'Who created God' is an Illogical Question!

Kuna imani tofauti, imani isiyothibitishwa inapothibitishwa inaacha kuwa imani, inakuwa ujuzi.

Ulichoambiwa ni kwamba usikubali kitu kama ukweli mpaka ukitibitishe kwanza.

Umeelewa?

Hujathibitisha kwamba Mungu yupo. Huwezi kuthibitisha. Na zaidi, umeelezwa jinsi Mungu wako alivyo na contradiction.

Kwa nini unaendelea kuamini kitu chenye contradiction ambayo huwezi kuiondoa?
Najivunia kutokuogopa kuuliza swali kwa kuona nitaonekana mjinga au nina upeo mdogo.

Hebu eleza vizuri hizo imani tofauti,maana ni jambo jipya kutoka kwako.

Lakini pia Behaviourist hajazungumzia kukubali jambo bali alizungumzia kuamini jambo...nakumbuka ulisema kuna tofauti ya kuamini na kukubali.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Unaweza kuthibitisha hayo unayosema,kama yanafanyika.Toa uthibitisho,unaothibitika bila kutafuta uthibitisho wa kutoka nyenzo isiyothibitisha.
 
Ungekuwa wajuwa maana Yake,wala usingeuliza.
That is a logical fallacy.

Leo nimekufundisha kitu kimoja ambacho ulikuwa hukijui, kinaitwa immanent critique.

Ujue wewe kwa kwenda na mimi hapa naona nakufundisha vitu vingi mpaka sasa nataka kukuanza kukuchaji ada kwa shule ninayokupa.

Ni hivi, si kila anayeuliza hajui maana.

Katika kujuzana na kuhojiana kuna nama moja ya maswali yapo katika "The Socratic Method".

Kwa kutumia "The Socratic Method" mtu anaweza kukuuliza swali ambalo analo jibu lake, ila anataka ufikirishe ubongo wako kulijua.

Kwa kusema "ungekuwa wajua maana yake wala usingeuliza" inaonekana hujajua "The Socratic Method" ni kitu gani.

Pia hujaelewa kwamba nimekuuliza kuhusu "immanent critique" kwa sababu nimeitumia halafu nikaona umesihangaa, hjaijua, hujaielewa, umeihoji.

Kwa hiyo mpaka hapa umejifunza vitu viwili ambavyo hukuvijua nimekufundisha.

1. Immanent critique
2. The Socratic Method

Immanent critique - Wikipedia

Socratic method - Wikipedia

Tatizo najibizana na mtu ambaye helewi vitu vya msingi kabisa vinavyotakiwa katika mahojiano haya.

Hujajibu swali langu.

Sasa kama wewe ulikuwa unajua immanent critique ni nini, na mimi nilikuwa siijui, mbona nilivyotoa immanent critique hapa uliishangaa na kuniuliza inakuwaje nahoji uwepo wa Mungu kwa kutumia vitabu vya dini?
 
Najivunia kutokuogopa kuuliza swali kwa kuona nitaonekana mjinga au nina upeo mdogo.

Hebu eleza vizuri hizo imani tofauti,maana ni jambo jipya kutoka kwako.

Lakini pia Behaviourist hajazungumzia kukubali jambo bali alizungumzia kuamini jambo...nakumbuka ulisema kuna tofauti ya kuamini na kukubali.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Nieleze tena mara ngapi?

Mbona nishaelezea imani ambayo haina tatizo la kuwa na contradiction, iliyo na mantiki, na imani ambayo ina contradiction na haina mantiki?

Kwa nini unaamini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani licha ya hii imani kuwa na contradiction ya wazi?
 
That is a logical fallacy.

Leo nimekufundisha kitu kimoja ambacho ulikuwa hukijui, kinaitwa immanent critique.

Ujue wewe kwa kwenda na mimi hapa naona nakufundisha vitu vingi mpaka sasa nataka kukuanza kukuchaji ada kwa shule ninayokupa.

Ni hivi, si kila anayeuliza hajui maana.

Katika kujuzana na kuhojiana kuna nama moja ya maswali yapo katika "The Socratic Method".

Kwa kutumia "The Socratic Method" mtu anaweza kukuuliza swali ambalo analo jibu lake, ila anataka ufikirishe ubongo wako kulijua.

Kwa kusema "ungekuwa wajua maana yake wala usingeuliza" inaonekana hujajua "The Socratic Method" ni kitu gani.

Pia hujaelewa kwamba nimekuuliza kuhusu "immanent critique" kwa sababu nimeitumia halafu nikaona umesihangaa, hjaijua, hujaielewa, umeihoji.

Kwa hiyo mpaka hapa umejifunza vitu viwili ambavyo hukuvijua nimekufundisha.

1. Immanent critique
2. The Socratic Method

Immanent critique - Wikipedia

Socratic method - Wikipedia

Tatizo najibizana na mtu ambaye helewi vitu vya msingi kabisa vinavyotakiwa katika mahojiano haya.

Hujajibu swali langu.

Sasa kama wewe ulikuwa unajua immanent critique ni nini, na mimi nilikuwa siijui, mbona nilivyotoa immanent critique hapa uliishangaa na kuniuliza inakuwaje nahoji uwepo wa Mungu kwa kutumia vitabu vya dini?
Mimi ndio niliyekuambia kuhusiana na hayo,usiyoyajuwa.
 
Unaweza kuthibitisha hayo unayosema,kama yanafanyika.Toa uthibitisho,unaothibitika bila kutafuta uthibitisho wa kutoka nyenzo isiyothibitisha.
Hujajibu swali langu kwanza, unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa standards za uthibitisho hizo hizo ulizozitaja?

Utatakaje nikujibu swali lako wewe wakati wewe hunijibu langu nililokuuliza kwanza?
 
Nikisema siwezi kuthibitisha itakuaje?

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Utakuwa unaamini kitu ambacho si tu huwezi kuthibitisha, bali pia kina ckear contradictions ambazo hujazi resolve.

Huna tofauti na mtu yeyote anayeamini uongo wowote ule ambao haujathibitishwa kuwa kweli na una contradiction.
 
Jamani hizi mada zenu za kumdhihaki Mungu mi zinaniudhi sana, hebu mwacheni Mungu wetu kwa nini mnamsakama kila wakati..
hebu zitajeni neema zake alizowabariki, acheni kumdhihaki Mungu, Mungu ni MKUU, ASIFIWAYE NA ANATUKUZWA KILA SIKU
Mbona yeye hapost kujitetea? Mpaka ww dhaifu uhangaike kumtetea?
 
Nieleze tena mara ngapi?

Mbona nishaelezea imani ambayo haina tatizo la kuwa na contradiction, iliyo na mantiki, na imani ambayo ina contradiction na haina mantiki?

Kwa nini unaamini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani licha ya hii imani kuwa na contradiction ya wazi?
Nakumbusha kuwa Behaviourist hakuzungumzia kukubali ila alisema kuamini.

Navyojua mimi hizo aina za imani ulizotaja zinagawanyika kwenye makundi mawili tu,imani sahihi na potofu. Sasa mie nilijua kuna la ziada kuhusu tofauti za imani hasa uliposema kuna imani ambazo ukithibitisha haiwi tena imani.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Utakuwa unaamini kitu ambacho si tu huwezi kuthibitisha, bali pia kina ckear contradictions ambazo hujazi resolve.

Huna tofauti na mtu yeyote anayeamini uongo wowote ule ambao haujathibitishwa kuwa kweli na una contradiction.
Kwahiyo na wewe kuamini jua kuwa litachomoza kesho ni imani ambayo Ina contradiction kwa sababu huwezi kuthibitisha?

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbusha kuwa Behaviourist hakuzungumzia kukubali ila alisema kuamini.

Navyojua mimi hizo aina za imani ulizotaja zinagawanyika kwenye makundi mawili tu,imani sahihi na potofu. Sasa mie nilijua kuna la ziada kuhusu tofauti za imani hasa uliposema kuna imani ambazo ukithibitisha haiwi tena imani.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Nikiwa nakuja ukuina nyumbani kwako kabla sijawasiliana nawe, nafanya hivyo kwa imani.

Nikifika nyumbani kwako, napata nafasi ya kuthibitisha kama imani yangu kwamba upo nyumbani ilikuwa sahihi ama haikuwa sahihi.

Nikigonga mlango, ukanifungulia na kunikaribisha, nitakuwa nimethibitisha kwamba imani yangu ilikuwa sahihi.

Baada ya kuthibitisha huko, sitaaminibtena kwamba upo nyumbani. Kuthibitisha kunanitoakwenye kuamini na kuniweka kwenye kujua.

Ukijua kitu huamini tena. Umeshapita imani kwa kuithibitisha.

Sitaki kuamini. Nataka kujua.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Hujajibu swali langu kwanza, unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa standards za uthibitisho hizo hizo ulizozitaja?

Utatakaje nikujibu swali lako wewe wakati wewe hunijibu langu nililokuuliza kwanza?
Uthibitisho,unao lakini wajidanganya huna.Haiwezekani unachoamini hakipo,ukashindwa kukithibitisha hakipo ila kwa kupitia nyenzo za mwenye kuthibitisha kuwepo.
 
Kisichopo hakiwezi kuthibitishwa kwamba hakipo zaidi ya logical examination.

Kwa sababu hakipo.

Wewe unaweza kuthibitisha chochite ambacho hakipo kwamba hakipo?

Kilichopo ndicho kinaweza kuthibitishwa kwamba kipo.

Kwa sababu kipo.

Unasema Mungu yupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Kisichopo hakiwezi kuthibitishwa kwamba hakipo zaidi ya logical examination.

Kwa sababu hakipo.

Wewe unaweza kuthibitisha chochite ambacho hakipo kwamba hakipo?

Kilichopo ndicho kinaweza kuthibitishwa kwamba kipo.

Kwa sababu kipo.

Unasema Mungu yupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Umeshapewa uthibitisho wa kutosha,ila uelewa wako uko chini.
Chochote unachokiona ujuwe yupo aliye kifanya,kitu kidogo tu,kiatu unakivyaa,na humjui wala kumuona aliyekitengeneza,lakini husemi kiatu kimejitengeneza wenyewe.
 
Huo si uthibitisho. Hayo ni mahubiri.

Nimetaka uthibitisho. Si mahubiri.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Kama kila kilichopo kina aliyekitengeneza, Mungu naye katengenezwa na nani?
 
Unaweza kuthibitisha Mungu hayupo?
Yes.

By logical contradiction.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ni contradiction. Hujaweza kuiondoa contradiction hii.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Unaweza kuondoa hiyo contradiction?
 
Contradiction ipi?

Unaweza kuitaja?

Unaelewa contradiction maana yake ni nini?
We umeniambia kuwa kwa sababu siwezi kuthibitisha kitu ninachokiamini hivyo naamini kitu chenye contradiction.

Au sikukuelewa vizuri?
 
Back
Top Bottom