Who cares

Who cares

Hawa freemasons wa Mbagala,cheki kibaskeli kilivyo choka afu hata waandikaji wamewatumia wa kwa mtogore.
 
kweli bongo maisha tunaigiza, yaani watu kwa usanii siwawezi, eti msaada toka freemason
 
icho kibaskeli niliwai kukiona bk,tena mlemavu akiendesha,hiyo ni kweli kabisa,zipo na zimeandikwa hivo
 
531753_454304081259879_1965872757_n.jpg
 
hivi ni viatu vya mbuzi mzee! ha hata baba watoto wa madam x naye ndo ivi ivi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom