Who cares

Who cares

580860_446462955374721_156313401_n.jpg

Watoto wanapigana badala ya kuwaamulia wewe unang'ang'ana kupiga picha.
 
Good one,halafu pamoja na shida zote hizi siku akifanikiwa na kuja kuwa daktari na kudai maslahi mazuri watu wanamuulimboka..
 
Huwa najiuliza kila mara na sipati jibu,ni kwa nini watoto wengi wanapenda ladha ya bia au ndio katia kujifunza vitu mbalimbali?
 
Utajuaje kama wanapenda usipowaonjesha? Na watoto the only ladha wasiyopenda ni pilipili, ila hata ukimuwekea ndimu, chumvi ama chochote atafyonza tu.

Ajabu huyu kiddo hajafikiria kunyanyua hiyo bottle. Nahisi kama kuna shida kwenye development stage?
 
Aisee, a touching one. Kuna mitoto inakula sausage na mayai for breakfast, inabeba chipsi na juice shule, inakuwa picked na skul bus, afu inafeli! Mungu akusaidie dogo.
 
Halafu akipata division ll anaambiwa mkopo unakuwa nusu na aliyepata division l kupitia mazingira mazuri ya wazazi wake wenye uwezo anapata mkopo wa asilimia 100, shit!!!!
 
Aisee, a touching one. Kuna mitoto inakula sausage na mayai for breakfast, inabeba chipsi na juice shule, inakuwa picked na skul bus, afu inafeli! Mungu akusaidie dogo.
king'ast wee acha tu, unajiuliza hili toto nimelitoa wapi?! (kimoyomoyo lakini!!)
 
Last edited by a moderator:
Ndo kapewa msaada uyo na kaukubali, we kaa usikikize maneno ya mapadri na mashehe wakiwapinga tu wakati wao hawana msaada! Wajenzi Huru wanajali.... Wale waliopandikizwa chuki dhidi yao wanaumizana vichwa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom