Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
Pundit,
Unabore na mambo yako ya suti. Mnafuatilia hata mambo yasiyo ya maana halafu mnataka tusiwe na mafisadi?
Kama unataka bingwa wa kuvaa si tunaye rais? Unataka kila mtu ashinde kwenye shopping Harrods?
Huyu jamaa inaelekea ni muaminifu au sio mpenda sana utajiri. Hii ni sifa ndogo, kubwa lazima awe creative na kuja na ideas mpya. Hatutaki akina KAWAWA wengine ambao hawaharibu kitu lakini pia hawafanyi lolote la maana.
Binafsi afadhali kuwa na mtu anayekuja na mawazo mapya na yakafeli kuliko mtu aliyekaa kama kisiki bila crfeativity.
Kwenye dunia ya globalization what matters is about ideas, new ways of thinking and creativity.
So longer hatembei uchi mimi sina matatizo kabisa na anavaa nini.
Ndiyo maana mliandikwa watoto wa Nyerere mnajipangusia makamasi kwenye nguo, this is just a top notch format.Kwa hiyo wewe unaona sawa PM kutinga jacket na vest siyo? Kwa taarifa that says a lot about our country na inaweza kuwa na repercussions.
There is a reason why we have protocols, dress codes and etiquette. Sasa kama mtu hawezi kufuata kitu kidogo kama dress code na etiquette ataweza kufuata protocol za nchi? Usichoelewa ni kwamba simaanishi mtu avae vitu flashy (nishaeleza juu hili) ila vitu vinavyokubalika, unaweza kuvaa Kaunda suit made in bongo lakini imepangiliwa inavyotakiwa tukaona PM huyu.Kesho atakwenda kwenye a formal evening some places au msibani huku kavaa inappropriately fedheha kwa taifa.I am not saying we should base our pick on cosmetics (thats what got us Kikwete) but among other things this should be considered, au hawa watu wasaidiwe kabla ya kujiaibisha.
Jamaa bonge la Mkalamba tu, na siyo kwa sababu ya dress code, alivyoanza kujiua yeye mwenyewe kuhusu Mkapa kumkandia kuwa hawezi ubunge mi nikaona tayari PM tunaye.
Kwa kifupi Kikwete ametaka Sumaye wake, yessir man atakayemfiligua anavyotaka.