kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 17,649
- 21,849
ukivuta msokoto otomatic utulivu unakuja
Ile ile..Location si ile ile mkuu 🔥
😊 Peace ✌️Nashukuru kaka asante sana
Mno brother😊 Peace ✌️
Leo hatupigi pombeeMno brother
Badae sana mkuuLeo hatupigi pombee
Tuma kwenye kiazi kitamuHaya andika apa details😆
Tuma details mapema na jina la bus kama ni kiazi kitamu au la😆
anhaaa’ Shaddie wange..!
Dosho kuto ku appreciate your presence ni utovu wa nidhamu...Tuma kwenye kiazi kitamu
Kaka mambo niajeIle ile..
Vincenzo Jr ni uchoyo wa fadhila nisipo kutaja.
Mwachiluwi , mdogo angu una nitenga kaka Yako.
Fresh mzee mambo yanaendaje pande izooiKaka mambo niaje
Hola, guapa 😎na ujumbe umefika kweli cha utundu wangu..!
gracias..!😍
Nakubali Tajirimin -me , MENEMENE TEKERI NA PERESI , Monetary doctor , Harmful , Castle_Lite
Kuna offer ya pombe kwenu kakaa
Uwe baba yangu ??? KiruuuKiranga,
Ukeleta masuala ya ad hominem logical fallacy anakutupa kwenye dustbin (ignore list).
Harmful,
Huwa nakunywa naye pombe na hana baya.
Dr am 4 real PhD, Monetary doctor, ni watu wapole na watulivu japokuwa Monetary doctor huwa nakosana naye pale anaposhindwa kunipa heshima yangu Mimi baba yake.