Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Status
Not open for further replies.
Kuna kitu kingine ningeomba watanzania tutupie jicho. Sasa hivi kuna utitiri wa wamarekani kila kona ya Tanzania. Mara wachezaji mpira wa vikapu, mara volunteers (Corps), mara wawekezaji na hivi juzi juzi tu wachungaji wamarekani-weusi (wachungaji wamerekani-weusi) walimtembelea Waziri mkuu Pinda! Huyu Balozi wa sasa wa Marekani nadhani anatumia rangi yake ya ngozi (black american) kuonesha kuwa anajali anatujali sisi wamatumbi wenziwe lakini sidhani kama kuna mnyonyaji kama yeye. The man is taking us to the cleaners. Symbion tayari wapo mjini.

Jambo jingine, Hoteli ya Kempenski imenunuliwa na Hyatt - wamarekani. Kuna harusi murua kati ya serikali kuu ya marekani na wafanyabiashara wa nchi hiyo. Huyu bwana wa Wikileaks aliahidi huko nyuma kuwa angetoa manjonjo yanayoonesha namna serikali ya USA inavyotumia wafanyabishara kwenye ushushushu. Sasa hivi Kempenski (Hyatt) ni yao kwa hiyo wataweza kuweka mitambo yoyote wanayotaka ili wajue nani anahitaji suti mpya, nani kavaa tai ya manjano au nani ana special 'event'. Nchi hii kwa sasa ni kama tuko uchi, sijui kama TISS wanachanganua (analyse) mambo yanayoendelea hapa bongo. Kama kuna chembechembe za uzalendo hawa TISS wangetakiwa waunganishe 'dots' maana mambo yanakwenda sivyo. Nchi inaliwa!
Wanapambana na wachina. kwa kusambaza wananchi wao kila kona ya dunia.
 
Kumbe kununuliwa nguo nayo ni rushwa? Angalia mazingira ya kununuliwa hizo nguo..hata wewe mwenyewe ukikutana na waziri akiwa shopping unaweza ukampa offer.

Vitu vingine ni immaterial jamani!
Na habari za wikileaks siyo zote ni za kuaminika!

Rejao hata mimi nakuunga mkono kuwa tusimeze kila kitu bila kutafuna. ILA HAPO PENYE BOLD SIAFIKIANI NA WEWE. Kununuliwa nguo huko ni in return for something siyo?

Hata bila kujadili ishu hii ya wikileaks, ujue kuwa unapokuwa na nafasi ni vibaya sana kupokea vijizawadi hasa kama wewe ni kiongozi mwenye dhamana ya kuweka maslahi ya taifa mbele.Hivi kwa mfano utatarajia nini pale hakimu/jaji atakapokuwa ananunua chakula sokoni, akatokea mtu na kumpa ofa. Kesho yake mtu huyo atokee mbele yake mahakamani... unadhani watu wataamini kuwa haki itatendeka?Kiongozi anatakiwa kuwa juu ya haya yote. Asiwe mwepesi kuingilika hasa kwa vijizawadi kama hivi!

Rejao nadhani wakati mwingine unaweza ukakaa kimya tu mijadala kama hii ikapita bila wewe kuchangia/kujadili maana unataka watu wakufikirie kuwa uko hapa kutetea kila jambo hata yale yasiyo na msingi.
 
Ndugu hapo kwenye bold inaelekea una mengi sana huyajui kuhusu nchi yako.Kujua kuhusu jamii yako tu haitoshi.Jifunze zaidi kwa kusoma na kufuatilia tafiti mbalimbali.

Sijui kama unajua kuna mila nyingi sana zinazohusiana na "cleansing" kwa wajane.Tafuta mila inayoitwa "kusombola" ndipo utaelewa kuwa hao Wikileaks wako sahihi. Kuna watu maalum/mahususi wameteuliwa kufanya hilo zoezi na tena hulipwa. Ningeeleza mengi zaidi lakini hapa siy mahali pake.

Hapo kwenye red hapo... cleansing ndiyo okusombhola. Mila hizi ni kwa makabila mengi hapa nchini na pengine kwa afrika. Hata hivyo elimu inayojipenyeza kwa watu wetu imetupilia mbali mila hii. Siyo mila inayovumilika katika makabila yetu wakiwemo wakerewe.

