Wiki hii Gwajima naona kafunikwa

Wiki hii Gwajima naona kafunikwa

Siamini kama hii ni issue kubwa. Hivi Gwajima alitoa time frame kwamba kuna siku maalum atavitoa hadharani?

Kama kuna watu wanafungua kesi kuhusu suala hili hili, ni wazi kwamba kuna kitu. Hatujapiga kelele za bure.
Huo mda wa hizo kelele Bora mngeenda shambani kulima manake umepotea bure,Bora hata mwenzenu atakua kaambulia sadaka.
 
sio mkeo tu, wengi tu na marafiki, madada, mashemeji mpaka watu unaowaheshimu ambao unajua ni GT

Ukiwauliza evidence iko wapi.......
'Gwajima na Mange wamesema
' !!!! seriously

Tungekuwa marefarii na kukaa kati kati, tungelazimisha Gwajima avionyeshe...lakini wapi, same man aliyesema atamfufua Amina chifupa!!!

Nasema sawa, lakini kwa dunia hii huyo aliyeuza cheti yuko wapi?? hakuendelea na masomo mwaka 2000 na hiyo div 3 wakati huo ilikuwa so hot....kama aliendelea na shule alitumia jina gani?? hakuna mwenye jibu

Kuna serious problem with our society , CCM wameharibu mpaka ufikiri wa kizazi hiki, si wasomi si wasiosoma!!

kikubwa kuna chuki kali, kubwa ya ajabu ambayo inamfanya kila mmoja wetu kutokuwa salama wakati fulani!!
Kwenye suala la elimu ninakubaliana na wewe.

CCM imeharibu elimu nchini kiasi kwamba unakuta mtu anakuambia ni Uni graduate lakini uwezo wake kifikra uko chini sana. Mbaya zaidi hajui kama uwezo wake kifikra uko chini.

Kwa mtaji huu wa common sense hata alichokifanya ''Mchungaji'' Joseph Kibwetere kwa waumini wake siwezi kushangaa.

Tanzania kuna matatizo zaidi ya tunavyodhani!
 
Kasema ataibuka akichokozwa! Hii ni proof enough kwamba hanaga shida na mtu ni nyie wenyewe mlimchokoza! Kama umemmiss Mchokoze uone moto wake!!
 
Huo mda wa hizo kelele Bora mngeenda shambani kulima manake umepotea bure,Bora hata mwenzenu atakua kaambulia sadaka.
Fighting for a noble cause ni zaidi ya shamba lisilo na tija. Acha mifumo iwekwe ndio kilimo kitaleta maana.
 
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.

Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.

Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.

Hey Gwajima...where you at man?
Anasuniri cku ya kuongea na familia take j2
 
Na kanisani kwake kutapwaya hata sadaka zitapungua maana
 
Naanza kukuhisi vibaya. Kama unatumika vileee?

Hata kama ni ukabila umezidi kumtetea Makondakta
 
Unajua kuna kitu mimi sikielewi kabisa.

Paul Makonda keshaonyesha kila dalili kwamba hataki kuonyesha vyeti vyake. Sawa.

Ila huyu Gwajima mwenyewe kwa mdomo wake alisema kuwa anavyo vyeti vyake yeye Makonda na Bashite.

Na simsingizii. Msikilize mwenyewe. Alisema anavyo hivyo vyeti ofisini kwake. Msikilize hapo chini.

Anzia dakika ya 9.

Sasa kama Gwajima anavyo [na kayatoa hayo madai karibu wiki ya tatu sasa] kwa nini asituonyeshe?

Au hana hivyo vyeti huyo?

Au anavyo lakini hana uhakika kama ni vya kweli au la?

I don't get it man! I really don't.

Kwani alisema ana og au copy
 
Gwajima ni mzushi au Inawezekana akawa mkweli Lakini kinachoniumiza ni jinsi watanzania hata wasio Waumini wake kumwamini kiasi kile yaani nilishindwa kuamini hadi mke wangu kwenye simu Yake ETI kajaza clip za Gwajima anaskia Muda wote. Nikamuuliza vipi mbona unadata ETI akawa anashangilia ooh makonda kashikwa huku hachomoki Kwa Gwajima. Nikabaki najiuliza kumbe watu shida yao makonda ashikwe tu yaani mtu hajawahi kukukosea unakuwa na chuki naye? Nikabaki najiuliza kwanini makonda apigwe vita Sana nikagundua wauza madawa wako na nguvu Sana wako na Mbinu nyingi Sana mpaka za kucheza na akili za watu. Nilifuta clips zote maana ni ujinga mkubwa mtu umekaa unamfuatilia Gwajima hadi Kanisani kwake uende kisa anabishana na mwanasiasa mkuu wako wa mkoa. Pumba Sana watanzania wengi
Kwa hiyo wife wako nae ni......?[emoji12]
 
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.

Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.

Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.

Hey Gwajima...where you at man?
Mkuu hata usemeje sisi tunataka vyeti tuuuuuuuuuuuuu
 
afadhali yeye ana ubavu wa kuropoka .Watanzania kwa ujumla sisi waoga kama nini wa kuongea hata ukionewa unakaa kimya tu. Ndo maana tunahitaji watu kama Gwajima, wewe hata ukimbeza anachofanya ni haki yake kidemokrasia Uhuru wa kuongea bila kuogopa MTU yeyote.
 
Gwajizo for shizo manizo...

dah kitambo kweli hivi Dj JD wa so so Def yupoo??

Any way bashite Agenda inaonekana kufa kufa..kwa kuwa pia ina nguvu ya wanasiasa na wauza ngada...
 
bashite bado Ana run headline kwa kujimilikisha magari ya washukiwa was madawa ya kulevya
 
Back
Top Bottom