi inakataza hilo? Tatizo letu tunatumia sheria za nchi nyingine kujadili masuala ya Tanzania.

Hivi mnafikiri hayo mahelkopta mnayosikia yanaruka angani wakati wa kampeni yanalipiwa na pesa za ruzuku? Au tunangoja mpaka wikileaks waje kutuambia kuwa yalilipiwa na mfanyabiashhara fulani ndio tuanze kushangaa? kwa kifupi, kampeni ni gharama na kama sheria ya nchi haikatazi kupokei mchango sio dhambi.

Itamake sense kujadili rushwa hapa iwapo tutakuwa na kidhibiti cha favor ambayo rais amewafanyia hao kempinski kutokana na fadhili waliyompa.

Hillary Clinton alipokuwa senator on New York alikuwa anapokea USD 150,000 kila mwaka toka kwa "special interests" na kampeni zake zilikuwa sponsored na special interests pia. Cha msingi ni kutokutoka nje ya mipaka ya sheria ya nchi tu.

Issue hapa ni transparence, lini JK alishasema kafanyiwa haya tunayoyasoma sasa?

Without prejudice to validity of some of their stories,I think it is time we stopped believing in just everything wikileaks or othr western media says..ivi mnaamini kweli ukerewe leo mtu anasex na kijiji au wilaya nzima kwa minajiri kuwa ni rituals?
Sikatai haijaendelea,lakini huo ushirikina unaosemwa umekua exxagerated beyond logic n truth.
Nyie si ni mashahidi BBC na skynews wanavoripoti khs africa mf Libya n other so called ‘third world‘ countries?
Let‘s nt succumb to western propaganda wikileakes is turning out to be..“they have put a sword to the strings tht united us and now we are falling apart“

Ndugu hapo kwenye bold inaelekea una mengi sana huyajui kuhusu nchi yako.Kujua kuhusu jamii yako tu haitoshi.Jifunze zaidi kwa kusoma na kufuatilia tafiti mbalimbali.

Sijui kama unajua kuna mila nyingi sana zinazohusiana na "cleansing" kwa wajane.Tafuta mila inayoitwa "kusombola" ndipo utaelewa kuwa hao Wikileaks wako sahihi. Kuna watu maalum/mahususi wameteuliwa kufanya hilo zoezi na tena hulipwa. Ningeeleza mengi zaidi lakini hapa siy mahali pake.

.........to tell us point blank that, we are fools, we are being fooled and we have accepted it.

........that as foolish as we are, we can do something as smart as cast a vote while informed.

This truth hurts so much!

Kila kitu hapo kimejieleza..sioni element yoyote ya rushwa hapo!

" I suspect giving free clothes and the campaign donation is just the way these people do business".

Hiyo sentence hapo imesummarize kila kitu

Kwa kawaida wewe huoni chochote. Ushabiki wa kisiasa umeshakupofusha tayari!

Haswaa hapo uliposema corporate world policies *tutakuwa greatthinkers wa ukweli* hapo hapo....kuna a very strong code of ethics and conducts kwa corporates international especially after fall of Enron, makampuni kama Barrick yana SOX ( Sarbanes Oxyley Act ) isome hiyo act inaaply kwa makampuni makubwa na mambo ya gifts zinazozidi kiwango tena in cash lazima yawe declared

Ukiachilia mbali yote hayo, kuna kanuni za maadili ya utumishi wa umma katika kanuni hizi mtumishi (in ths case Jakaya ) haruhusiwi kupokea zawadi zitakazoinfluence maamuzi, zawadi atakazopokea anapashwa kuzideclare...

Nadhani kutetea upokeaji wa zawadi ambazo si calendar,diary na kalamu ( zinaitwa tools of trade ) na kuaccept free guest rooms...kwa waziri mzima! Si alipie tu personal pleasures!

Again pole mama Salma Kikwete!
Hoja yako nzuri kwa jicho la juu juu. Sasa naomba uende mbele zaidi kujibu ikiwa "code of conduct" hiyo ni universal na ikiwa inabana makampuni yote duniani. Maana nafahamu kuwa hilo ni eneo ambalo linasumbua dunia. Corporate world tofauti na serikali zina uhuru mpana wa kufuata codes of conduct au la. Zimefanya jambo hili kuwa sera ya kampuni na si universal. OECD wanazo codes hizi ambazo ni hiyari kwa kampuni kujiunga. Sasa, je, makampuni ya Mashariki ya Kati na Asia ni sehemu ya Code hiyo?

