Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Sio kweli,wako matajiri wakubwa na wasomi wakubwa,wanaamini uwepo wa Mungu.Sasa mbona hao wenye uelewa duni zaidi na maskini zaidi ndio wengi God believers??
Ndio maana nasema na naendelea kusema,msioamini Mingu,uewelewa wengi ni mdogo sana.Hata hamfahamu kama idadi ya wanaoaminini Mungu,ni kubwa kuliko msioamini Mungu.