Muhimu chetiGwajima ni mzushi au Inawezekana akawa mkweli Lakini kinachoniumiza ni jinsi watanzania hata wasio Waumini wake kumwamini kiasi kile yaani nilishindwa kuamini hadi mke wangu kwenye simu Yake ETI kajaza clip za Gwajima anaskia Muda wote. Nikamuuliza vipi mbona unadata ETI akawa anashangilia ooh makonda kashikwa huku hachomoki Kwa Gwajima. Nikabaki najiuliza kumbe watu shida yao makonda ashikwe tu yaani mtu hajawahi kukukosea unakuwa na chuki naye? Nikabaki najiuliza kwanini makonda apigwe vita Sana nikagundua wauza madawa wako na nguvu Sana wako na Mbinu nyingi Sana mpaka za kucheza na akili za watu. Nilifuta clips zote maana ni ujinga mkubwa mtu umekaa unamfuatilia Gwajima hadi Kanisani kwake uende kisa anabishana na mwanasiasa mkuu wako wa mkoa. Pumba Sana watanzania wengi
Subiri hapo hapo.. Endelea kusubiriMuhimu cheti
Sawa tu, but "the more you refuse to hear my voice, the louder I will sing"Hizo kelele hazina tofauti na kumpiga mbwa rangi.
Usijidanganye ndg, tafuta ya maana ya kufanya.You will loose the moon while aiming at the starsSawa tu, but "the more you refuse to hear my voice, the louder I will sing"
Umefunikwa weweYule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.
Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.
Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.
Hey Gwajima...where you at man?
Nikilipata jua (star) sio mbaya.Usijidanganye ndg, tafuta ya maana ya kufanya.You will loose the moon while aiming at the stars
Mkuu wee acha tu only if I can change my country of origin. How I hate to be!Nadhani hilo jukumu kamuachia bint mbeba box na week hii anaimilik yeye nadhan kuna muda naona aibu sana kua mwananch wa hapa kwenye nchi
Wewe nae division zero shimo analopiga gwajima lina nyoka wengi na wewe ni mmoja wao hiyo English yako si mchezoYule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.
Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.
Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.
Hey Gwajima...where you at man?
Wewe nae division zero shimo analopiga gwajima lina nyoka wengi na wewe ni mmoja wao hiyo English yako si mchezo
Huwezi kupata jua usikuNikilipata jua (star) sio mbaya.
Popote ulipo chukua kinywaji bili juu yangu 😀😀...Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.
Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.
Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.
Hey Gwajima...where you at man?
Mkuu kama ni hivyo basi mkeo kakuzidi sana kiakili.Gwajima ni mzushi au Inawezekana akawa mkweli Lakini kinachoniumiza ni jinsi watanzania hata wasio Waumini wake kumwamini kiasi kile yaani nilishindwa kuamini hadi mke wangu kwenye simu Yake ETI kajaza clip za Gwajima anaskia Muda wote. Nikamuuliza vipi mbona unadata ETI akawa anashangilia ooh makonda kashikwa huku hachomoki Kwa Gwajima. Nikabaki najiuliza kumbe watu shida yao makonda ashikwe tu yaani mtu hajawahi kukukosea unakuwa na chuki naye? Nikabaki najiuliza kwanini makonda apigwe vita Sana nikagundua wauza madawa wako na nguvu Sana wako na Mbinu nyingi Sana mpaka za kucheza na akili za watu. Nilifuta clips zote maana ni ujinga mkubwa mtu umekaa unamfuatilia Gwajima hadi Kanisani kwake uende kisa anabishana na mwanasiasa mkuu wako wa mkoa. Pumba Sana watanzania wengi
Where you at man teheeeeee teheeeeeYule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.