'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

Tunarudi kule kule... kama Mungu ametuumba tutumie our brain.. we do reasoning in many aspects and it is very important kwa ustawi wa maisha yetu... ndio maana kuku na viumbe vingine hawawezi kuthink kuhusu existence ya Mungu, they just live naturally. If something is illogical you just leave it... according to some books vinazungumzia majini... bible haijaelezea kuhusu majini... nafikir inachukulia majini na mashetani ni kitu kimoja.... ambapo kwenye quran ni different creature... why should i believe shetani anaexist au majini wanaexist while i have never seen them zaidi ya illusion za watu. i have one idea which i always value most... ni kwamba whatever created the galaxies and everything in it must be something very powerful and I respect that... but I don't see the reason why we should go in church and mosque to pray and ask for forgiveness while i can do that when i am at home... or at work. jambo kubwa linalonikera linapokuja suala la kuabudu people tend to be very calm na wanajifanya wamamuhofia ila linapokuja suala la pesa mtu huyo huyo anatend kuwa selfish and harsh. Ajabu sasa mkristo anasema Mungu wa waislamu sie Mungu wao na waislamu wanasema Mungu wa wakristo (yesu )sio Mungu wao... so it seems we have two unidentical Gods here... kutoka na maelezo ya vitabu vitukufu ni kwamba wapo wataoenda peponi yaani paradiso na watakaoenda motoni yaani in hell... kwa defn za dini hizo ni kwamba it either wakristo wote waende motoni au waislamu wote... kwani kuna mmoja anamfusta Mungu wa kweli. Kikawaids aliyezaliwa na wakristo huwa anakuwa mkristo na anaezaliwa na waislamu anakuwa muislamu. Je kosa la mimi kupelekwa motoni ni lipi while nimefuata dini ya wazazi wangu??? Naweza kuelewa mantiki ya kuwepo kwa Mungu ila sipati mantiki ya utaratibu wake. To me they sound like man made ideas... why anihukumu mimi kwa kutoenda kumuomba kanisani kwa shida zangu, manake najua yeye hana shida.
Umejuaje kuwa kuku hawawezi kuthink kuhusu existence ya mungu?
 
K
Thats it. I do not settle. Even my spiritual path tells me that. That why I am here. As a christian huwezi kusoma Quran au Hinduism kwa sababu utaambiwa unaabudu miungu wengine. Utaambiwa others they don't believe in christ then they are not saved. You are better than them.

As a buddhist I am not allowed to label myself to anything, not even as Buddhist. I am human. I am not better than christian nor less than em. Earth is my temple and compassion is my religion. And I am free to seek anything that is good and beneficial to myself and others.

So I am free to learn, na bado najifunza.

Nashukuru kwa maombi na sala zako. Pia weka emphasis kwenye good actions. Ndio the best kuliko prayers.

Nawe pia do not think what you know its enough. Learn more, study something outside of your box of reality.
Kusoma Quran doesn't mean i believe in it au namwabudu Mungu mwingine
I read several things doesn't mean i believe them or agree with them.
It's for knowledge
For there may come a time when i am supposed to defend what i believe relative to other beliefs ambazo zipo

Knowledge is good.
But with studying the bible you never attain 100% knowledge because the revelation from the word of God is infinite because our God is infinite and he dispenses wisdom infinitely to those who seek it

Kwa sisi Christians prayer is even stronger than willful good actions
You see with prayer you humble yourself before God, you ask for him to strengthen you
To enable you do stand better in your place, to enable you to act bettee
And the word says he strengthens those who come to him and ask for strength to live a holy life

Good actions sawa you can do them, ila theres a limit, kuna wakati unaweza ukajikuta una fail

Most people katika faith yangu waliojulikana kwa kufanya great things katika imani, na kuishi maisha ya mfano walijulikana as men of prayer,
They attribute it to prayer

They constantly sought to be strengthened in prayer and they were

Hii ni Christian faith. That's what it entails

Hah
Halafu i asked u not to reply coz i know for well i will reply back
 
It's your reality, and I respect that.

PS: Hujaniambia not to replay.
 
If god created the world, what was there before he created it?

What made him decide to create it?

What proof is there that actually proves he created it?

And how did he himself come to be? Did he create himself?
I do not know what was there before.

I was not in his head when he was making decisions

The so called Bible stands as proof

He is the Alpha and Omega
 
I am archaeologists, I can answer you questions kuhusu evolutions very clearly.

Swali lako linatokana na kutofahamu evolution vyema. Lakini kabla ya kuelewa evolution sokwe kawa sokwe na mtu kawa mtu, sio mtu katoka kwa sokwe au sokwe katoka kwa mtu. Ni sawa na kuuliza kwanini tunda haliwi tawi au kwanini jani haliwi tawi. Kila kimoja kipp katika part yake and at the same time tumeshikiliwa na root!
Watu wengi sana hawaijui evolution halafu wanafikiri evolution haijajibu maswali yao

Mkuu kama wewe ni Archaeologist nakupa heko sana.
 
Ni kweli kwamba kuna mengine hayana ushahidi ma yapo.

Lakini nasema Mungu hayupo si kwa sababu tu hana ushahidi (ingawa hana ushahidi kwa sababu hayupo) bali pia kuna ushahidi wa kimantiki kwamba hayupo.

Ushahidi hiu wa kimantiki unakuja baada ya kuangalia mikinganyo inayojitokeza katika dhana za kuwepo kwake.

