'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.

Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)

Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
Unazungumzia mungu yupi?kuna miungu ambayo inatengenezwa na mwanzo wake unajulikana wazi,jua,mwezi,vinyago,ng'ombe in baadhi tu ya Miungu ya baadhi ya watu!na kuna MUNGU ambaye anaelezewa kupitia vitabu kama Biblia na vingine kama vipo!huyu hana mwanzo wala mwisho,ndiye aliyeumba ulimwengu wote,wakiwamo wanadamu,mm na wewe,huyu akili zake hazichunguziki,hatuna uwezo huo!
 
Fananisha vitu vinavyofanana, first thing first, usifananishe kitu chenye contradiction na kitu ambacho hakina contradiction.

Hutakiwi kuniuliza mimi ufananishe na nini wakati wewe ndiye unataka kunipa mfano mimi.

Usitake mimi nikufanyie kazi yako wewe.
Yani hapa tunaenda mbele na kurudi nyuma.

Unasema nisifananishe mfano wa jua na kuamini mungu,hebu eleza jinsi nilivyofananisha hadi usemi nisifananishe.
 
Kwa hiyo leo unaikana Biblia kwamba si kitabu chako cha dini hapa?

Nishamfanya Muislamu aikane Quran, leo namfanya Mkristo aikane Biblia.

Pole pole mnamkana Mungu wenu.
Ni lini humu mie nilisema mi ni mkristo au muislamu?

Naomba unukuu mahali nilipojitambulisha kuwa ni mkristo au muislamu.

Mi niliwahi kusema humu kuwa wanaopinga mungu wengi humu wametoka katika imani ya ukristo na ndiyo maana hata wewe Moja kwa moja unasema mie kitabu changu ni biblia japo sijawahi kujitambulisha humu mie ni dini gani,lakini niliposema kuwa wapinga mungu wengi humu ni walikuwa waumini wa imani ya kikristo mlinipinga.
 
Yani hapa tunaenda mbele na kurudi nyuma.

Unasema nisifananishe mfano wa jua na kuamini mungu,hebu eleza jinsi nilivyofananisha hadi usemi nisifananishe.
Post [HASHTAG]#1400[/HASHTAG] uliandika

Unachotaka mie nikifanye ni sawa na wewe ambae unaamini kuwa jua litatoka kesho halafu ukawa unasubiri hiyo kesho,lakini atokee mtu na kukwambia umthibitishie imani yako ya kutoka kwa jua kesho.
Na ukiweza kufanya hivyo maana yake suala la kutoka kwa jua kesho halitakuwa tena imani.
Je,utaweza kufanya hivyo?

Maana kwako wewe hivyo ndiyo kuthibitisha jambo la imani unavyoelewa,na ndiyo maana sie kila tukitoa uthibitisho huwa unasema hatuwezi kuthibitisha.

Umefananisha imani ya kwamba jua linaloonekana, imani isiyo na contradiction, na imani ya kuamini Mungu ambaye haonekani, hapimiki na ana contradiction.

Unalinganisha vitu visivyolingana katika namna isiyo na milinganyo.
 
Ni lini humu mie nilisema mi ni mkristo au muislamu?

Naomba unukuu mahali nilipojitambulisha kuwa ni mkristo au muislamu.

Mi niliwahi kusema humu kuwa wanaopinga mungu wengi humu wametoka katika imani ya ukristo na ndiyo maana hata wewe Moja kwa moja unasema mie kitabu changu ni biblia japo sijawahi kujitambulisha humu mie ni dini gani,lakini niliposema kuwa wapinga mungu wengi humu ni walikuwa waumini wa imani ya kikristo mlinipinga.
Kwa hiyo leo wewe unakataa kwamba si Mkristo wala Muislamu?

Huyo Mungu unayemtetea kila siku ni Mungu gani?

Unaiamini Biblia kwamba ni kitabu cha Mungu au huiamini?
 
Some of the answers you will never get because you are not GOD. However naweza nikasema kuwa Mungu hufanya vitu logically ingawa hafungwi na logical. Yeye ndiye muasisi wa logic ambayo tunaijua sisi. ( Mungu ni yeye yule Jana, Leo na hata milele).

(Ikumbukwe kuwa kila kitu katika ulimwengu ni logical, we just see some of them illogical because we can't comprehend them using our normal brains).

I knw you will start to ask me questions like 'Can God create pembetatu duara'? I will answer as follow;

Out of our normal logic, its impossible, but, as God is not limited with logic, then we may conclude that God can do anything even things we can not imagine .

You may also ask this question, "Can God create a triangle for which sum of angles are greater than 180°? Then I answer as follows;
1. Degrees is a human invention. Therefore, if a man wanted the triangle to have 1000°, they would do it.
2. In more than two dimensions, (I.e. for example in three dimensions) triangles may have more than 180° logically.

To sum up, our God exist outside our known dimensions and knowledge and therefore, we can not clearly describe his power, authority, and capability. We have to accept him, honour him, worship him, believe him, glorify him, and trust him.

Moreover, we have to ask him to give us the knowledge of him.

To sum up, nataka watu kama Kiranga wa confess kwanza kuwa suala ya Who Created God is illogical question, kwa hiyo sitarajii mtu kuuliza maswali kama ya ' Nani kamuumba Mungu? Au Mungu katoka wapi? Hiyo ni kwa sababu Mungu hajatoka popote. Yupo milele, hana MWANZO, hana MWISHO!
Briliant
 
Hivi kama Mungu yupo, mbona tunabishana juu ya uwepo wake?

Kwa nini hatubishanii juu ya uwepo wa vitu vingine ambavyo wengi wetu hatujawahi kuviona?

Kwa nini Mungu ajifiche mbali na watu wake?

Kuna ubaya gani kwa Mungu kuonekana kwa viumbe wake?

I have come to realize that God is a man made phenomenon, He was created within the mind of ancient people.

Mungu ni mwenye Haki, yeye hana dhambi, Mungu hakai pamoja na wenye dhambi.
Kwa maana ss wanadamu wote tumetenda dhambi, [ dhambi ni uasi] sisi tumemwasi Mungu.
 
Wasioamini uwepo wa Mungu,hawapo,wanasema hawaamini uwepo wa Mungu,huku wanatenda maagizo ya Mungu.
 
Post [HASHTAG]#1400[/HASHTAG] uliandika

Umefananisha imani ya kwamba jua linaloonekana, imani isiyo na contradiction, na imani ya kuamini Mungu ambaye haonekani, hapimiki na ana contradiction.

Unalinganisha vitu visivyolingana katika namna isiyo na milinganyo.
Sikukwambia unitajie post ila nimekwambie unieleze jinsi nilivyofananisha,katika hiyo post yangu nimeanza kwa kusema "unachotaka mie nikifanye..."

Unakumbuka ni nini hicho ambacho wewe ulikuwa unataka nifanye? Maana hapo ndipo kwenye tatizo kwa kushindwa kuelewa huo mfano wa jua umeingiaje.

Halafu unaposema kitu ambacho hakipimiki wala kuonekana ndiyo unakuwa na maana gani? Au unataka kuniambia kutokupimika wala kuonekana ni moja ya sababu kuwa imani ya mungu sio ya kweli?
 
Nilichotaka ufanye ni kipi?
 
Kwa hiyo leo wewe unakataa kwamba si Mkristo wala Muislamu?

Huyo Mungu unayemtetea kila siku ni Mungu gani?

Unaiamini Biblia kwamba ni kitabu cha Mungu au huiamini?
Nimekuomba unioneshe nilipojitambulisha kwa dini yangu...maana unasema nimekana.

Nakumbuka niliposema wapinga mungu wengi humu wametoka kwenye imani ya kikristo,mlinijia juu na kunitaka nithibitishe.
 
Some of the answers you will never get because you are not GOD. However naweza nikasema kuwa Mungu hufanya vitu logically ingawa hafungwi na logical. Yeye ndiye muasisi wa logic ambayo tunaijua sisi. ( Mungu ni yeye yule Jana, Leo na hata milele).

(Ikumbukwe kuwa kila kitu katika ulimwengu ni logical, we just see some of them illogical because we can't comprehend them using our normal brains).

I knw you will start to ask me questions like 'Can God create pembetatu duara'? I will answer as follow;

Out of our normal logic, its impossible, but, as God is not limited with logic, then we may conclude that God can do anything even things we can not imagine .

You may also ask this question, "Can God create a triangle for which sum of angles are greater than 180°? Then I answer as follows;
1. Degrees is a human invention. Therefore, if a man wanted the triangle to have 1000°, they would do it.
2. In more than two dimensions, (I.e. for example in three dimensions) triangles may have more than 180° logically.

To sum up, our God exist outside our known dimensions and knowledge and therefore, we can not clearly describe his power, authority, and capability. We have to accept him, honour him, worship him, believe him, glorify him, and trust him.

Moreover, we have to ask him to give us the knowledge of him.

To sum up, nataka watu kama Kiranga wa confess kwanza kuwa suala ya Who Created God is illogical question, kwa hiyo sitarajii mtu kuuliza maswali kama ya ' Nani kamuumba Mungu? Au Mungu katoka wapi? Hiyo ni kwa sababu Mungu hajatoka popote. Yupo milele, hana MWANZO, hana MWISHO!
Ofcourse hata ISIS wanaamini same BS hakuna jipya hapo endeleeni na akili yenu ya stone age
 
...good thing that the hypnosis issue was brought into this discussion....I think most of the issues regarded as being God's effect by people who tend to believe in him are related/associated with hypnosis....
For example: when people who call themselves 'the saved (walokole)' tend to speak in different languages after having prayed with their so called prophets(wazee wa upako/manabii)...Their behaviour after payers is pure hypnosis by scientific description.... but them believe that its God's effect..or its God trying to speak to them...

..another thing sometimes misinterpreted as being God's effect is the placebo effect (short term psychological relief)....For example: when people were told to drink a dirt cup of traditional herb by the so called 'babu wa loliondo' to treat them from their chronic illnesses....Most of these people got the placebo effect after having drunk the cup of dirt herb, as they were promised that it had the power of the almighty God...but then some of these patients died shortly thereafter...even Bishop Laizer who blessed that dirt cup of herb died of cancer..and could not be saved by the very cup....
 
1. Hata mtu akishindwa kuthibitisha Mungu hayupo, hilo halithibitishi Mungu yupo.
2. Hakuna kisichopo ambacho kinaweza kuthibitishwa dhahiri kwamba hakipo, kwa sababu hakipo ili kithibitishwe dhahiri kwamba hakipo. Nikitunga tu uongo kwamba juu ya mlima Kilimanjaro kuna taa ya dhahabu ambayo macho ya binadamu hayawezi kuiona na taa hii haipimiki kwa vipimo vyovyote vya kibinadamu unaweza kuthibitisha taa hii haipo?
Taa hii ina tofauti gani ya kimsingi na Mungu?
3. Mungu wenu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote (proposition p) ambaye mnasema kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ( proposition -p) hawezi kuwapo kwa sababu dhana ya kuwapo kwake inajipinga kwa kumpa propositions mbili zinazopingana mungu huyo huyo, creating a contradiction "P = -P".

In mathematics, the only number whose opposite is itself is zero. God is zero. God is nothing. God does not exist.
kitu chochote ambacho kinaongelewa basi kipo huwezi kuongelea kitu kisichokuwepo. mungu yupo ndio maana mnamuongelea. kama angekua hayupo basi msingemuongelea.
 
Nilichojibu ni nini?

Utanipaje mimi kazi ambayo unataka kufanya wewe?

Umeshindwa ku copy kitu cha post moja ukakiweka na cha post nyingine na ukaandika objections zako kwa nini sitakiwi kujibu hivyo?

Wewe unayeamini Mungu ambaye ana contradiction imani yako hiyo ina muelekeo wa wapi kama si kwenye uongo?

Kuuliza maswali hata Socrates aliuliza, kuna ubaya gani kama anayeulizwa majibu anayajua?
Ni rahisi kutomuamini Mungu na badala yake kuamini evolution kama huna elimu ya kinachoendelea sasa hivi ndani ya mwili wako. Nashauri ni vyema Kiranga ukapata muda wa kutafuta articles mbalimbali za namna organs na mifumo ya mwili inavyofanya kazi then utumie logical reasoning hapo kujua kama kilichosababisha hayo ni chaos au ni order, kuliko kutafuta ushahidi wa Mungu mbali, anza katika mwili wako. Soma jinsi DNA inavyofanya kazi, RNA, Amino Acids, Ions, Kidney, Liver, Pancreas, Heart, Lungs, Reproduction systems, etc.
Jifunze hayo ndo utajua mengi zaidi.

Hakuna sababu ya kuleta ubishi usio na maana kama kweli nia yako ni kumjua Mungu. Unless nia yako ni kubisha kila kitu.
 
Kama kila kitu complex kinasababishwa na order fulani, Mungu naye anasababishwa na order fulani?

Wapi nimesema naamini evolution?

Kwa nini nitake kuamini wakati naweza kujua?
 
Kwahiyo ina maana tokea mwanzo wa post hukuelewa ila umekuja kung'ang'ania tu kuwa nimefananisha vitu visivyofanana.
Jibu swali. Si kila aulizaye swali hajaelewa. Wengine wanataka ushahidi tu uwekwe wazi.
 
kitu chochote ambacho kinaongelewa basi kipo huwezi kuongelea kitu kisichokuwepo. mungu yupo ndio maana mnamuongelea. kama angekua hayupo basi msingemuongelea.
Kama kitu chochote kinachoongelewa kipo, hakuna kinachoongelewa ambacho hakipo, basi Mungu hayupo.

Kwa sababu mimi naongelea kitu kinachoitwa "Mungu hayupo".

Na hapo hapo Mungu yupo.

Kwa sababu wengine wanaongelea "Mungu yupo".

Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria yako Mungu yupo na hayupo hapo hapo.

Na wimbo wa taifa una rangi yenye spidi sana basi wimbo wa taifavutakuwa na rangi yenye spidi sana.

Na nikisema kuna pembetatu ambayo ni duara basi kutakuwa na pembetatu iliyo duara.

Na nikisema druklewsxcklowshg ni gpwklqsdghe basi druklewsxcklowshg itakuwa gpwklqsdghe.

Your theory is as ridiculous as it is confusing.
 
Back
Top Bottom