'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

Mkuu huyu bwege anatafuta kick kupitia jina lako!!!! wa kumpuuza tu hana hoja nimekuja apa nikategemea ntapata kitu kipya nimekutana na uharo ule ule wa kila cku!!!
Uharo ni kwako usiyeamini. Kwa aaminiye ni kitu kingine. Ni ushindi, furaha, amani na matumaini.

You know what? The greatest stupidity is concluding an extremely important topic by using very few information. That is the big big stupidity.
 
Did I say DNA evolved?

If I say I don't know the answer to a single of your questions, it does not prove God exists.

It just shows I don't know the answers to your questions.

Can you prove God exists?

DNA passes hereditary diseases.

If an all knowing, all capable and all loving God created DNA, why did he allow it to pass evil hereditary diseases while he could have disallowed that?
If is say I don't know the answer to a single of your questions, does it prove that God does not exist?
 
If is say I don't know the answer to a single of your questions, does it prove that God does not exist?

You are trying to mirror my logic, without understanding it.

You are mirroring the Roman alphabet without understanding that the mirror image reads from left to right like Arabic and is unintelligible.

I do not need you to fail to answer my question to prove God does not exist.

I already proved the all knowing, all capable and all loving God does not exist.

By contradiction.
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo bado.

Hilo ndilo la muhimu.

Kabla ya kuthibitisha Mungu yupo, lolote utakalosema litaandamwa na ukweli kwamba hujathibitisha kwamba Mungu yupo.
Hujathibitisha kuwa Mungu hayupo bado, usiniambie kuwa huwezi kuthibitisha kisichokuwepo. Acha kukwepa majukumu.

Kama unahisi huwezi kuthibitisha kisichokuwepo kwa nini unaamini kuwa Mungu hayupo?
 
Hujathibitisha kuwa Mungu hayupo bado, usiniambie kuwa huwezi kuthibitisha kisichokuwepo. Acha kukwepa majukumu.

Kama unahisi huwezi kuthibitisha kisichokuwepo kwa nini unaamini kuwa Mungu hayupo?
Nimethibitisha Mungu hayupo.

Kwa contradiction.

Wewe unaweza kuthibitisha chochote ambacho hakipo hakipo?
 
Mambo ya Mungu hutambulikana kwa jinsi ya rohoni na si kwa mtazamo wa kimwili pekee kwa kushiba ugali na makande.Yohana 4;24 Mungu ni Roho nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
Kuwako kwa dunia na viumbe mbali mbali,ni ishara tosha ya kuwa yupo aliyeyafanya hayo.Na si mwingine ni Mungu.
Dunia ingekuwa imeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote isingekuwa na mapungufu yote iliyonayo.

Mapungufu haya yanaonesha dunia haikuumbwa na Mungu.
 
Dunia ingekuwa imeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote isingekuwa na mapungufu yote iliyonayo.

Mapungufu haya yanaonesha dunia haikuumbwa na Mungu.
Mungu aumba atakavyo yeye Mungu sio utakavyo wewe.
 
Imani ya kuamini hakuna mungu inasema kisichokuwepo hakithibitishiki,hivyo hakuna uthibitisho katika hicho wanachokiamini lakini bado waumini wake wanaendelea tu kuamini.

Imani ya kuamini hakuna mungu inatumia muda na nguvu nyingi kukosoa imani zengine ili kukwepa kutoa ushahidi kwa kile wanachosema kuwa hakuna,kukosoa imani za wenye kuamini mungu haiwezi kuwa ni uthibitisho kwa wenye kusema hakuna mungu na ndiyo maana kusema hakuna mungu naita ni imani.

Kuna mambo ambayo yanawafanya watu kuamini kuwa kuna mungu,sasa ukija kumwambia kuwa hakuna mungu basi lazima atataka kupata majibu ya yale mambo ambayo yalifanya aamini mungu.
Sasa wanaoamini hakuna mungu wanaposhindwa kuyajibu husema kushindwa kuyajibu haifanyi kuwa mungu yupo.
 
Imani ya kuamini hakuna mungu inasema kisichokuwepo hakithibitishiki,hivyo hakuna uthibitisho katika hicho wanachokiamini lakini bado waumini wake wanaendelea tu kuamini.

Unaweza kuthibitisha chochote ambacho hakipo hakipo?

Imani ya kuamini hakuna mungu inatumia muda na nguvu nyingi kukosoa imani zengine ili kukwepa kutoa ushahidi kwa kile wanachosema kuwa hakuna,kukosoa imani za wenye kuamini mungu haiwezi kuwa ni uthibitisho kwa wenye kusema hakuna mungu na ndiyo maana kusema hakuna mungu naita ni imani.

You have combined a non sequitur, an omission of reasoning and circular reasoning all in one.

Imani si kitu kibaya, imani potofu ndiyo kitu kibaya.

Ninakujibu kwa imani kwamba nikituma majibu servers za JF hazitapigwa na radi na ninachoandika kitakufikia, nisingekuwa na imani hii hata kuandika nisingeandika, maana maandishi yangu yasingekuwa na maana zaidi ya personal therapy kama hayatamfikia yeyote. I am not at the point of needing personal therpy, not yet at least.

Kuna mambo ambayo yanawafanya watu kuamini kuwa kuna mungu,sasa ukija kumwambia kuwa hakuna mungu basi lazima atataka kupata majibu ya yale mambo ambayo yalifanya aamini mungu.

Hakuna jambo hata moja linalokufanya uamini kwamba kuna Mungu ambalo halijajibiwa kimantiki kuonesha upotofu wake. Kama unafikiri lipo, litaje.

Sasa wanaoamini hakuna mungu wanaposhindwa kuyajibu husema kushindwa kuyajibu haifanyi kuwa mungu yupo.

Unaweza kuthibitisha chochote ambacho hakipo hakipo nje ya hesabu na mantiki?

Unajua hesabu?

Unajua mantiki?

Umeelewa kanushi yangu ya kuwepo kwa Mungu kwa mikinganyo ya dhana ya kuwepo kwa Mungu?

Kama umeielewa, umeweza kuijibu?
 
Neno Imani lawezakuwa na maana pana sana lakini huwezi kutumia neno imani pale panapo hitajika kutumika neno tumaini au tarajio.
 
Back
Top Bottom