'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

My views kuhususiana na mada nyingi zinazohusiana na Mungu na mwanadamu.

Katika mada nyingi na kutazama maoni na michango mingi kuna mengi nimejifunza.

Waafrika wengi mfano mzuri Tanzania ambao wanaishi katika kuelewa spiritual world katika side mbili. Christianity na Islam. Side hizi mbili zinashare common ideologies kwa sababu zote ni Abrahamic religions. Similarities kama heaven, hell, one god, everything kuwa linked na god, idea of satan, thinkings ones religion ni better than other n.k.

Wengi wamezaliwa kwa wazazi au jamii inayowazunguka na inayoelewa ulimwengu katika side hizo tu. Na kuna wengine wanatambua weakness za hizo side mbili na wamejitoa katika pande hizo, wengine katika hao waliojitoa bado hawajui another way of understanding the spiritual side of the existence na kujumuisha dini kama ni ukristu na uislam tu.

Pia kuna wengine walio na imani hizo mbili hawawazi kabisa kama kuna imani nyingine zenye maelekezo tofauti na pengine kuna maelekezo ya maana ambayo hawawezi kujifunza katika imani zao.

Then wanakuwa na ufikiri wa mipaka na limited katika uelewa.

Na Kwa wale ambao wanapenda kujifunza na bado hawapo static katika kutafuta elimu mbalimbali hao ndio ambao wana hekima. Wapo ambao wapo tayari kusoma science, kusoma spiritual sides za maeneo mbalimbali, watasoma Hinduism, Buddhism, Tao, Gnosis, Judaism, ancient myths ma spiritualities na secrets knowledges ambazo hazipo exposed kwenye sides zao, then baada ya hapo ndipo mtu anaamua aweke uelewa wapi. Ni baada ya kujifunza vyote na kuchambua mengi.

Unapotembea nje ya Afrika na kukuta jamii na watu ambao hawana muda wala uelewa ambao ulikuwa unaushikilia nyumbani kwako ndipo utagundua dunia ni kubwa sana. Kuna imani kwako unaona kawaida kwa wengine wapo deeply rooted na mitazamo mingine hujui ni kwanini, na sio kwamba hawajui mitazamo mengine. Na utakaposema unawapa nafasi wakielekeze mitazamo yao unakuta kuna mitazamo inakusaidia katika maisha. Na mitazamo mingine ina replace maswali ambayo ulikuwa unawaza kwa muda mrefu.

Ndio maana watu wanaotembea maeneo mengi na kukutana na cultures mpya wapo na mitazamo tofauti (well, its not common) kuliko mtu anayeshikilia mitazamo aliyoelekezwa jinsi ya kuishikilia.

KWELI haiitaji imani. Na nimegundua ni vigumu mtu kujua mengi kupitia JF. Ni bora kusoma vitabu na kusoma vitu vingi zaidi kuliko kushikilia JF na kukuta mitazamo ile ile ambayo wachache wanapenda na wanajua kuwaza deeply.

Ndugu zangu tusiridhike na uelewa. As long as una macho na masikio kila siku tumia hata muda mdogo jifunze idea mpya katika source yako na source mbalimbali. Learn something new, jifunze kuelewa bila kuresist challenge au changes. Ndio maana ya kuwa open minded. Open minded haiishi JF tu, ni hata mtu anavyoishi na kujifunza mwenyewe.
 
Just because certain people are misled doesnt mean that is how its supposed to be

The scriptures teach us jinsi ya kutambua ipi ni sauti ya Mungu ipi siyo

Kama kuna watu wanatafuta kuitambua sauti ya Mungu kwa njia nyingine apart from ile iliyopo kwenye scriptures, ni kosa la nani wao wanapopotea na kufanya kinyume
Maandiko si ndio hayo yenye makosa kedekede?
 
Siyo mtazamo wangu
Ni mtazamo wa kwenye bible
Kwa hiyo since the Bible is the sole source of information in The Christian faith

Then huu ni mtazamo wa Christian faith

Sawa ni Biblia.

Nilimaanisha kwa ninayezungumza naye.
 
So everything that is based on 'illogic' doesn't exist?
Existence and non existence themselves are a logical duality.

Can you mention one thing that is based on illogic that exists? In what context?

Existence is a tricky subject. The value of money can exist and not exist depending on circumstances.

Money has an assigned value, but under the right circumstances, that value is non existent.

The Tanzanian banknote is practically worthless in NYC.

Pablo Escobar burned 2 million US dollars so his daughter could stay warm while he was hiding, that money was wothless save for that purpose in his context since he could not have spent it and his daughter was in danger of getting pneumonia.

So does the value of money exist?

If you are in a remote island and dying of hunger, and someone gives you the choice of 10 million dollars or a bowl of fruit that will sustain your life until a boat comes along, will you take the 10 million dollars or the bowl of fruits?

What if God does not exist in reality but exists like in the value of money?

Will that mean God exists or God does not exist?
 
Unaona?...unaona sasa?

Mipango ya mawazo yako yaweza kuitwa sauti ya Mungu ama ya pepo mchafu.

Hivyo hakuna kitu kinaitwa sauti ya Mungu, wala hakijawahi kuwepo!
hii mbinu nitaitumia siku moja ili nione mchungaji atasemaje
 
Ni mitazamo yako pia.

I do not believe in the existence of a permanent identity within man - a soul.

To each one his own

You are a man with free will, you can choose what to believe in, what things to follow, what things not to follow

In your atheistic view there are no consequences, there's no true explanation what happens after death

In my Christian faith, you're accountable for the choices you make, and there are consequences

If your view is right we both have nothing to worry, I lived my life according to certain principles i believed in and fulfilled my purpose, so will you have

if my view is right, I dread for the outcome and the consequences

Anyways you were a reasonable commenter. I had a great time conversing with you
Thanks and goodnight
 
Unaona?...unaona sasa?

Mipango ya mawazo yako yaweza kuitwa sauti ya Mungu ama ya pepo mchafu.

Hivyo hakuna kitu kinaitwa sauti ya Mungu, wala hakijawahi kuwepo!
hii mbinu nitaitumia siku moja ili nione mchungaji atasemaje
 
Those questions are relevant when talking about an undefined God.Outside the context of logic.

I am talking about a clearly defined God. Within the context of logic.

The questions are irrelevant.

You're shifting the goalposts.

Those questions are very relevant as far as your atheistic and my agnostic stances go.

And you are talking about a clearly defined god.

How sure are you about that definition being the correct definition?
 
Yeah and i thought i made it clear that God is incomprehensible in the realm of the mind peke yake
He is a spiritual being and in the spiritual realm of God we are able to discern him

I have written this so many times over and over kwenye past pages
But just like how many Tanzanians act
You didn't read
It's unbelievable really
I can make up anything and say that you do not understand it because it is incomprehensible.

How is that any different from your God?
 
I can make up anything and say that you do not understand it because it is incomprehensible.

How is that any different from your God?

Surprise me,
I am ready to be moved to awe
Your talk is cheap
Make up that something

After all you're the guy with 100% knowledge in something
 
Yani hapa hawezi kuruka hiki kiunzi kamwe
Mkuu dini plus wachungaji, wapo kwaajili ya kujipatia pesa kutoka kwa wanyonge.Maombi yao hayana chochote, ukiugua anakuambia toa sadaka kwa Bw. Iili Bw. akuponye....Lakini yeye ama familiya yake ikiugua haooooo Apollo India.
 
To each one his own

You are a man with free will, you can choose what to believe in, what things to follow, what things not to follow

In your atheistic view there are no consequences, there's no true explanation what happens after death

In my Christian faith, you're accountable for the choices you make, and there are consequences

If your view is right we both have nothing to worry, I lived my life according to certain principles i believed in and fulfilled my purpose, so will you have

if my view is right, I dread for the outcome and the consequences

Anyways you were a reasonable commenter. I had a great time conversing with you
Thanks and goodnight

Thanks

I am not atheist nor theist! Though I was born and grew up in a Christian family na kusomea Seminaries Schools.

And currently I have my spiritual side and its not atheist not theistic. I am a Buddhist, its not theistic nor atheistic spirituality. Ni baada ya kujifunza imani nyingi na kutembelea spiritual teachers mbalimbali.

So, I respects your ideas. I was there, I know its philosophy but its hard for me to accept it 100%. I am a scientist and a scholar, aiming to be professor of Archaeology years to come. I love science too.

Kama umeona Bible answers everything you wish to know, its your choice and I respect that.

You're shifting the goalposts.

No. I am structuring an otherwise very messy debate.

Those questions are very relevant as far as your atheistic and my agnostic stances go.

Those questions are very relevant to a higher, more credible, more interesting, more complex discussion.

That discussion is not about the Christian/Islamic God most people are advocating for here.

I like to use the elimination process. Cut out the bullshit first before getting to the really interesting discussion.

You are jumping the gun.

And you are talking about a clearly defined god.

Because anything else would be chaos.

How sure are you about that definition being the correct definition?

I am saying the definition is flawed, because it is contradicted by reality.
 
To each one his own

You are a man with free will, you can choose what to believe in, what things to follow, what things not to follow

In your atheistic view there are no consequences, there's no true explanation what happens after death

In my Christian faith, you're accountable for the choices you make, and there are consequences

If your view is right we both have nothing to worry, I lived my life according to certain principles i believed in and fulfilled my purpose, so will you have

if my view is right, I dread for the outcome and the consequences

Anyways you were a reasonable commenter. I had a great time conversing with you
Thanks and goodnight
Free will is a myth.

If we all had free will we would be able to move back to 1982.
 
Thanks

I am not atheist nor theist! Though I was born and grew up in a Christian family na kusomea Seminaries Schools.

And currently I have my spiritual aide too and its not atheist not theistic. I am a Buddhist, its not theistic nor atheistic spirituality.

So, I respects your ideas. I was there, I know its philosophy but its hard for me to accept it 100%. I am a scientist and a scholar, aiming to be professor of Archaeology years to come. I love science too.

Kama umeona Bible answers everything you wish to know, its your choice and I respect that.

Thanks

I am not atheist nor theist! Though I was born and grew up in a Christian family na kusomea Seminaries Schools.

And currently I have my spiritual aide too and its not atheist not theistic. I am a Buddhist, its not theistic nor atheistic spirituality.

So, I respects your ideas. I was there, I know its philosophy but its hard for me to accept it 100%. I am a scientist and a scholar, aiming to be professor of Archaeology years to come. I love science too.

Kama umeona Bible answers everything you wish to know, its your choice and I respect that.

I was quick to assume you were atheist

I'm sorry about that

Do you guys believe in the existence of God? (i just want to confirm what i know about Buddhism)
 
Back
Top Bottom