Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Status
Not open for further replies.
Tutajua mambo mengi ambayo tulikuwa hatuyajui, Tunafunguliwa macho na Wikileaks lakini bado hatutaki kuyafungua. Sijui mwisho wetu utakuwaje. Mungu tubariki Watanzania na Taifa letu na uwafupishe maisha yao viongozi wote wadhalimu waliopo Tanzania ili Wajukuu zetu waje kufaidika na Rasilimali zao
 
Kila kitu hapo kimejieleza..sioni element yoyote ya rushwa hapo!

"I suspect giving free clothes and the campaign donation is just the way these people do business"

Hiyo sentence hapo imesummarize kila kitu
Unategemea rushwa wanatoa moja kwa moja? Hata kama mtu hutaki utakua umepokea indirect kwa mfano enzi za nyerere uingereza walitoa msaada wa trekta kwa TZ na baada ya nyerere kupokea wakata kupewa ruhusa yakuchimba madini nyerere akakataa akarudisha trekta zao unategemea angekubali isingekua rushwa?
 
yale mawe is purely physics! na hapo ndo taabu yetu,tunaamini uchawi kuliko sayansi! mtu kajiwahia ulaji pale, tourism wakiamka usingizini watachangamkia watangaze kimataifa!
Ila ukerewe nako noma. Kuna mawe yanacheza dansi kule. Ndio maana wazungu wametoa tahadhari kabla ya hatari. Inaelekea ugagula ni sehemu ya mila za kule.
 
Ni huyo jk aliyepewa suti na kumnyang'anya aloshinda kuinunua hotel arusha(mrema wa impala) na kumkabidhi huyo mwarabu.sheria ibadilishwe mwaka 2015 jk ashtakiwe kwa kuendesha nchi kwa ushauri wa familia hasa salma na riziwaa
 
Sitaki kuamini kwamba ati Rais Kikwete ananunuliwa suit. Rais anavishwa na wananchi sasa iweje ati huyu mwarabu amnunulie suit? Huu nauona ni uongo tu!
 
Kempinski..... Hii ndiyo hoteli ambayo wakati ule wa kuibinafsisha 'zilichezwa faulo' hadi neno fulani likapata umaarufu sana....sikumbuki vizuri lile neno 'mchezo mchafu' au???
Hivi kwa nini Bongo hakuna wadunguaji? Mnajua haya machukizo mengine tunapaswa kuwa tunayamaliza juu kwa juu.
 
Haya mambo hadharani....mliozoea kuita waandishi wa habari na kupasafisha magogoni, haya waiteni sasa na muwa habarishe na hayo!
 
Without prejudice to validity of some of their stories,I think it is time we stopped believing in just everything wikileaks or othr western media says..ivi mnaamini kweli ukerewe leo mtu anasex na kijiji au wilaya nzima kwa minajiri kuwa ni rituals?

Sikatai haijaendelea,lakini huo ushirikina unaosemwa umekua exxagerated beyond logic n truth.

Nyie si ni mashahidi BBC na skynews wanavoripoti khs africa mf Libya n other so called ‘third world‘ countries?

Let‘s nt succumb to western propaganda wikileakes is turning out to be.."they have put a sword to the strings tht united us and now we are falling apart"
 
Kila kitu hapo kimejieleza..sioni element yoyote ya rushwa hapo!

"I suspect giving free clothes and the campaign donation is just the way these people do business"

Hiyo sentence hapo imesummarize kila kitu
why free clouths? Why taken for shoping in london? Whats behind all these offers? Kumbe hata midume huwa inapelekwa shoping na midume mienzio. Au yule jamaa wa the utamu hakukosea.
 
Yeye ajue kwamba uvumilivu una mwisho hata Mungu anatuvumilia waovu lakini akichoshwa anatuvuna hivyo kikwete ajiandae kuvunwa na Watanzania. si mchezo hata kaburi lake litachalazwa viboko au kama ilivyo kwenye Biblia tutaweka uadui kati ya Uzao wake na uzao wa Wanzania atatugonga visigino nasi kichwa ni halali yetu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu sikia kilio cha watoto wako utuondolee hili balaa. Amen
 
wako sahihi. Kwani wanaleakisha docs za siri toka sehemu nyeti na si wao wanaozitengeneza. Hata hivyo hawa wawestern wanatujua vyema kuliko sisi. Kwa kila kitu.
 
Mimi nadhani hiyo ni overview ya tanzania jinsi ilivyo, ukonga sio mbali na dar, lakini ukonga hakuna maji wa vituo vya polisi vya kutosha
barabara ni mbuvu na mbunge ni ndoto kumuona
hii ndio tanzania yetu
 
Naifahamu ukerewe, nimewahi kufanya field kule. Ni wilaya isiyotofautiana na wilaya nyingine zote za nchi yetu hasa zile za vijijini. Imeshapata umeme wa grid ya taifa tokea mara.

