Wiki hii Gwajima naona kafunikwa

Wiki hii Gwajima naona kafunikwa

Pamoja na kumbeza,huyu ndio shujaa namba moja.

Unapoona watu wanafungua kesi usidhani wamekurpuka.

Bora yeye kuliko mimi na wewe.

Hahahaaa niliileta mimi humu hoja ya kumfungulia kesi Makonda kwa manufaa ya umma.

I'm happy to see folks taking it under advisement.
 
"Hey Gwajima...where you at man?" hichi ni kiingereza au? Kumbe tatizo haliko juu tu liko hadi chini!!!!
 
Week iliyopita alisema week hii ata download vyeti week hii. Ha ha ha
sahivi ni Mange katoa issue ya magari

Kwa hiyo sasa bango limeshikiwa kwenye magari?

Hahahaa....real life soap opera.
 
Gwajima ni mzushi au Inawezekana akawa mkweli Lakini kinachoniumiza ni jinsi watanzania hata wasio Waumini wake kumwamini kiasi kile yaani nilishindwa kuamini hadi mke wangu kwenye simu Yake ETI kajaza clip za Gwajima anaskia Muda wote. Nikamuuliza vipi mbona unadata ETI akawa anashangilia ooh makonda kashikwa huku hachomoki Kwa Gwajima. Nikabaki najiuliza kumbe watu shida yao makonda ashikwe tu yaani mtu hajawahi kukukosea unakuwa na chuki naye? Nikabaki najiuliza kwanini makonda apigwe vita Sana nikagundua wauza madawa wako na nguvu Sana wako na Mbinu nyingi Sana mpaka za kucheza na akili za watu. Nilifuta clips zote maana ni ujinga mkubwa mtu umekaa unamfuatilia Gwajima hadi Kanisani kwake uende kisa anabishana na mwanasiasa mkuu wako wa mkoa. Pumba Sana watanzania wengi

sio mkeo tu, wengi tu na marafiki, madada, mashemeji mpaka watu unaowaheshimu ambao unajua ni GT

Ukiwauliza evidence iko wapi.......
'Gwajima na Mange wamesema
' !!!! seriously

Tungekuwa marefarii na kukaa kati kati, tungelazimisha Gwajima avionyeshe...lakini wapi, same man aliyesema atamfufua Amina chifupa!!!

Nasema sawa, lakini kwa dunia hii huyo aliyeuza cheti yuko wapi?? hakuendelea na masomo mwaka 2000 na hiyo div 3 wakati huo ilikuwa so hot....kama aliendelea na shule alitumia jina gani?? hakuna mwenye jibu

Kuna serious problem with our society , CCM wameharibu mpaka ufikiri wa kizazi hiki, si wasomi si wasiosoma!!

kikubwa kuna chuki kali, kubwa ya ajabu ambayo inamfanya kila mmoja wetu kutokuwa salama wakati fulani!!
 
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.

Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.

Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.

Hey Gwajima...where you at man?
Sisi wakristo huwa tunawatambua wenye mapepo kirahisi tu...huwa wanachukizwa na sauti za kinabii kutoka madhabahuni...hii ni moja,

Pili, Askofu Gwajima husikika kanisani mwake kila siku ya Jumapili, alihubiri Jumapili iliyopita, yeye ni Askofu, hawezi kuhubiri leo Ijumaa, yeye siyo sheikh!
 
anatafuta cheti cha ndoa cha daudi akiamka huko itakuwa taabu
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.

Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.

Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.

Hey Gwajima...where you at man?
Amesema sasa anakaa kimya, jaribuni kumtumia ndugu mwingine muone mapigo yake. Hivyo vyeti avifiche akavitolee mahakamani. Vingekuwa ofisini wangeshavichukua, sasa mnatumika kum challenge ili avitoe. Vuteni subira.

Lakini si tuko busy tuna tathmini ufisadi unao endelea nchi hii mbele ya mkuu wa nchi aliyeanzisha mahakama ya mafisadi.
 
u

sipende kuropoka mpuuzi mmoja wewe nani anatumika mchewww
 
Unajua kuna kitu mimi sikielewi kabisa.

Paul Makonda keshaonyesha kila dalili kwamba hataki kuonyesha vyeti vyake. Sawa.

Ila huyu Gwajima mwenyewe kwa mdomo wake alisema kuwa anavyo vyeti vyake yeye Makonda na Bashite.

Na simsingizii. Msikilize mwenyewe. Alisema anavyo hivyo vyeti ofisini kwake. Msikilize hapo chini.

Anzia dakika ya 9.

Sasa kama Gwajima anavyo [na kayatoa hayo madai karibu wiki ya tatu sasa] kwa nini asituonyeshe?

Au hana hivyo vyeti huyo?

Au anavyo lakini hana uhakika kama ni vya kweli au la?

I don't get it man! I really don't.

Angefanya kama kipindi kile na Slaa

ASKOFU GWAJIMA AONYESHA MESEJI ALIYOTUMIWA NA DK SLAA BAADA YA KUTOKA SENTRO | BONGOJAMII YETU

upload_2017-3-17_16-40-32.png
 
Attachments

  • upload_2017-3-17_16-38-21.png
    upload_2017-3-17_16-38-21.png
    151.5 KB · Views: 35
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.

Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.

Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.

Hey Gwajima...where you at man?
if he is so useless to you why are you giving him so much attention? let the pimp enjoy his freedom of expression sucker.
 
sio mkeo tu, wengi tu na marafiki, madada, mashemeji mpaka watu unaowaheshimu ambao unajua ni GT

Ukiwauliza evidence iko wapi.......
'Gwajima na Mange wamesema
' !!!! seriously

Tungekuwa marefarii na kukaa kati kati, tungelazimisha Gwajima avionyeshe...lakini wapi, same man aliyesema atamfufua Amina chifupa!!!

Nasema sawa, lakini kwa dunia hii huyo aliyeuza cheti yuko wapi?? hakuendelea na masomo mwaka 2000 na hiyo div 3 wakati huo ilikuwa so hot....kama aliendelea na shule alitumia jina gani?? hakuna mwenye jibu

Kuna serious problem with our society , CCM wameharibu mpaka ufikiri wa kizazi hiki, si wasomi si wasiosoma!!

kikubwa kuna chuki kali, kubwa ya ajabu ambayo inamfanya kila mmoja wetu kutokuwa salama wakati fulani!!
Guilty as charged. I believe them kwa sababu wanapata information kutoka kwa watu na wengi wa kawaida kabisa. Tatizo viongozi wa Tanzania wanajifanya watu wa watu wanajichanganya kupitiliza. Sasa naona wimbi la Siri zao zinaanza kutoka. Hao wakina Mange na Gwajima tofauti na wengine wengi, wana analyse info, na kutafuta backup info. Tofauti na nyumbu wa TBC. Jamani hata NAMESAKE hawajui? Elimu shida.
 
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.

Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.

Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.

Hey Gwajima...where you at man?

Siamini kama hii ni issue kubwa. Hivi Gwajima alitoa time frame kwamba kuna siku maalum atavitoa hadharani?

Kama kuna watu wanafungua kesi kuhusu suala hili hili, ni wazi kwamba kuna kitu. Hatujapiga kelele za bure.
 
Huyo Mzee wa maharage ya wapi Sijui kwisha habari yake, RC bado anadunda na itaendelea kua hivyohivyo.
 
Kwa hiyo sasa bango limeshikiwa kwenye magari?

Hahahaa....real life soap opera.

Ndiyo vile sahivi bango ni magari Makonda amenyanganya watu akaijimirikisha ila akaayapa namba za serikali.
 
Back
Top Bottom