'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

View attachment 423762

Nimekujibu kwa "Socratic Method" naona wewe ndiye hujanielewa. Ngoja ni assume unataka kutafuniwa kwa sababu Socratic Method huiwezi.

Nimethibitisha kwa contradiction.

Unafahamu contradiction ni nini?

Unaelewa jinsi contradiction inavyoonesha hii equation hapo juu haina solution?
Wewe ni nani?
Vyovyote utakavyojibu thibitisha hilo jibu lako.
 
Mkuu kuacha kwako imani ya ukristo na kuwa Atheist unachukuliaje tukio hilo kwako?

Je,ni hali ya kutoka kwenye upotevu na kurudi kwenye njia iliyo sahihi yenye kutakiwa kufuatwa na kila mtu? Au kwako ni sawa na kutoka imani Moja na kuhamia imani nyengine? maana kuna Agnostics pia.
..kawaida sana mkuu na Rahisi kama kubusu kinyago alaf atheist do not beleive in existance of any power au deity ni scientific facts kwaio sio imani na Jibu la swali la Pili ni Obvious
 
Hujathibitisha kuwa Mungu hayupo bado, usiniambie kuwa huwezi kuthibitisha kisichokuwepo. Acha kukwepa majukumu.

Kama unahisi huwezi kuthibitisha kisichokuwepo kwa nini unaamini kuwa Mungu hayupo?
..sasa mtu anaprove vipi kitu ambacho hakipo,that means it cannot be fathomed by any of the 5 senses,wewe unaesema kipo ndo tulitaraJia uProve
 
Unaweza kuthibitisha chochote ambacho hakipo hakipo?



You have combined a non sequitur, an omission of reasoning and circular reasoning all in one.

Imani si kitu kibaya, imani potofu ndiyo kitu kibaya.

Ninakujibu kwa imani kwamba nikituma majibu servers za JF hazitapigwa na radi na ninachoandika kitakufikia, nisingekuwa na imani hii hata kuandika nisingeandika, maana maandishi yangu yasingekuwa na maana zaidi ya personal therapy kama hayatamfikia yeyote. I am not at the point of needing personal therpy, not yet at least.



Hakuna jambo hata moja linalokufanya uamini kwamba kuna Mungu ambalo halijajibiwa kimantiki kuonesha upotofu wake. Kama unafikiri lipo, litaje.




Unaweza kuthibitisha chochote ambacho hakipo hakipo nje ya hesabu na mantiki?

Unajua hesabu?

Unajua mantiki?

Umeelewa kanushi yangu ya kuwepo kwa Mungu kwa mikinganyo ya dhana ya kuwepo kwa Mungu?

Kama umeielewa, umeweza kuijibu?
this is so complicated,mpka nafika mwisho nishasahau swali la kwanza lilitaka nini!!
 
..kawaida sana mkuu na Rahisi kama kubusu kinyago alaf atheist do not beleive in existance of any power au deity ni scientific facts kwaio sio imani na Jibu la swali la Pili ni Obvious
Hebu weka majibu yako vizuri,sijakuelewa.
 
Huwezi kusema kitu FULANI hakipo au kipo halafu ukawa hauwezi kuthibitisha uwepo au kutokuwepo kwa hicho kitu.
Umeeleza vizuri sana nimependa hii hoja.Sababu ili ujue kuwa kitu fulani kipo lazima uwe na facts zisizo na shaka zinazothibitisha kuwa hicho kitu kipo na kama kitu fulani hakipo ni lazima tena uwe na facts zinazothibitisha kutokuwepo kwake.

Hii iko hivi na inaeleweka lakini naona wengine humu wanajaribu kukimbia hii hoja kwa kutafuta kichaka cha kujificha kwa kusema kisichokuepo hakithibitishiki.
Huku ni kukosa hoja ya kile wanachokiamini.

Yani unasema hakuna bahari yenye maji ya moto wadadisi wanapokuuliza kwanini, thibitisha unasema siwezi sababu kisichokuepo hakithibitishiki.
Huku ni kushindwa kwa hoja.
 
Hata wewe mwenyewe unaepinga uwepo wa Mungu umeshindwa kujithibitisha.
Sasa kwanini unafikiri hakuna Mungu?
Wapi nimesema nimeshindwa kuthibitisha mimi nipo?

Mimi nikishindwa kuthibitisha kwamba nipo, hilo linathibitishaje kwamba Mungu yupo?

Unafahamu "non sequitur" katika logic ni nini?
 
Wapi nimesema nimeshindwa kuthibitisha mimi nipo?

Mimi nikishindwa kuthibitisha kwamba nipo, hilo linathibitishaje kwamba Mungu yupo?

Unafahamu "non sequitur" katika logic ni nini?
Kama hukushindwa, eleza.
Wewe ni nani?
Jithibitishe.
 
Back
Top Bottom