Madhali ni kisiwa usafiri unaounganisha kisiwa hicho ni wa maji na anga. Kuna meli za kutosha:- mv butiama, mv clarius, mv kipepeo...kwa upande wa mwz-uk. Na pia kuna ferry kwa upande wa kisolya(bunda)-lugezi ukerewe. Wana barabara chache za lami kama zilivyo w nyingine. Uwanja wa ndg hautumiki kulingana na hali halisi na hautofautiani na mazingira ya sehemu kubwa ya Tz.

Ushirikina si lolote tena pale kisiwani maana watu wanasoma na kufaulu kwa idadi kubwa. Zamani walikuwa wanapewa nafac 70 za kati ya shule 80, kwa wanafunzi wanafaulu kwenda sec schools. Siku hizi pamoja na shule za kata wana sec school nyingine km:- kagunguli, murutunguru, bwisya, nansio kwa kutaja nnazokumbuka. Wanajenga nyumba za kisasa na hasa kutokana na uvuvi maarufu kama MMAJOLHO! Hili la nyumba na kusoma, kwa zamani ungerogwa kwa mjibu wa maelezo yao!

Anyway inatosha kusema kuwa wikileaks hawapashwi kuaminiwa kwa kila wanachosema. Ntarudi kwa takwimu mnawara. Ngoja umeme urudi nichukue laptop yangu.
 
Jamani hii kwenye nchi za wenzetu ni big news lakini sijaiona kwenye vijarida vyetu (they are not broadsheet newspapers rather tabloids), hata gazeti la Uhuru(the leading tabloid newspaper) halijaandika habari kubwa kama hii, uhuru wa habari wanautaka wa nini sasa.

Jamani, hizi scandals zimekuwa too much mpaka tuko kama tunazizoea. Ukizisoma unabaki unaguna tu. Duh
 
''they are what they are''

aiseeeeee!!
 
I suspect giving free clothes and the campaign donation is just the way these people do business
 
Hiyo ya kupewa suti peke yake kama zawadi inatosha kumpigia vote of no confidence. sheria inasema ukipewa zawadi nadhani inayozidi laki moja kama wewe kiongozi iende serikalini. hana tofauti na chief mangungo aliyepewa blanketi akauza nchi.
 
Kila kitu hapo kimejieleza..sioni element yoyote ya rushwa hapo!

" I suspect giving free clothes and the campaign donation is just the way these people do business".

Hiyo sentence hapo imesummarize kila kitu

COMMON SENSE IS NOT THAT COMMON AS THE TERMINOLOGY MIGHT IMPLY!!!

nimesoma kwa makini hiyo cable na kwa hasira sikutaka kuandika kitu nikasema ngoja nisome wanajamii wanafikiri nini and dudes i really confess at the beginning I said to myself this is the kind of argument which will find all those contributing their views beating the same note,obviously it immediately turned to be a mere illusion game!

SIONI CHA KUSEMA ZAIDI YA KUSEMA KIKWETE ACCORDING TO THE CABLE(S) AMEPOKEA RUSHWA - loudly and clearly!!!
I'll explain.
tuanze kwa kudifine what is bribe what is a public official na baadaye tutaona kuwa KIKWETE NI MLA RUSHWA!!!!
*The bribe is the gift bestowed to influence the recipient's conduct.

**Public official" means any person holding a legislative, executive, administrative or judicial office, whether appointed or elected; any other person who performs a public function or provides a public service
.

sasa swali la kujiuliza ni kwa nini huyu damn empty head ampe RUSHWA KIKWETE - na Watanzania mnafahamu kuwa RUSHWA huwa HAITOLEWI BILA KUOMBWA either directly or indirectly!!! I mean unakwenda kuomba huduma fulani mtoa huduma au mwenye dhamana ya kukupatia huduma anakwambia ili nifanye hii issue inabidi "unihonge" - I'm sure u know more than i do the so called "bribery circumstances"

Ili Kikwete akupe kibali cha kujenga hotel ngorongoro/serengeti basi ni lazima utoe kitu kidogo maana the whole construction exercise is illegal so with money gifts yo try to legalize the illegal!!!

KIKWETE IS A corrupt scammer!!

sasa ili hii forum iwe kweli ya great thinkers inabidi ijadili hata probable solutions ya kupambana na RUSHWA kwenye public administration - nitajaribu nami kutoa mawazo yangu kwa kuangalia waingereza na wamarekani wanafanya nini kukabiliana na tatizo kama hilo ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom