Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 696
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ningeomba serikali iwafikishe mahakamani Gwajima na Mwanahalisi Na wengine kwa mashtaka ya kueneza uzushi au habari za uongo juu ya Mh Paul Makonda, RC wa Dar, kupitia majukwaa ya siasa, taasisi za dini na kwenye mitandao ya kijamii.
Upande wa serikali unasubiri nini, hawa watu wanazidi kueneza uzushi na kuiweka nchi ktk taharuki,
Kwanza Gwajima anadai Daudi Bashite ambae ni Paul M anadai amepata DIV zero,
Pili Gwajima anadai ana contact za mashahidi wengi mpaka majina amewataja, kama walimu Pamba secondary, wanafunzi wanaodai wamesoma na Daudi Bashite ambao wanadai ndie huyu Paul M, basi waitwe mahakamani watoe ushahidi, na bila kumsahau mchumba wake Daudi Bashite anayedai amemuwezesha kupata vyeti vya wizi.
Na mwanahalisi wanadai wameenda kijijini Kolomije wakapata ushahidi wa Daudi Bashite ndie Paul Makonda, nina imani Kolomije primary walimu waliomfundisha bado wako hai waitwe under oath wasema wazi Daudi Bashite ndie huyu Paul M hapa mjini.
Na bila kusahau NECTA, waitwe mahakamani nao watoe ushahidi wao upande wa mashtaka, Wathibitishe Daudi Bashite hajawahi kuwepo Pamba Sec , na kama jibu alikuwepo alipata nini ktk matokeo ya Form IV, na kuhusiana na Paul M ni nani na alisoma shule gani?
Mbona kesi ndogo Tu hii, wapelekwe mahakamani hawa, tumalize makelele to move..
Mbona hilo halifanyiki? Kuna ugumu gani ikiwa tumeshuhudia Mh Lissu akifikishwa mahakamani kwa kauli ya maneno mawili juu ya Mh Rais,
Na wengine wengi ktk mitandao ya whatsapp, nk