Mwaka 2000 - nilipokuwa pale kisiwani uk katika field yangu, nilishuhudia mama mmoja mjane akigoma okusombholwa na aliungwa mkono na wanakijiji wa pale Hamyebhe. Walionyesha ukomavu mkubwa katika kupinga mila kama hizi zisizokuwa na tija kwa maendeleo ya taifa. Anyway, soma post yangu #17 hapo juu unaweza kunielewa na hawa wikileaks wako.

Bahati mbaya, tunawaamini kiasi kwamba hata yale mazuri ya kwetu tunayapuuza! Binafsi nilidhani kila walisemalo ni "dogma"!
 
Naifahamu ukerewe, nimewahi kufanya field kule. Ni wilaya isiyotofautiana na wilaya nyingine zote za nchi yetu hasa zile za vijijini. Imeshapata umeme wa grid ya taifa tokea mara.

Madhali ni kisiwa usafiri unaounganisha kisiwa hicho ni wa maji na anga. Kuna meli za kutosha:- mv butiama, mv clarius, mv kipepeo...kwa upande wa mwz-uk. Na pia kuna ferry kwa upande wa kisolya(bunda)-lugezi ukerewe. Wana barabara chache za lami kama zilivyo w nyingine. Uwanja wa ndg hautumiki kulingana na hali halisi na hautofautiani na mazingira ya sehemu kubwa ya Tz.

Ushirikina si lolote tena pale kisiwani maana watu wanasoma na kufaulu kwa idadi kubwa. Zamani walikuwa wanapewa nafac 70 za kati ya shule 80, kwa wanafunzi wanafaulu kwenda sec schools. Siku hizi pamoja na shule za kata wana sec school nyingine km:- kagunguli, murutunguru, bwisya, nansio kwa kutaja nnazokumbuka. Wanajenga nyumba za kisasa na hasa kutokana na uvuvi maarufu kama MMAJOLHO! Hili la nyumba na kusoma, kwa zamani ungerogwa kwa mjibu wa maelezo yao!

Anyway inatosha kusema kuwa wikileaks hawapashwi kuaminiwa kwa kila wanachosema. Ntarudi kwa takwimu mnawara. Ngoja umeme urudi nichukue laptop yangu.
Hapo kwenye red hapo... cleansing ndiyo okusombhola. Mila hizi ni kwa makabila mengi hapa nchini na pengine kwa afrika. Hata hivyo elimu inayojipenyeza kwa watu wetu imetupilia mbali mila hii. Siyo mila inayovumilika katika makabila yetu wakiwemo wakerewe.

Mwaka 2000 - nilipokuwa pale kisiwani uk katika field yangu, nilishuhudia mama mmoja mjane akigoma okusombholwa na aliungwa mkono na wanakijiji wa pale Hamyebhe. Walionyesha ukomavu mkubwa katika kupinga mila kama hizi zisizokuwa na tija kwa maendeleo ya taifa.

Anyway, soma post yangu #17 hapo juu unaweza kunielewa na hawa wikileaks wako. Bahati mbaya, tunawaamini kiasi kwamba hata yale mazuri ya kwetu tunayapuuza! Binafsi nilidhani kila walisemalo ni "dogma"!


Ndugu,
usiwe mwepesi kupandwa na jazba ..soma umwelewe mtu kwanza kabla ya regurgitations kama hizo kwenye bold hapo juu!

Sijui kama ulielewa context ya mchango wangu.Nadhani ungemsoma kwanza niliyemjibu kabla ya kurukia kunirushia "wikileaks" zako!
 
Hoja yako nzuri kwa jicho la juu juu. Sasa naomba uende mbele zaidi kujibu ikiwa "code of conduct" hiyo ni universal na ikiwa inabana makampuni yote duniani. Maana nafahamu kuwa hilo ni eneo ambalo linasumbua dunia. Corporate world tofauti na serikali zina uhuru mpana wa kufuata codes of conduct au la. Zimefanya jambo hili kuwa sera ya kampuni na si universal. OECD wanazo codes hizi ambazo ni hiyari kwa kampuni kujiunga. Sasa, je, makampuni ya Mashariki ya Kati na Asia ni sehemu ya Code hiyo?

