Who cares

Who cares

Lakini kuna kasoro katika hizo picha na thread nzima ambalo hata mimi limenikuta, naomba nisaidieni
kwanini picha zote inaonekana wababa wanawapenda watoto waKIKE? hapo waliobebwa wote ni wakike na huu mtindo kweli upo sijui kwako
Wakikua kidogo utasikia mtoto wa kike ni wa Baba na mtoto wa kiume ni wa Mama

Simple; Statistics zinaonyesha kuwa watoto wa kike wanazaliwa zaidi kuliko wa kiume.
 
Watu wakishachoshwa na CCCM, itakuwa hivyo tu, heri kufa kuliko kudangwadanganywa na Chama Cha Magamba.
Napita!!
 
mkono umekomaa mpaka wangu unaonekana wa kike
 
564149_363414187065212_1231105512_n.jpg
nikipata mtoto ningependa nimbebe hivihivi hehehehheheheh
 
Kuna wanawake ambao nilishaweka nadhiri kuwa <b>hata kama utanikabidhi dollars milioni moja</b> ili niwe nina uhusiano naye basi nitakuambia bora uondoke na hela yako kuliko mimi kuwa na mtu wa aina hiyo..

weeeee unasema tu, upewe dolar milioni moja mara buku jero za kibongo ukatae? unaota
 
i am very hornest < alimaanisha uwa yuko horny sana ama? ref: mstari wa 4 kutoka chini
 
huyu ni mjasiri lugha. mara mbili tatu huyoo majuu.
 
mweeeeeh... barua kama hii sasa jamani si mweeeehhhh mpaka nimekosa cha kuongea
 
sasa kama bosi inabidi unamuajiri halafu unarudisha la tatu akajifunze manake huyu hata spelling hajui...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom