Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
for sure yaani we acha tu,ila mi naonaga tuu hili jina ni wazungu wachina watz!this truth hurts so much!
for sure yaani we acha tu,ila mi naonaga tuu hili jina ni wazungu wachina watz!this truth hurts so much!
Nachoweza kusema Huyu mwandishi alitembelea Ukerewe mwaka 1950....5. (U) Outside of the urban center of Mwanza, the region remains undeveloped. Emboff visited Ukerewe district, comprised of 26 islands in Lake Victoria, to see two USG- funded projects. Accessible only by ferry, the district is among the most remote in Tanzania. The islands are not connected to the country's electrical grid, and only a few small streets are paved. Residents feel far removed from the government in Dar es Salaam, and expressed dismay that their elected leaders have taken too long to provide needed infrastructure and services. Traditional beliefs, including the practice of witchcraft, maintain a stronger hold in these rural areas. Some of these practices have contributed to the spread of HIV/AIDS in the area. (For example, it is believed that when a married person's spouse dies, he or she must engage in sex to be cleansed of the marriage. The person to perform this "cleansing" is often appointed to do so for an entire village or group of villages.) Education and modernization have been slow to influence such rural areas. Cable Viewer
why free clothes? Why taken for shoping in london? Whats behind all these offers? ....
This is a very simplistic conspiracy theory.
Kwa hiyo unataka kutuambia serikali ya Marekani imejipanga pamoja na WikiLeaks kuvujisha diplomatic cables zenye deadly implications kwa serikali ya Marekani ?
Why would the US gov shoot itself in the foot in a worse way than Plaxico? What would the advantage be?
without prejudice to validity of some of their stories,i think it is time we stopped believing in just everything wikileaks or othr western media says..ivi mnaamini kweli ukerewe leo mtu anasex na kijiji au wilaya nzima kwa minajiri kuwa ni rituals?
Sikatai haijaendelea,lakini huo ushirikina unaosemwa umekua exxagerated beyond logic n truth.
Nyie si ni mashahidi bbc na skynews wanavoripoti khs africa mf libya n other so called third world countries?
Lets nt succumb to western propaganda wikileakes is turning out to be..they have put a sword to the strings tht united us and now we are falling apart
Nijuavyo, Mengi alikuwa amejitolea kuinunua hoteli ya Kilimanjaro. Lakini nasikia Mwarabu alishaihonga Ikulu dola millioni tatu. Hakukuwa na ushindani.Wakuu, naomba mwenye taarifa za ziada ili nijiridhishe kabla sijahitimisha katika kichwa changu.
Je, yalikuwepo makampuni/watu wengine waliokuwa washindani katika kuimiliki Hotel hiyo kabla ya kukabidhiwa mmiliki wa sasa? Ni akina nani,na wana asili za nchi gani?
Chemsha bongo kabla hujapagawa!
Msulujenda natoka kwa muda,kama kawaida yangu!
Asante kwa kuifafanua hii point maana kuna watu walishaanza kuitia tafsiri potofu.Na kwa kuongezea kidogo ni kwamba katika kijiji kunakuwepo watu maalumu wanaotambulika kama "wataalam" wa kufanya shughuli hii.Inapotokea haja ya "kuwasafisha wajane" basi hawa "wataalamu" hutafutwa wakamilishe zoezi.Ni kama vile wanavyotambulika "wakunga wa jadi" au "wagagnga" kijijini n.k.
kwa sababu wanajua huna cha kuwafanya! na instead wao wamarekani wanaweza kuzitumia kuziadhibu serikali/watu waliotajwa katika hizo cables kwa kuwagonganisha na watu wao!, Robert Gates alishaulizwa ni nini implication ya kuvuja kwa hizi cables kwa maslahi ya marekani , akasema, duniani kuna nchi zinaitegemea Marekani, Nyingine zinaiogopa kwa hiyo effect yake kwa america ni ndogo sana, sasa hapo nafikiri unaweza kuelewa nasimamia wapi
FJMKuna kitu kingine ningeomba watanzania tutupie jicho. Sasa hivi kuna utitiri wa wamarekani kila kona ya Tanzania. Mara wachezaji mpira wa vikapu, mara volunteers (Corps), mara wawekezaji na hivi juzi juzi tu wachungaji wamarekani-weusi (wachungaji wamerekani-weusi) walimtembelea Waziri mkuu Pinda! Huyu Balozi wa sasa wa Marekani nadhani anatumia rangi yake ya ngozi (black american) kuonesha kuwa anajali anatujali sisi wamatumbi wenziwe lakini sidhani kama kuna mnyonyaji kama yeye. The man is taking us to the cleaners. Symbion tayari wapo mjini.