Turudi kwenye hoja yako ya pili, Sheria ya nchi yetu inatamka kuwa zawadi akipewa kiongozi ikizidi kiwango fulani aikabishi ofisini. Kwa faida yako tu, Sheria inasema zawadi ikivuka thamani ya shilingi elfu hamsini (50,000) ikabidhiwe Serikalini. Linakuja swali, hivi si kuwa Sheria hii imepitwa na wakati? Je, hizo tool of trade ulizoainisha si zinazidi elfu hamsini? Je, hufahamu kuwa zawadi ya kalamu ya Mont Blanc ina thamani ya $400 na ndio hutolewa na corporates za kizungu?Je, suit si bei gani? Na suit ikiwasilishwa serikalini inafanyiwa nini?

Hebu tujiulize hapa baada ya kuzingatia corporate code of conducts na Sheria ya Zawadi, tatizo hapa ni aina ya zawadi? Thamani ya zawadi? Au lengo la zawadi?

Huoni kuwa sheria ina mapungufu? Katika mapungufu na utupu huo, kosa la Mhe Kikwete ( wakati huo akiwa Waziri ) ni lipi haswa? Huoni kuwa ni tatizo la tafsiri zaidi hususan kwa mtu mwenye akili na mawazo ya kutafuta kumhusisha mtu tu na kashfa ambayo haipo?

Without prejudice to validity of some of their stories,I think it is time we stopped believing in just everything wikileaks or othr western media says..ivi mnaamini kweli ukerewe leo mtu anasex na kijiji au wilaya nzima kwa minajiri kuwa ni rituals?

Sikatai haijaendelea,lakini huo ushirikina unaosemwa umekua exxagerated beyond logic n truth.

Nyie si ni mashahidi BBC na skynews wanavoripoti khs africa mf Libya n other so called ‘third world‘ countries?

Let‘s nt succumb to western propaganda wikileakes is turning out to be..“they have put a sword to the strings tht united us and now we are falling apart“

hii ya sex na kijiji ya wapi? Mbona haipo?

Thats exactly how UKereWE is! Hakukuwa na serikali. Bora CDM wameshika

Kuna kitu kingine ningeomba watanzania tutupie jicho. Sasa hivi kuna utitiri wa wamarekani kila kona ya Tanzania. Mara wachezaji mpira wa vikapu, mara volunteers (Corps), mara wawekezaji na hivi juzi juzi tu wachungaji wamarekani-weusi (wachungaji wamerekani-weusi) walimtembelea Waziri mkuu Pinda! Huyu Balozi wa sasa wa Marekani nadhani anatumia rangi yake ya ngozi (black american) kuonesha kuwa anajali anatujali sisi wamatumbi wenziwe lakini sidhani kama kuna mnyonyaji kama yeye. The man is taking us to the cleaners. Symbion tayari wapo mjini.

Jambo jingine, Hoteli ya Kempenski imenunuliwa na Hyatt - wamarekani. Kuna harusi murua kati ya serikali kuu ya marekani na wafanyabiashara wa nchi hiyo. Huyu bwana wa Wikileaks aliahidi huko nyuma kuwa angetoa manjonjo yanayoonesha namna serikali ya USA inavyotumia wafanyabishara kwenye ushushushu. Sasa hivi Kempenski (Hyatt) ni yao kwa hiyo wataweza kuweka mitambo yoyote wanayotaka ili wajue nani anahitaji suti mpya, nani kavaa tai ya manjano au nani ana special 'event'. Nchi hii kwa sasa ni kama tuko uchi, sijui kama TISS wanachanganua (analyse) mambo yanayoendelea hapa bongo. Kama kuna chembechembe za uzalendo hawa TISS wangetakiwa waunganishe 'dots' maana mambo yanakwenda sivyo. Nchi inaliwa!

Mpaka sasa credibility ya wikileaks iko matatani sasa inakua ngumu hata kuzichukulia taarifa zake serious.

Julian Asanje ambae ndio muasisi wa wikileaks hajulikani alipo na alikamatwa kwa manjonjo mengi tu na akazuliwa kesi mbalimbali baadae zote zikapotea na yeye mwenyewe pia akapotea.

Ni muhimu kua makin na habari za wikileaks isijekua aina mpya ya ukoloni.

Jamani kuna nini kinaendelea ndio naingia nilikuwa na ka 'event' kangu pale nyumba ya kulala wenyeji.

