Hiyo mkuu labda ni sheria, Ila ukija kwenye science vise versa pia ni sawa kabisa.
Mfano hai: Albeit Einstein 1915 akielezea Relativity na uwepo wa Gravitation Waves Lakini hakukuwa na ushahidi wa hiki kitu na ilionekana haina uhalisia, Lakini September 14, 2015 at 5:51 a.m kwa kutumia LIGO detectors kwa mara ya kwanza Gravitational waves zilikuwa detected na kubadilisha sura ya ulimwengu wa sayansi ya Anga.
Kwa hiyo to some extend Absence of Evidence is not the evidence of Absence. This should stimulate more search for Facts and learning and not turning 180* against the matter of fact.
Nadhani Kutokuweza kuonesha kuwa Mungu hayupo hakufanyi awepo.
Kwa nini Hiki kisikufanye kutafuta zaidi badala ya kuwa against. Na ukimuuliza Mungu mwenyewe kupitia vitabu vyake anakurudisha kwa nature na His creative work analysing them in depth You will be assured of his presence. Wanasayansi wanafanya utafiti kwa nji hii wanayoyaona wanapata kigugumizi kuwa Mungu hayupo. Why choose the direction of ancient uninformed and outdated Greece philosophic logics just to satisfy yourown deception.