Jambo jingine, Hoteli ya Kempenski imenunuliwa na Hyatt - wamarekani. Kuna harusi murua kati ya serikali kuu ya marekani na wafanyabiashara wa nchi hiyo. Huyu bwana wa Wikileaks aliahidi huko nyuma kuwa angetoa manjonjo yanayoonesha namna serikali ya USA inavyotumia wafanyabishara kwenye ushushushu. Sasa hivi Kempenski (Hyatt) ni yao kwa hiyo wataweza kuweka mitambo yoyote wanayotaka ili wajue nani anahitaji suti mpya, nani kavaa tai ya manjano au nani ana special 'event'. Nchi hii kwa sasa ni kama tuko uchi, sijui kama TISS wanachanganua (analyse) mambo yanayoendelea hapa bongo. Kama kuna chembechembe za uzalendo hawa TISS wangetakiwa waunganishe 'dots' maana mambo yanakwenda sivyo. Nchi inaliwa!
Acha uwongo. Assange anajulikana alipo. Na kama wikileaks zingekuwa uwongo Hillary Clinton asingewapigia simu viongozi wa nchi kadha wa kadha waliotajwa kwenye nukuu hizo kuomba msamaha wakati zilipoanza kuvuja. Lakini unaweza kuchagua kuamini unachotaka kuamini.Mpaka sasa credibility ya wikileaks iko matatani sasa inakua ngumu hata kuzichukulia taarifa zake serious.
Julian Asanje ambae ndio muasisi wa wikileaks hajulikani alipo na alikamatwa kwa manjonjo mengi tu na akazuliwa kesi mbalimbali baadae zote zikapotea na yeye mwenyewe pia akapotea.
Ni muhimu kua makin na habari za wikileaks isijekua aina mpya ya ukoloni.
Nafikiri mwandishi kasema p[osibilities ambazo hutakiwi kuziacha nje
ingawa kweli ni conspiracy theory.. Marekani ni kuwa nao makini sana,
kwa sababu makosa aloyafanya Ghadafi toka mwaka 2002 ktk makubaliano yake na CIA na MI6 ndiyo yamepelekea kuangushwa kwake!...Watu kama Saadam na Mubarak ni historia inayojirudia kila siku kwamba Marekani hana rafiki akishakuchoka anakumwaga..Nina mashaka makubwa kama JK haja sign Artical 98 Agreement na Marekani kwa sababu kuingia kwake Ikulu kulikuwa na nguvu kubwa sana iliyotumika..
- The international agreements mentioned in Article 98(2) of the Rome Statute are referred to by several terms, including Article 98 agreements, bilateral immunity agreements (BIAs), impunity agreements, and bilateral non-surrender agreements. Starting in 2002, the United States began negotiating these agreements with individual countries, and has concluded at least one hundred such agreements. Countries that sign these agreements with the United States agree not to surrender Americans to the jurisdiction of the International Criminal Court. The Coalition for the International Criminal Court lists 100+ agreements in its factsheet on the status of US Bilateral Immunity Agreement.
Duuh,
Sasa hapo mtaalamu akipata ngoma almost guarantee wajane wote "watakaosafishwa" nao watapewa ngoma.
Na kwa nature ya shughuli ya "mtaalamu" huyu, ukichanganya na high rates za HIV nchini, basi it is only a matter of time kabla hajakamata gridi la taifa.
Tutashinda vita dhidi ya ukimwi kwa style hii kweli?
Sikiliza, kule sumbawanga ilidaiwa kuwa wazee walitundika koti hewani wakati nyerere akihutubia, ok! Na ukerewe ilisikika kuwa kuna mtu aliwahi kukojoa dagaa akitoka in reverse order. Unasikia masimulizi hayo? I used to be in sumbawanga na ndo asil yangu, tazama hata jina langu hapo juu. Hata hivyo nimeona uzi humu jamvini, kule kwetu "wachawi" wanapigwa kiberiti na vijana wa kipindi hiki ambao naamini imani za kishirikina siyo instrument ya mafanikio yao.Najua viongozi wetu ni wasaliti sana kwa wananchi especialy ktk suala la maendeleo,ila ktk hili weekleaks nadhani wameongeza sana chumv,nimekaa kule Ukerewe kuanzia nipo darasa la 6 mpaka nahitimu kidato cha 4,nimetoka mwaka 2003 hakukua na umeme ila kwa sasa wameunganishwa kutokea Bunda,hayo mambo ya Kishirikina yanaongelewa sana ila nadhani wenyeji wa kule ndio mashahidi wazuri wa hilo.
