The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,091
- 102,585
Kwa hakika kaka.Kaka,
Na refer alisema iviii wewe Huna majivuno, hujisifii, hujioniii , unaongea na watu wotee, huna matusi (lugha mbovu) una jitoa sana kwa watu na wadau mbalii mbalii..
secretarybird
Nimekubali kuwa baba yako kama ulivyoomba.Uwe baba yangu ??? Kiruuu
Una uhakika hao ni wanawake?
Hahaha 😂, mkuu kwani bwana upinde 🌈 amatupwa korokoroni na mods?Kwa niaba ya Chizi Maarifa na secretarybird ningependa kuwapongeza kwa hatua mliomchukulia ndugu munch wa annabelle.
Ni mtu alie jaa matusi mabaya tena ya kuongoni, endeleeni kumchukulia hatua kama hizi.
Jasusi cohen.
Hahaha amepigwa ban inayoitwa hyper max😁Hahaha 😂, mkuu kwani bwana upinde 🌈 amatupwa korokoroni na mods?
Mbona haonekani?
🙏🙏Get well soon bro.
You are the mam @icebreaker
Sasa ni muda wake wa kwenda kujinadi kule TikTok. Akifanya tu challenge ya wimbo wa zuchu wahuni watamgombania.Hahaha amepigwa ban inayoitwa hyper max😁
Hiyo sasa ni juu yao mkuu, mi nimeweka ninavyoonaUna uhakika hao ni wanawake?
Mhmm sijakuita nimekutaja tu🤣Abee😁
Nimesikia jina langu limetajwa,maana nimeitika mie,abee😁Mhmm sijakuita nimekutaja tu🤣