Tukisema kwamba, Mungu ni mkuu sana kuliko uwezo wa kufikiri wa kiutu basi tunatakiwa tukubali kwamba Mungu huyu anatakiwa awe ni wa viwango vya juu sana kuliko vya kiutu.

Haiyumkiniki kimantiki watu tukasema mzazi kupendelea mtoto mmoja ni tabia mbaya isiyofaa kuigwa wala kusifuwa, halafu hapo hapo tuambiwe eti Mungu alichagua Wayahudi wawe taifa lake. Au aliumba watu wawe na akiki halafu akaumba viumbe vi gine havina akili ili vitumikie watu.

Haiyumkiniki kimantiki eti software enguneer mwenye uwezo wa kutengeneza software system isiyo na matatizo akitengeneza iliyo na matatizo kwa makusudi tuseme hafai tumfukuze kazi wakati Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote tunaambiwa eti alikuwa anaweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani lakini hakuumba ulimwengu huo akaumba huu ambao vimbunga vinaua na kuumiza maelfu ya masikini huko Haiti.

Ukimuweka kwenye mizani ya haki za kibunadamu tu huyu Mungu unaona anatakiwa kupelekwa kwenye mahakama ya ICC ahukumiwe. Hajafikisha hata viwango vya haki ya juu ya kiutu, tutasemaje ni Mungu yupo mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote?

Ukiangalia sana unaona kuna contradiction inayoonesha ukweli kwamba si tu Mungu huyu ametungwa na watu, bali ametungwa na watu wa kale ambao walikuwa hawana elimu kubwa ya kuangalia mantiki ya Mungu huyu.
Hekima ya binadamu ni upumbavu kwa Mungu.

Kuna vitu ukiwa mtoto, baba yako akikufanyia huelewi na unaona ni unyanyasaji., lakini ukiwa mkubwa unagundua kuwa kulikuwa na sababu yake, na sababu hiyo ni njema.

Wewe unasema unao ushahidi wa kimantiki kuwa Mungu hayupo, Sisi tuna ushahidi pia wa kimantiki kuwa Mungu yupo.

Tunaomuamini Mungu kazi ya kuelezea viumbe vilipotoka ni rahisi sana kwetu. Jibu lake ni "Mungu kaumba". Ila mpingamungu ana mzigo mzito mno wa kuelezea tumetokea wapi bila kumhusisha Mungu, na bila kuacha chembe ya shaka.

Vimbunga na matetemeko etc tunaweza tusijue maana yake leo, lakini tunaamini kuwa kuna kusudi jema, ingawa akili zetu haziwezi kuchanganua.

SWALI: Kama Mungu hayupo, binadamu wametoka wapi, kwanini kuna viumbe wa kike na kiume? Je, Camera imetengenezwa na binadamu lakini jicho lime 'evolve'? Toa majibu halafu thibitisha majibu yako pasipo kuacha chembe ya shaka.
 
Ukisema kila kitu complex lazima kimeumbwa, mungu naye kwa kanuni hiyo lazima atakuwa kaumbwa.

Unaelewa hilo?
 
Mungu hayupo. Huyu Mungu mjuzi wa yote mwenye upendo wote na nguvu zote hayupo.

Angekuwepo dunia isingekuwa na maovu. Angeumba dunia ambayo maovu hayawezekani kuwepo.
It seems you like logical reasoning, but you can't reason this;

How can you have free will and yet be restricted to do bad thing? Will that be a true free will? Explain it logically!
 
Every thing is created by God. But not all created has a creator
 
Desiring is a shortcoming.
One that has everything is above desire.
The God you describe as having desire is just an idea.

An omnipotent, omniscient and omni benevolent God would be above desire.

Because desiring in itself shows God does not have everything. He is desiring something.

Your God idea is showing so many contradictions.

The flood story is laughable. Does that mean God made a mistake and was not pleased with his creation?

How does a God who knows everything make such a mistake?
Desiring God is a loving God. He desire us to know HIM.

Desiring is not necessarily a shortcoming.
 
Desiring is a shortcoming.
One that has everything is above desire.
The God you describe as having desire is just an idea.

An omnipotent, omniscient and omni benevolent God would be above desire.

Because desiring in itself shows God does not have everything. He is desiring something.

Your God idea is showing so many contradictions.

The flood story is laughable. Does that mean God made a mistake and was not pleased with his creation?

How does a God who knows everything make such a mistake?
If you come to know what the FREE WILL is, most of your arguments will fall down in a one minute like a wall shaken by a might earthquake.

Please, define FREE WILL.
 
It seems you like logical reasoning, but you can't reason this;

How can you have free will and yet be restricted to do bad thing? Will that be a true free will? Explain it logically!
The same way I have free will but I can't move backwards in time.

I can have free will to choose good things. Just as I have free will to move forward in time.

Free will is an illusion.

I wasn't asked to be here.

How can humans have free will and God retain perfect knowledge at the same time?
 
Why dont you just cut to the chase and give us your take or opinion on what forces you think rule the world around us. Is there another supreme being or other forces that u know of that u think make the world as we know it.
 
Can you prove God exists?
Its a just matter of thinking the things can be exist itself as it appeared without creation?? What is the origin of universe and its constituences ? I think are created...!
By whom ? Its only some body known as...
 
If all that is complex needs a creator, then that creator who is even more complex will also need a creator.

Ad infinitum, ad nausea.

No room for God in that endless universe.
 
Back
Top Bottom