Turudi kwenye hoja yako ya pili, Sheria ya nchi yetu inatamka kuwa zawadi akipewa kiongozi ikizidi kiwango fulani aikabishi ofisini. Kwa faida yako tu, Sheria inasema zawadi ikivuka thamani ya shilingi elfu hamsini (50,000) ikabidhiwe Serikalini. Linakuja swali, hivi si kuwa Sheria hii imepitwa na wakati? Je, hizo tool of trade ulizoainisha si zinazidi elfu hamsini? Je, hufahamu kuwa zawadi ya kalamu ya Mont Blanc ina thamani ya $400 na ndio hutolewa na corporates za kizungu?Je, suit si bei gani? Na suit ikiwasilishwa serikalini inafanyiwa nini?

Hebu tujiulize hapa baada ya kuzingatia corporate code of conducts na Sheria ya Zawadi, tatizo hapa ni aina ya zawadi? Thamani ya zawadi? Au lengo la zawadi?

Huoni kuwa sheria ina mapungufu? Katika mapungufu na utupu huo, kosa la Mhe Kikwete ( wakati huo akiwa Waziri ) ni lipi haswa? Huoni kuwa ni tatizo la tafsiri zaidi hususan kwa mtu mwenye akili na mawazo ya kutafuta kumhusisha mtu tu na kashfa ambayo haipo?
Sheria kama ina mapungufu inarudi kufanyiwa mchakato, ninachojua mimi maana nimefanya kazi kwenye international companies na nimefanya kazi closely na WB ninaelewa Diageo, Barrick na wengineo wakubwa wana ethical conduct kali sana ambayo inasema 'intergrity gives me strength' hii ndio sababu BAE inarudisha change TZ ni kubanwa kwa hii intergrity, hapa huwezi kabisa kutetea kuwa kuna any any international company trading in this country which can just buy clothes to ministers or offer them cash...

Kuhusu code of conduct mimi ni mtumishi wa umma na kuna wakati tuliwaita TAKUKURU kufanya presentation, kwavile tuliwalipa zaidi ya 50ty wao kama wao na sio taasisi ( which tells u I know of the 50ty markup ) tuliwapa publicly na mapicha juu!!! Hiyo ndio declaration ya mtumishi wa umma

Kuhusu Mont Blanc kama kampuni hiyo imetoa hiyo peni ni sawa ni peni hata kama thamani yake ni zaidi ya dola alfu hiyo inakuwa declared kwenye choices of gifts na sidhani kama mont blanc wanaibrand, kama wanakubali wao mont blanc kuwa branded na barrick logo au diageo au SAB Miller kuna tatizo mahali..kwahiyo unapotoa pen na diaries ni zile za makampuni husika

Sioni mapungufu kwenye sheria hii, kwani wangeipeleka bungeni kubadilishwan kwa Kikwete kuwa mbunge inampasa kujua sheria za nchi na zaidi sifa za mwana CCM zile za kukataa aina yoyote ya rushwa, haiingi akilini waziri awe na special rooms kwa ajili ya private affairs unaccounted! Kwanza inamshushia hadhi!

Ningeandika sana lakini nashindwa maana natumia simu nakosa reference ningeweka hapa, lakini I can say even Kempinski ushahidi ukipelekwa na kama wana trade shares zao marekani na sasa ni ya wamarekani basi wanabanwa na SOX(sarbanese Oxyley Act )
 
Ndugu,
usiwe mwepesi kupandwa na jazba ..soma umwelewe mtu kwanza kabla ya regurgitations kama hizo kwenye bold hapo juu!

Sijui kama ulielewa context ya mchango wangu.Nadhani ungemsoma kwanza niliyemjibu kabla ya kurukia kunirushia "wikileaks" zako!


Ilieleweka na wikleaks walieleweka. Kwenye mambo ya msingi huwa nayaeleza kwa wema na utulivu sana. Jazba ya nini tena!
 
America/west iko under control ya freemasons na illuminati, lengo lao ni kuziangusha serikali mbali mbali na kusimika zile zinazofuata ajenda yao. Wana mahesabu ya muda mrefu.

Kwa hiyo vyombo vya habari kama vile cnn, bbc, sky news na magazeti makubwa yako front katika ajenda hii. Si hivyo tu social media kama vile facebook zipo katika project hii, usishangae pia hawa wikileaks wakawa ni part ya plan yao, kuwahadaa walimwengu kwamba habari fulani zimevuja kumbe wamezivujisha wao, na si ajabu nyingine wamezipika wao na kuziongezea chumvi.

Si katika kila nchi watakwenda kupiga mabomu ili waziibie utajiri wake kama libya, nyingine wataforment civil wars, mchinjane wenyewe kwa wenyewe, baadae waje wadictate policies kwa kujifanya wanaprovide funds za reconstructions na humanitarian aids, kumbe dhahabu wanakomba, uranium wanajichukulia. Hawa watu ni mashetani, ni kuwa nao makini sana.
 
Toba!!!!!! Kuna ka-ushetani kwenye haya maswala ya ngono au nini?? Hebu Mafuchila kanifafanulie uzuri hapo penye wino mwekundu sijapaelewa.

Duh!! Kumbe JK ana mke ambaye ni binamu wa marehemu Habyarimana!!

(C) An able politician, Kikwete is a somewhat unenthusiastic administrator. On Embassy row, his Foreign Ministry has a reputation for being understaffed and minimally responsive. Kikwete himself is personable, and conveys the impression that he will at least consider the views of foreign diplomats. Kikwete has signaled that he might discuss signing an Article 98 agreement with the US; the current President Benjamin Mkapa has firmly closed the door on any agreement for the remainder of his Presidency. For years, observers of the Great Lakes conflicts have considered Kikwete to be virulently pro-Hutu. Rumors that he was facilitating arms transfers to Burundian Hutu rebels persisted, but have never been substantiated. Kikwete's marriage to a
cousin of former Rwandan President Juvenal Habyarimana may have fueled these rumors, which are now fading as the Burundi conflict winds down.

9. (u) Please see Embassy Dar es Salaam's SPRNet site for a complete update and background on the Tanzanian elections.

STILLMAN
Cable Viewer
 
America/west iko under control ya freemasons na illuminati, lengo lao ni kuziangusha serikali mbali mbali na kusimika zile zinazofuata ajenda yao. Wana mahesabu ya muda mrefu.

Kwa hiyo vyombo vya habari kama vile cnn, bbc, sky news na magazeti makubwa yako front katika ajenda hii. Si hivyo tu social media kama vile facebook zipo katika project hii, usishangae pia hawa wikileaks wakawa ni part ya plan yao, kuwahadaa walimwengu kwamba habari fulani zimevuja kumbe wamezivujisha wao, na si ajabu nyingine wamezipika wao na kuziongezea chumvi.

Si katika kila nchi watakwenda kupiga mabomu ili waziibie utajiri wake kama libya, nyingine wataforment civil wars, mchinjane wenyewe kwa wenyewe, baadae waje wadictate policies kwa kujifanya wanaprovide funds za reconstructions na humanitarian aids, kumbe dhahabu wanakomba, uranium wanajichukulia. Hawa watu ni mashetani, ni kuwa nao makini sana.
This is a very simplistic conspiracy theory.

Kwa hiyo unataka kutuambia serikali ya Marekani imejipanga pamoja na WikiLeaks kuvujisha diplomatic cables zenye deadly implications kwa serikali ya Marekani ?

Why would the US gov shoot itself in the foot in a worse way than Plaxico? What would the advantage be?
 
Mzee wa Kiraracha, hapo kwenye red ni kwamb ulikua kwenye FARAGHA na nani??? Je huwa ni kawaida yako mara kwa mara au ilikua ni kamtoko tu ukawa umemtoa 'Mama Salma' wako nje wlau naye akaone dunia zaidi ya chumba chenu cha siku zote???????????

Jamani kuna nini kinaendelea ndio naingia nilikuwa na ka 'event' kangu pale nyumba ya kulala wenyeji.
 
Dah, kweli nimekua disappointed na Wikileaks. Naona kama ni another Wikipedia ya diplomatic cables tu. No hard
facts!

Yani out of tuhuma zoote za ufisadi anazovurumushiwa rais wetu, this is the best "evidence" waliyokua nayo?

Kwamba alipewa "shopping trip"(which is a joke!) kwa waziri wa mambo ya nje anayelipwa USD 600 per day akiwa
nje na kila mwezi yuko nje karibu nusu ya mwezi. Na evidence yenyewe ni hear say!!!

I expected more meat than this hearsay bull,...

Lazima uelewe kwamba the most sensitive information huwa haziwekwi kwenye cables, kwani State Department wanajua cables hizi zinaweza kuvuja na baada ya miaka kadhaa zinakuwa declassified.

The most sensitive news is conveyed in person or on secure phone line. Ndiyo maana mara zote wiretaps zinakuwa more revealing kuliko cable.

Huwezi kuwalaumu WikiLeaks kwa sababu ma diplomat wa Kimarekani wamekuwa waangalifu na hawajaandika explosive bombshell. Unatakiwa kusaidia effort kwa kuendeleza pale WikiLeaks walipoishia. Sio kila kitu tusubiri kuletewa tu. Tutaletewa hata kinyesi, ashakum. Ndiyo maana nikasema corroboration muhimu.
 
Wikileaks endeleeni kutujuza. Pengine viongozi wetu including mr. President wakijua siri zao zipo hadharani watajivua gamba.
 
Without prejudice to validity of some of their stories,I think it is time we stopped believing in just everything wikileaks or othr western media says..ivi mnaamini kweli ukerewe leo mtu anasex na kijiji au wilaya nzima kwa minajiri kuwa ni rituals?
Sikatai haijaendelea,lakini huo ushirikina unaosemwa umekua exxagerated beyond logic n truth.
Nyie si ni mashahidi BBC na skynews wanavoripoti khs africa mf Libya n other so called ‘third world‘ countries?
Let‘s nt succumb to western propaganda wikileakes is turning out to be.."they have put a sword to the strings tht united us and now we are falling apart"

Nimeongelea kuhusu kutoamini jumla jumla hizi cables hapa.

Lakini inaonekana kama hujaelewa kilichoandikwa

(For example, it is believed that when a married person's spouse dies, he or she must engage in sex to be cleansed of the marriage. The person to perform this "cleansing" is often appointed to do so for an entire village or group of villages.)

for = on behalf of

Kwa hiyo hawajasema mtu anafanya ngono na kijiji kizima, wamesema mtu anachaguliwa kufanya mapenzi kwa niaba ya kijiji/ vijiji.

Kwa hiyo wanaofanya mapenzi ni wawili, lakini mmoja anawafanyia wengine wote katika kijiji/ vijiji.

Get it right. Jua tofauti ya "for" na "with".
 
Najua viongozi wetu ni wasaliti sana kwa wananchi especialy ktk suala la maendeleo,ila ktk hili weekleaks nadhani wameongeza sana chumv,nimekaa kule Ukerewe kuanzia nipo darasa la 6 mpaka nahitimu kidato cha 4,nimetoka mwaka 2003 hakukua na umeme ila kwa sasa wameunganishwa kutokea Bunda,hayo mambo ya Kishirikina yanaongelewa sana ila nadhani wenyeji wa kule ndio mashahidi wazuri wa hilo.

Ni ngumu sana ku prove jambo hlo kama ilivyo maeneo mengine mengi ya kule,though kuna story wanasema hata Nyerere alipaogopa especialy Ukara, thats why alienda mara moja tu kule ktk kipindi chake chote cha Uhai+utawala,maendeleo ni magumu kule kupatikana kutokana na nature yake.

Tukumbuke ni Kisiwa na kimezungukwa na vsiwa vingine vidogo vya wavuvi kama Bwisya, Ghana, Ukara etc, kwahiyo hata kufikisha huduma za jamii inaiwia ugumu Serikali
 
Nimeongelea kuhusu kutoamini jumla jumla hizi cables hapa.

Lakini inaonekana kama hujaelewa kilichoandikwa



for = on behalf of

Kwa hiyo hawajasema mtu anafanya ngono na kijiji kizima, wamesema mtu anachaguliwa kufanya mapenzi kwa niaba ya kijiji/ vijiji.

Kwa hiyo wanaofanya mapenzi ni wawili, lakini mmoja anawafanyia wengine wote katika kijiji/ vijiji.

Get it right. Jua tofauti ya "for" na "with".

Asante kwa kuifafanua hii point maana kuna watu walishaanza kuitia tafsiri potofu.Na kwa kuongezea kidogo ni kwamba katika kijiji kunakuwepo watu maalumu wanaotambulika kama "wataalam" wa kufanya shughuli hii.Inapotokea haja ya "kuwasafisha wajane" basi hawa "wataalamu" hutafutwa wakamilishe zoezi.Ni kama vile wanavyotambulika "wakunga wa jadi" au "wagagnga" kijijini n.k.
 
This is a very simplistic conspiracy theory.

Kwa hiyo unataka kutuambia serikali ya Marekani imejipanga pamoja na WikiLeaks kuvujisha diplomatic cables zenye deadly implications kwa serikali ya Marekani ?

Why would the US gov shoot itself in the foot in a worse way than Plaxico? What would the advantage be?
Nafikiri mwandishi kasema p[osibilities ambazo hutakiwi kuziacha nje ingawa kweli ni conspiracy theory.. Marekani ni kuwa nao makini sana, kwa sababu makosa aloyafanya Ghadafi toka mwaka 2002 ktk makubaliano yake na CIA na MI6 ndiyo yamepelekea kuangushwa kwake!...Watu kama Saadam na Mubarak ni historia inayojirudia kila siku kwamba Marekani hana rafiki akishakuchoka anakumwaga..Nina mashaka makubwa kama JK haja sign Artical 98 Agreement na Marekani kwa sababu kuingia kwake Ikulu kulikuwa na nguvu kubwa sana iliyotumika..

- The international agreements mentioned in Article 98(2) of the Rome Statute are referred to by several terms, including Article 98 agreements, bilateral immunity agreements (BIAs), impunity agreements, and bilateral non-surrender agreements. Starting in 2002, the United States began negotiating these agreements with individual countries, and has concluded at least one hundred such agreements. Countries that sign these agreements with the United States agree not to surrender Americans to the jurisdiction of the International Criminal Court. The Coalition for the International Criminal Court lists 100+ agreements in its factsheet on the status of US Bilateral Immunity Agreement.
 
The Somali Problem ------------------- 6. (SBU) Kikwete stated: "Somalia is our biggest headache". He decried the proliferation of weapons from Somalia, saying "they are now utilitiA{Q icM`b,euxA]I&WtQugees in jail in Tanzania for illegal entry, and they arrive almost daily on their way to greener pastures in South Africa. He said Tanzania hopes to return them soon. 7. (SBU) Payne told President Kikwete about a forum he had organized in Washington for representatives from Puntland, Somaliland, and the TFG to discuss how best to benefit the Somali people as a whole. He said he encouraged the participants to partake in the TFG structure in order to access assistance and manage legal recognition issues. Kikwete responded that the President of Somaliland had come to Tanzania to push for recognition, but said it was difficult because while they do have a "genuine case" for statehood, it would further complicate the situation in Somalia. Kikwete said the priority is to address problems in Somalia, otherwise extremists will move into Somaliland. He said the key question preoccupying him is how to get the TFG to work, because once the TFG has gained control, things should calm down. He mentioned Tanzania had offered to train Somali troops, but the TFG had not yet taken him up on it. He said he is trying to work all angles. However, he is "not very hopeful, but can't yet say it is hopeless because not everything has been tried". Ambassador Lenhardt reinforced that Tanzania occupies a very favorable leadership role and is taking the right approach. He emphasized the importance of careful consideration, not reactive thinking in this complex situation.



http://www.wikileaks.ch/cable/2009/11/09DARESSALAAM796.html
 
Asante kwa kuifafanua hii point maana kuna watu walishaanza kuitia tafsiri potofu.Na kwa kuongezea kidogo ni kwamba katika kijiji kunakuwepo watu maalumu wanaotambulika kama "wataalam" wa kufanya shughuli hii.Inapotokea haja ya "kuwasafisha wajane" basi hawa "wataalamu" hutafutwa wakamilishe zoezi.Ni kama vile wanavyotambulika "wakunga wa jadi" au "wagagnga" kijijini n.k.
Duh!Na sifa za huo "Utaalam" ni zipi?Yani huwa wanachaguliwa kwa vigezo gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom