Ngoja aje na evidence ya Truth Table kwanza la sivyo sina cha kujadili naye huyu ndugu kama hawezi ku prove basis yake ya argumentation 🙂First things first can he draw a truth table? Can he formulate one?
Usikute he is just throwing random terms he picked from an atheist website
Kwa hiyo wewe wasema Mungu hayupo,kumbe huna uthibitisho wenye ithibati,usiokinzana.Uthibitisho wenye ithibati ndio ukoje kwa misingi yako? Na unawezaje kuthibitisha uthibitisho huo ndio madhubuti kabisa?
Sitaki kukupa uthibitisho halafu ukaukataa.
Halafu, nikikuoa uthibitisho huo utaweza kunipa uthibitisho kama huo wa kuwepo kwa Mungu?
Unataka uthibitisho usiokinzana wakati wewe mwenyewe huwezi kuondoa ukinzano katika uwepo wa Mungu wako?
Unaweza kuondoa ukinzano huu kwanza katika dhana ya kuwepo kwa Mungu wako kabla ya kunitaka mimi nitoe uthibitisho usiokinzana?
Wapi unapata ujinga huu?Kwa hiyo wewe wasema Mungu hayupo,kumbe huna uthibitisho wenye ithibati,usiokinzana.
Unaweza kuthibitisha hayo?Mungu katuumba na kutuwekea mipaka.jua yupo karibu yake na hana mwanzo wala mwisho
Watu wakianza kujadili uthibitisho unawaambia kuna contradictions,wakijadili contradiction unawaambia hawajaweza kuthibitisha.Mpaka sasa hakuna mtu aliyethibitisha kwamba Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na uoendo wote yupo.
Kwa sababu hayupo.
..God Is fundamentally Logical and not self contradictory Kiranga,its You who Is contradicting Yourself trying to Fathom the Logic that your tiny brain cant possibly understand!!Then why is God self contradictory?
Something can't be logicl and self contradictory at the same time.
Vipimo ni muhimu kwako au si muhimu?Teh teh teh. Haujaweza kuthibitisha kweli wa Uwepo wa Truth Table. Kwa sababu haipo. Na kwa sababu Truth Table Haipo na ndio inayothibitisha uwepo wa logic kwako, Logic Haipo! Kwa sababu hakuna Logic hauwezi ku prove wala ku disprove chochote. Na kwa sababu hiyo hakuna sababu ya wewe kuuliza swali lolote linalohusu logic mpaka utakapothibitisha kuhusu Truth Table.
Case Closed!
Uthibitisho wenye ithibati ndio ukoje kwa mujibu wako? Unajuaje kwamba huo ndio uthibitisho wenye ithibati?Kwa hiyo wewe wasema Mungu hayupo,kumbe huna uthibitisho wenye ithibati,usiokinzana.
..Mkuu God isn't Just Logical,He is Fundamentally Logic meaning he can Break the Laws Of LogicSorry mkuu, God isn't logical.
If he becomes logical to you then he isn't. And ultimately you're serving the devil
Nimetoa mfano kwenye posts nilizotuma na ukanijibu.Watu wakianza kujadili uthibitisho unawaambia kuna contradictions,wakijadili contradiction unawaambia hawajaweza kuthibitisha.
Hadi sasa haujaweza kutoa mfano ambao utaweza kueleza ni jinsi gani ya kuthibitisha jambo la imani.
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (poposition p) kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika ( proposition negation of p) ?..God Is fundamentally Logical and not self contradictory Kiranga,its You who Is contradicting Yourself trying to Fathom the Logic that your tiny brain cant possibly understand!!
..am Going to ask You a Question Ili nikujibu,mabaya unayozungumzia wewe ni sins au??!Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (poposition p) kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika ( proposition negation of p) ?
p = (-p) is a logical contradiction.
Kwa nini unaamini Mungu ambaye ana contradiction?
..Kiranga God is Not contradicting,nlitegemea uwe umeanza kunipa mifano Hapa sasa Hivi Ya hizo contradictions!!Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (poposition p) kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika ( proposition negation of p) ?
p = (-p) is a logical contradiction.
Kwa nini unaamini Mungu ambaye ana contradiction?
Mungu ni Mungu. Alikuwepo kabla ya vitu vyote kuwepo...Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.
Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)
Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
An intelligent designer would not create a universe that is so inefficiently wasteful in the use of space as the one we have.Amazing Proof That God Exists:
So the laws of logic are not unbreakable then...Mkuu God isn't Just Logical,He is Fundamentally Logic meaning he can Break the Laws Of Logic
Ina maana mfano hujausoma au hujauelewa?..Kiranga God is Not contradicting,nlitegemea uwe umeanza kunipa mifano Hapa sasa Hivi Ya hizo contradictions!!
Hapo umehubiri.M
Mungu ni Mungu. Alikuwepo kabla ya vitu vyote kuwepo...