Ni ngumu sana ku prove jambo hlo kama ilivyo maeneo mengine mengi ya kule,though kuna story wanasema hata Nyerere alipaogopa especialy Ukara, thats why alienda mara moja tu kule ktk kipindi chake chote cha Uhai+utawala,maendeleo ni magumu kule kupatikana kutokana na nature yake.
Tukumbuke ni Kisiwa na kimezungukwa na vsiwa vingine vidogo vya wavuvi kama Bwisya, Ghana, Ukara etc, kwahiyo hata kufikisha huduma za jamii inaiwia ugumu Serikali
Sikiliza, kule sumbawanga ilidaiwa kuwa wazee walitundika koti hewani wakati nyerere akihutubia, ok! Na ukerewe ilisikika kuwa kuna mtu aliwahi kukojoa dagaa akitoka in reverse order. Unasikia masimulizi hayo? I used to be in sumbawanga na ndo asil yangu, tazama hata jina langu hapo juu. Hata hivyo nimeona uzi humu jamvini, kule kwetu "wachawi" wanapigwa kiberiti na vijana wa kipindi hiki ambao naamini imani za kishirikina siyo instrument ya mafanikio yao. Yes, wanaona, leo sumbawanga ina umeme wa generator megawati 5 na demand yao ni 3Megaw, wana barabara za lami pale manispaa zaidi ya km9- total coverage! Barabara kuu swg-tunduma, swg-mpanda, sws-kasanga zinajengwa kwa kiwango cha lami. Mpanda mjini wana karibu km13 za lami na mengine mengi ambayo yanafungua maeneo yaliyosahaulika kama haya. Maana yake ni kwamba imani potofu zina repel automatically! Wikileaks hawawezi kuniaminisha kwa urahisi hivyo. Maeneo yetu tunayajua banaaa. Ukerewe nimetoka wakati umeme ukiwaka na wana barabara za lami toka namagubo mpaka bondeni ~2km, nansio port mpaka bulamba ~5Km! Na barabara ya kutoka lugezi mpaka masonga kupitia murutunguru >40k iko kwenye mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami! Ni mjinga anaeamini kuwa :- Makete, namtumbo, ukerewe, sumbawanga, ludewa, lituhi, mbambabay and the like bado wako katika kipindi cha mwaka 1947. I can bet!!!!!!!!!!!
America/west iko under control ya freemasons na illuminati, lengo lao ni kuziangusha serikali mbali mbali na kusimika zile zinazofuata ajenda yao. Wana mahesabu ya muda mrefu. Kwa hiyo vyombo vya habari kama vile cnn, bbc, sky news na magazeti makubwa yako front katika ajenda hii. Si hivyo tu social media kama vile facebook zipo katika project hii, usishangae pia hawa wikileaks wakawa ni part ya plan yao, kuwahadaa walimwengu kwamba habari fulani zimevuja kumbe wamezivujisha wao, na si ajabu nyingine wamezipika wao na kuziongezea chumvi....
Duh!Wenzao sijui kama walishaacha.Walikuwa wakitumia ufadhili wa michezo ili kufanya deal kama hizo.Kipindi cha nyuma enzi za kina Mohammed Mwameja wa Simba,kila mchezaji anayesafiri alikuwa anapewa mpira wake.Nasikia walikuwa wakismuggle through those soccer balls.Enzi hizo mfadhili wa Simba kama sikose alikuwa Dewji.In June, while traveling to the Olympic Games, Tanzanian boxers and their coach were arrested in Mauritius for trafficking of narcotics worth 120 million shillings, (approximately USD 100,000). The president of the Boxing Federation of Tanzania was later arrested and charged with arranging the deal.
Nilikuwa mpenzi wa novel za kijasusi.Na kwa jinsi JK anavyofanya,kama wakitaka kumkill they will do bila shida yeyote.Huwa wanawekewa sumu kwenye vitu wanavyovipenda.Kama umeshasoma ile novel ya "Windmills of the gods" utaelewa what i am talking about.Na kuhusu suti za Kikwete as late as last year Albawardy alikuwa anamletea suti karibu kila mwezi pale Kempinski na zikifika Ikulu inaarifiwa anatumwa mtu kwenda kuzichukua. Hii niliambiwa na afisa wa ngazi za juu anayefanya kazi pale. Kwa sasa sijui kama rais wetu ameshatosheka na suti lakini as of last year alikuwa akiletewa on a monthly basis.