Ninafikiri tunahitaji utamaduni wa utawala wa Marekani. Ninakumbuka enzi za utawala wa Bill Clinton, mmojawapo ya mawaziri wake alifikishwa mbele ya pilato kujibu tuhuma za 'rushwa' - ambapo kampuni moja iliyokuwa inahusiana na wizara yake ilikuwa imemnunuliwa tiketi ya ndege na kulipa malazi katika hoteli ya kifahari ili ahudhurie mchezo wa futiboli. Gharama yote kwa jumla haikuwa zaidi ya Dola za kimarekani 30,000. Alikuwa anapenda sana michezo. Hata hivyo aliweka mawakili wa nguvu katika utetezi wake na hatimaye alishinda kesi. Cha muhimu hapa ni kwamba alivunja miiko ya uongozi na moja kwa moja alipelekwa mbele ya pilato. Huo ndio utawala bora.

If these US diplomats did not get Kikwete's name right on a consinstent basis, I wonder what else did they misread and as a result are now misleading.

I am taking three major points here.

1. The US Embassy in TZ cables (the handful I have read, I am on page 5) are mostly accurate/ plausible.
2.Despite the above assertion, they are not infallible or devoid of the effect of the American prism, or even schism.
3.Because of 1 and 2 above, effort should be made to verify and corroborate information not already known, especially when such information is controversial and may be subject to Americans unfamiliarity with the chaos that is Tanzania.

Having said that, reading these official cables, especially the unredacted, gives a strong confirmation of what we have been asserting here all along.

Just a few examples, Game Theory - with all his controversial input, now vindicated- asserted here long ago that Tanzania does not have a Foreign Policy worth it's weight in salt. We are now learning - more like confirming if you believed GT- that not only do we lack a FP, we do not even have the right number of staff at MOFA, and the few "vipanga" there are inadequately equipped/ trained. Vipanga wanaosifika kama Balozi Mulamula na Balozi Salim Ahmed Salim wanaenda US Embassy kubwabwaja mambo yanayo undermine national security for the price of a lunch and hobnobbing with US diplomats!

We have always talked about Kikwete and corruption, now we know that even the suits he wears are bribes.

Let's dig some more.

Dah, kweli nimekua disappointed na Wikileaks. Naona kama ni another Wikipedia ya diplomatic cables tu. No hard
facts!

Yani out of tuhuma zoote za ufisadi anazovurumushiwa rais wetu, this is the best "evidence" waliyokua nayo?

Kwamba alipewa "shopping trip"(which is a joke!) kwa waziri wa mambo ya nje anayelipwa USD 600 per day akiwa
nje na kila mwezi yuko nje karibu nusu ya mwezi. Na evidence yenyewe ni hear say!!!

I expected more meat than this hearsay bull,...

kwa hili huyu jamaa hachomoki na wala asijitoe kabisa..........dah....

hii kebo babu kubwa.........

Huoni kuwa sheria ina mapungufu? Katika mapungufu na utupu huo, kosa la Mhe Kikwete ( wakati huo akiwa Waziri ) ni lipi haswa? Huoni kuwa ni tatizo la tafsiri zaidi hususan kwa mtu mwenye akili na mawazo ya kutafuta kumhusisha mtu tu na kashfa ambayo haipo?
No wonder tuliwahi kuipa rushwa jina 'takrima'. Binafsi revelations hizi kuhusu jk hata kama sio kashfa kama unavyotaka tuamini lakini zinatueleza jk ni mtu wa aina gani.

Naamini hata wamerekani ndio kikubwa walichokuwa wanataka kujua...je huyu mtu anataka kuwa rais wa tz ananunulika? Kama ndio, kwa kiasi gani? Baada ya kumfahamu naamini na wao wameshamtumia mara kadhaa na pengine bado anatumika!

Kumbuka hizi habari zimevuja kwa bahati mbaya tu!

Apparently Kikwete is a regular customer, but no name ever appears on the hotel registry when a government bigshot has an "event" in one of the guest rooms.
"He is a regular customer" i think of similar events.

Hii sentensi ukiisoma kwa makini utagundua huyu jamaa ni fisadi kiwembe mwandishi kaona asimvue nguo zote angalau kambakishia bukta. Halafu tunaambiwa huwa haandiki jina lake, ila kwa hili namtetea hata mimi nikienda kwenye events zisizo rasmi huwa siandiki jina halisi.

Haya mambo yamenifanya nikumbuke barabara ya serengeti mwenzetu alisimama kidete ijengwe kumbe alikuwa anapata special kind of caring, natumaini mama yetu huwa hapiti JF hatajua tunayoongea hata kama akijua huwa hana makuu.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom