UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 17,503
- 8,798
Hadi raha yani hujisumbui.Nikishindwa kuthibitisha mimi ni chochote, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Hadi raha yani hujisumbui.Nikishindwa kuthibitisha mimi ni chochote, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Hujajibu swali langu, unafahamu "non sequitur" ni nini?Kama hukushindwa, eleza.
Wewe ni nani?
Jithibitishe.
The question, in context, is a non sequitur. Immaterial and inconsequential.Hadi raha yani hujisumbui.
....Na kinachosababisha wewe uote ndoto usiku ni nini? Hiyari? au Hotokea tu?Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.
Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)
Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
Kwahiyo kutokujua kwake inathibitisha kuwa hakuna mungu?The question, in context, is a non sequitur. Immaterial and inconsequential.
Tatizo aliyeuliza hajui non sequitur ni nini wala hana utashi wa kujua.
Jibu kwanza swali langu mie ntakujibu pia kumbuka ni mimi nilieanza kuuliza.The question, in context, is a non sequitur. Immaterial and inconsequential.
Tatizo aliyeuliza hajui non sequitur ni nini wala hana utashi wa kujua.
Contradiction katika dhana ya kuwapo Mungu inathibitisha kwamba Mungu hayupo.Kwahiyo kutokujua kwake inathibitisha kuwa hakuna mungu?
Swali lako halina uhusiano wowote na uthibitisho wa kuwapo Mungu.Jibu kwanza swali langu mie ntakujibu pia kumbuka ni mimi nilieanza kuuliza.
Swali linajibiwa kwanza Kisha unauliza lako.
I was trying to teach you to look on the other side of your logic.You are trying to mirror my logic, without understanding it.
You are mirroring the Roman alphabet without understanding that the mirror image reads from left to right like Arabic and is unintelligible.
I do not need you to fail to answer my question to prove God does not exist.
I already proved the all knowing, all capable and all loving God does not exist.
By contradiction.
You are LOST.Not only the biggest lie, but also the most dreadful disastrous ever invented by Man!
You are trying to reverse the irreversible.I was trying to teach you to look on the other side of your logic.
People believe what they want to believe, not necessarily what is true.
You believe what you want to believe, not what you SHOULD believe.
Kwanini usijibu kwanza hilo swali, unajuaje kuwa hilo swali halina uhusiano wowote na uthibitisho wa uwepo wa Mungu?Swali lako halina uhusiano wowote na uthibitisho wa kuwapo Mungu.
Ni kama tunabishana kama Mlima Kilimanjaro upo au haupo halafu unaniuliza kama naweza kuthibitisha kwamba mimi nipo.
Kama naweza kuthibitisha kwamba nipo au sipo hilo halithibitishi lolote kuhusu Mlima Kilimanjaro kwamba upo au haupo.
Swali hili hata nikishindwa kulijibu halithibitishi au kukanusha kwamba Mlima Kilimanjaro upo.
Mimi hata nikishindwa kuthibitisha kwamba nipo, hilo halithibitishi kwamba Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Anza kwa kuondoa contradictions alizo nazo huyo Mungu, kama unazielewa at all.
Una uhakika gani kama contradiction iliyopo ndo ithibati ya kutokuwepo kwa mungu?Contradiction katika dhana ya kuwapo Mungu inathibitisha kwamba Mungu hayupo.
Kama inavyothibitisha hakuna solution for x below
View attachment 424122
Nani kakuambia kujua hesabu na logic ndo kujua ku reason kuwa Mungu hayupo?Unaweza kuthibitisha chochote ambacho hakipo hakipo?
You have combined a non sequitur, an omission of reasoning and circular reasoning all in one.
Imani si kitu kibaya, imani potofu ndiyo kitu kibaya.
Ninakujibu kwa imani kwamba nikituma majibu servers za JF hazitapigwa na radi na ninachoandika kitakufikia, nisingekuwa na imani hii hata kuandika nisingeandika, maana maandishi yangu yasingekuwa na maana zaidi ya personal therapy kama hayatamfikia yeyote. I am not at the point of needing personal therpy, not yet at least.
Hakuna jambo hata moja linalokufanya uamini kwamba kuna Mungu ambalo halijajibiwa kimantiki kuonesha upotofu wake. Kama unafikiri lipo, litaje.
Unaweza kuthibitisha chochote ambacho hakipo hakipo nje ya hesabu na mantiki?
Unajua hesabu?
Unajua mantiki?
Umeelewa kanushi yangu ya kuwepo kwa Mungu kwa mikinganyo ya dhana ya kuwepo kwa Mungu?
Kama umeielewa, umeweza kuijibu?
Bila logic huwezi kuwa na Mungu.Nani kakuambia kujua hesabu na logic ndo kujua ku reason kuwa Mungu hayupo?
There are extremely intelligent scientists who believe that God does not exist.
There are extremely intelligent scientists who believe that God DOES EXIST.
Do you think you are intelligent than them? If that was true, you could have done something tangible and useful to our country. So, it comes from the logic that, you are not extremely intelligent than them (possibly not reaching even 30% of their reasoning)
So, its not TRUE that math and logic necessarily assist in disproving God.
[HASHTAG]#Most[/HASHTAG] times people believe what they want to believe#
Kutoweza ku be fathomed by any of the 5 senses hakumaanishi kuwa kitu hakipo...sasa mtu anaprove vipi kitu ambacho hakipo,that means it cannot be fathomed by any of the 5 senses,wewe unaesema kipo ndo tulitaraJia uProve
..hizo ni emotions ndugu Yangu,ur not even sure ur Intelligent maana Hili ni neno tu limechaguliwa kuelezea hii hisia kama ambavyo sad lingeweza kutumika kuelezea furahaKutoweza ku be fathomed by any of the 5 senses hakumaanishi kuwa kitu hakipo.
Can you prove that you are intelligent? can you prove that someone is thinking bad thing right now? Utatumia ipi kati ya hizo 5 senses?
Unakubali framework ya logic?Una uhakika gani kama contradiction iliyopo ndo ithibati ya kutokuwepo kwa mungu?
Vipi kama hiyo contradiction iliyopo inatokana na ufinyu wa ufahamu/ ujuzi?
When you say NOTHING, you have already concluded that its nothing. So, you can not prove something that you have already concluded that it is nothing...thibitisha Mkuu,prove NOTHING exists!!!