Wiki hii Gwajima naona kafunikwa

Wiki hii Gwajima naona kafunikwa

Muuza mwingine huy
Gwajima ni mzushi au Inawezekana akawa mkweli Lakini kinachoniumiza ni jinsi watanzania hata wasio Waumini wake kumwamini kiasi kile yaani nilishindwa kuamini hadi mke wangu kwenye simu Yake ETI kajaza clip za Gwajima anaskia Muda wote. Nikamuuliza vipi mbona unadata ETI akawa anashangilia ooh makonda kashikwa huku hachomoki Kwa Gwajima. Nikabaki najiuliza kumbe watu shida yao makonda ashikwe tu yaani mtu hajawahi kukukosea unakuwa na chuki naye? Nikabaki najiuliza kwanini makonda apigwe vita Sana nikagundua wauza madawa wako na nguvu Sana wako na Mbinu nyingi Sana mpaka za kucheza na akili za watu. Nilifuta clips zote maana ni ujinga mkubwa mtu umekaa unamfuatilia Gwajima hadi Kanisani kwake uende kisa anabishana na mwanasiasa mkuu wako wa mkoa. Pumba Sana watanzania wengi
Muuza danga mwingine huyu
 
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.

Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.

Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.

Hey Gwajima...where you at man?
Bila shaka na wewe uko kwenye "timu vyeti feki"
Gwajima bado ni super hero kwa makonda kulingana na nondo zinazoshushwa kwake....
Ili Makonda amfunike Gwajima, ni lazima aje na nondo za kupangua hoja zote za Gwajima. LA sivyo usije tena na upupu kama huu siku nyingine.
 
Bila shaka na wewe uko kwenye "timu vyeti feki"
Gwajima bado ni super hero kwa makonda kulingana na nondo zinazoshushwa kwake....
Ili Makonda amfunike Gwajima, ni lazima aje na nondo za kupangua hoja zote za Gwajima. LA sivyo usije tena na upupu kama huu siku nyingine .

Huyo Mzee wa maharage ya wapi Sijui kwisha habari yake, RC bado anadunda na itaendelea kua hivyohivyo.
 
watanzania bhaaanaa shikamooniii nyote kwa ushilawadu mtu hata sie Rc ila kwa unafki uhuuuuu
 
Cha msingi nyie waendaji kwa uyo Mtumishi kusikiliza majungu badala ya Neno nawapeni Pole na Mungu awape Neema ya kupata kanisa lenye Mtumishi wa Kiroho atakaewalisha Neno la Uzima. ( Nimeita Majungu sababu yanayoongelewa hayana Mantiki Kiuhalisia zaidi ya mapovu tu kwa watu wanaolazimisha kuwa Juu ya Sheria) Nchi yetu tunaishi kwa Amani, basi acheni ata waathirika wanaopingwa wafurahie hii Amani katika hali zao za kawaida!!!!
 
..yeye,Kitaifa alikuwa amefunga mazungumzo mpaka watakapo Fanya single touch aendelee na triple manifestation instead of double
 
Siku ya kufunikwa kwake siku mkiweka VYETI TU MEZANI.
 
Gwajima ni mzushi au Inawezekana akawa mkweli Lakini kinachoniumiza ni jinsi watanzania hata wasio Waumini wake kumwamini kiasi kile yaani nilishindwa kuamini hadi mke wangu kwenye simu Yake ETI kajaza clip za Gwajima anaskia Muda wote. Nikamuuliza vipi mbona unadata ETI akawa anashangilia ooh makonda kashikwa huku hachomoki Kwa Gwajima. Nikabaki najiuliza kumbe watu shida yao makonda ashikwe tu yaani mtu hajawahi kukukosea unakuwa na chuki naye? Nikabaki najiuliza kwanini makonda apigwe vita Sana nikagundua wauza madawa wako na nguvu Sana wako na Mbinu nyingi Sana mpaka za kucheza na akili za watu. Nilifuta clips zote maana ni ujinga mkubwa mtu umekaa unamfuatilia Gwajima hadi Kanisani kwake uende kisa anabishana na mwanasiasa mkuu wako wa mkoa. Pumba Sana watanzania wengi
Mke wako ana akili kuliko wewe, bora kumuamini Gwajima kuliko kumuamini mwanaume anayelialia hovyo, au na we ndo wale wale ukipata tatizo badala ya utafute njia ya kutatua unatoa machozi.. Bora mke aitwe mume and vice versa is true.. Hivi kuonyesha vyeti vyake na kulia lia hovyo kipi rahisi?
 
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.

Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.

Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.

Hey Gwajima...where you at man?
Huwa sikubaliani na Gwajima.
Lakini kwa Bashite or Makonda whatever his name is he has made one hell of a compelling case.
 
Subiri waseme yeye na mkewe wananunuliwa nguo na pichu na GSM, baada itakuwa hata kitanda wanacholalia wamepewa na wauza madawa ya kulevya

Ya magari nayo ikishapita

Makonda oyeeeeeeee
 
Ngabu bhaana...

Taratibu unaanza kuingia kwenye ile category aliyopo Cocochanel
 
Inaonekana mkeo anauwezo mkubwa wa kufikiri kiliko wewe, hakuna anaemchukia makonda.
 
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.

Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.

Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.

Hey Gwajima...where you at man?
Uzushi tu, kama anavyo si avitoe hadharani?
 
Unajua kuna kitu mimi sikielewi kabisa.

Paul Makonda keshaonyesha kila dalili kwamba hataki kuonyesha vyeti vyake. Sawa.

Ila huyu Gwajima mwenyewe kwa mdomo wake alisema kuwa anavyo vyeti vyake yeye Makonda na Bashite.

Na simsingizii. Msikilize mwenyewe. Alisema anavyo hivyo vyeti ofisini kwake. Msikilize hapo chini.

Anzia dakika ya 9.

Sasa kama Gwajima anavyo [na kayatoa hayo madai karibu wiki ya tatu sasa] kwa nini asituonyeshe?

Au hana hivyo vyeti huyo?

Au anavyo lakini hana uhakika kama ni vya kweli au la?

I don't get it man! I really don't.

Wanaomwamini ni wale tu aliowageuza misukule yake
 
Mkuuu naona hili swala unalikingia kifua sana sijui una faida nalo
 
Back
Top Bottom