Sina haja ya kusoma sana nisha wasoma wengi wanao pinga evolution
1. Wengi ni religous zealots, hawapendi tuu kuona mafundisho ya dini yanapigwa
2. They have nothing to offer insted of evolution, wengi wana pinga, ukiwauliza wao wana suggest nini , ndo zina anza point ambazo huwez ku prove hata kidogo. Zaid wata ishia kukutsha tu.
3. Wengi hawajafuatilia evolution vzuri wanaijua juu juu
Mwisho; sayansi ya evolution ina mapungufu yake na inayakubali, ila watu wanaendelea kuyafanyia uchunguzi mapungufu hayo, aminj usiamini waliokifa waki amini theory ya evolution mwaka 1900 wakija leo watakuwa suprised jinsi vitu vinavyoendelea kuwa proved kuwa kitu hiyo ni sahihi.
Upande wa dini, huu huwa unajifanya hauna pungufu hata moja, ila pia umeshindwa ku prove kitu hata kimoja kwenye mambo kinayo yaongelea kuhusu uumbaji